Idris Sultan atimiza siku 7 Rumande

Huo sio mzaha?
Hili swali kama linalenga kibonzo cha chini huo siyo mzaha! Hicho kibonzo kinamaanisha Magu ni show ya mtu mmoja...[/QUOTE]
Unataka nikirudie kilekile nilichokiandika? Fahamu ya kwamba ewe muanzisha Uzi; Kicheko kinagawanyika sehemu mbili. Kuna kicheko cha furaha kinaashiria jambo jema.

Kuna kicheko cha dhihaka! Aina zote hizo za vicheko vinatokana na mazingira baada ya, haya ndiyo yanatafsiri ni kicheko cha aina gani.

Idris aliambatisha picha ubavuni mwake, na ni picha ya mtu mmoja. Mazingira yapo wazi yanaonyesha kilichokuwa kinafanyika. Akacheka!

Kilichomchekesha ni muonekano wa picha. Mazingira ya picha ndiyo yatakayo fafanua ni kicheko cha namna gani! Kama ni kicheko cha kuonyesha furaha/jambo jema! Au ni kicheko cha dhihaka!

Mzaha ni utani. Utani ni mojawapo ya kipengele cha sanaa na maigizo ndani ya jamii. Lakini si kila aliye ndani ya jamii ni mwenye kufanyiwa mzaha.

Siafiki anachofanyiwa Idris, siafiki alichokifanya Idris.
 
Hili swali kama linalenga kibonzo cha chini huo siyo mzaha! Hicho kibonzo kinamaanisha Magu ni show ya mtu mmoja. Hawasikiliza na kuwaacha watendaji wake wafanye kazi zao kiuweledi! Bali anawapelekesha! Anawataka wafanye anachotaka yeye!...
Sasa wewe unatafsiri kicheko cha mtu unajua lengo lake huko moyoni kwake? Hicho kibonzo ndo kichwa cha jamaa kilivyo?
 
Sasa wewe unatafsiri kicheko cha mtu unajua lengo lake huko moyoni kwake? Hicho kibonzo ndo kichwa cha jamaa kilivyo?
Sijajua lengo lako ni kurefusha mjadala ama vipi!

Niwie radhi, nina kazi naifanya kwa sasa. Nitashiriki nawe baadae.
 
Hayati Mzee Moi alikuwa mkali sana,ila kuna lijamaa lilikuwa likimwigiza sana,alikuwa anacheka sana jamaa alivyokuwa anamuigiza...
 
Na amecheka tu..hajasema chochote…….Je kama alikuwa
1. Anacheka fundi wa suti ile?
2. Anamcheka mpiga picha
3. Au anamcheka alopost ile picha?

Wapi amesema anamcheka Mtukufu Rais??
 
Hiv Huyu nae n msanii Daaa bongo bhana tunasapot ujinga Sana Huyu dogo anatakiwa abadilike
 
Tatizo sisi watanzania tuna na fikra mbaya kuhusu jela na watawala wetu wamefanikiwa kutujengea fikra hizo ndio maana utaskia huyu funga huyu, weka rumande yule n.k kwa ufupi sioni chchote cha kuongelea kuhusu Idris sana sana tunawasaidia watawala kututia hofu.

Kuna nchi zina poulation kubwa ya wafungwa kidunia mfano marekani na wala hata sio ishu.kama watawala wanadhani kufunga funga watu kunakuza uchumi basi wafanye hivi.

(1)watunge sheria nyingi kandamizi.

(2) wawabambikie watu makosa yasiyo yao.

(3)Wasitoe ajira kwa vijana na wahitimu.

(4)waharibu kabisa mazao ya biashara mfano korosho na pamba.

(5)waelekeze bajeti kubwa kwa jeshi la polisi kukimbizana na dagaa huku papa wakiachwa
Kwa maoni yangu naomba niishie hapo.

Wasalaam.
 
Pengine utakuwa umekengeuka kama nwanadamu usitafute kuwaadhibu wale wanaokukosea Mungu pekee mkamilifu hata ww huwa unamlaumu na kumkosea bado kakusimamia unavuta pumz yake vipi kama angekuwa anatoa adhabu kwa kila afanyalo mwanadamu?
Mi sijahukumu ila tu kwa nadharia ya kawaida kiungwana tu mtu anayerudia kosa moja kwa awamu zaidi ya moja huwa tunamtambua kama nani?

Je, ni mara yake ya ngapi kuhusishwa na kasheshe ya namna hio huko polisi? Is he that special?
 
Wachekeshaji kina Ticha Mparire na kina Otoyo wa Churchill ingekuwa ni hapa kwetu wangepigwa risasi kabisa !!. Hapa kutabasamu na picha ni kukosa nidhamu ?! Du Tanganyika umepoteza njia

Odhis *
Angalia na muktadha mkuu, i would never even think of deploying a joke based on my Dads actions...ntaanzaje kwa raisi wa nchi? Thats seeking cheap popularity! Na sio kwamba hakujua kwamba kile kitendo kingekuwa ishu kwa Mkulungwa, but he still acted as a clown apate emoji za kucheka kwa page yake! I guess the custody is a safe place he should be aendelee kuijoy emoji behind bars!😁😁😁
 
Hii habari inaharibu uhuru wa watu wote Tanzania.

Imajenga precedent mbaya hata kwa Kipanya kuchora cartoon.

Inakuwekea hata wewe mazingira mabaya uweze kukamatwa kwa makosa ya kuungaunga ya kijinga.

Inaweka mazingira ya woga nchi nzima.

Si habari ya kufurahia kwa mtu yeyote mwenye werevu.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Ni kweli na ningesikitika iwapo ingekuwa imemkuta Masoud Kipanya but sio kwa huyo dogo anaejiona mjanja kwa kufanya upuuzi mtandaoni na kujiona ati ni msanii wa Comedy.

Magufuli sio Billnass!!!
 
JPM ni mwanadamu kama wewe kwa nini umwogope mwanadamu mwenzio kiasi hicho? Mungu wa Tanzania? Mbaya sana aisee
Ni mwanadamu ila sio kila unaemtania atakukenulia meno, we grew experiencing that.

Kuna mtu unamletea utani atakuchekea pengine hata kukurudishia utani ila kwa atakaeona ni dhihaka atakutia mbata like nobodys business na maisha yanaendelea. At the end unakuwa umebakiwa na somo.

Kinachoshangaza mwenzetu mwanzo alipelekwa huko korokoroni na kuonywa akaachiwa hata before 24 hours hazijakamilika. Ilikuwa ni somo amepewa ila amerudia kosa lile lile, what more can i say man? Let that MF eat is own shit!
 
Jikite kwenye sheria na katiba ambayo watu wameapa kuilinda kama hukumu hutolewa na mtu mmoja mahakama za nini?

Huoni kama tunapoteza kodi kuwa na majaji na mahakimu wanaopokea mshahara wa bure kwa kazi ambayo ingefanywa na mtu mmoja?
Huna haja ya ku employ sheria hata. Alichokifanya ni dhihaka na iko wazi! Huwezi kuidhihaki taasisi ya raisi ili upate ujiko mtandaoni! Hata mizania ya kinidhamu tu Mkulu is on his 60's na dogo yuko on his 20's kuna utani gani hapo?
 
Back
Top Bottom