Idris Sultan atimiza siku 7 Rumande

Pengine utakuwa umekengeuka kama nwanadamu usitafute kuwaadhibu wale wanaokukosea Mungu pekee mkamilifu hata ww huwa unamlaumu na kumkosea bado kakusimamia unavuta pumz yake vipi kama angekuwa anatoa adhabu kwa kila afanyalo mwanadamu?
Kwa ufupi Idris si mchekeshaji! Hicho kipaji hana! Mr. Khan ameliweka wazi hili aangalie wapi pa kufanya mzaha.

Unapoishi ndani ya jamii inakubidi utambue silika za watu wanaokuzunguka. Kuna baadhi ya watu hawapendi mizaha kabisa. Ni watu hao katika jamii, inabidi uheshimu msimamo wao na uutambue. Kuna wengine wanapenda mizaha! Ni sehemu nao katika jamii! Inabidi uheshimu msimamo wao na uutambue.

Siafiki anachofanyiwa ila awe na utambuzi huo! Na hiyo fursa ya kulielewa hili walimpatia mara ya kwanza! Karudia tena kwa Bw. Yule asiyependa mizaha. Kajitakia!
 
Sanaaa
View attachment 1459906View attachment 1459907
29542473_1372876729485704_3554750616205000704_o.jpg
 
Inaonyesha jinsi dikteta alivyofanikiwa kuogopesha watu Tanzania. Hata wachekashaji na wachora katuni hawatakiwi kusema lolote.
sitaki kusema kuhusu hilo, your life your rensponsibility, sasa hivi anasuffer mwenyewe, The same kwa Mdude!
 
Wachekeshaji kina Ticha Mparire na kina Otoyo wa Churchill ingekuwa ni hapa kwetu wangepigwa risasi kabisa !!. Hapa kutabasamu na picha ni kukosa nidhamu ?! Du Tanganyika umepoteza njia

Odhis *
Ukiwa Roma ishi kama wanavyoishi waRoma, ukiwa Tanzania ishi kama wanavyoishi waTanzania!
 
Jpm ni mwanadamu kama wewe kwa nini umwogope mwanadamu mwenzio kiasi hicho? Mungu wa Tanzania? Mbaya sana aisee
Mkuu hauoni jinsi wanavyoteseka hao? mwisho wa siku mahangaiko yatakuja kwako wewe na familia yako!
 
Mwache aendelee kukaa rumande mpaka akili itakapomkaa sawa. Mtu kipaji hana ana kazi ya kujifanya Mockingbird tu. Yeye kila tukio analigeuza mzaha ili afurahishe vi slay queen vinavyo mfollow huko insta.
Hii habari inaharibu uhuru wa watu wote Tanzania.

Imajenga precedent mbaya hata kwa Kipanya kuchora cartoon.

Inakuwekea hata wewe mazingira mabaya uweze kukamatwa kwa makosa ya kuungaunga ya kijinga.

Inaweka mazingira ya woga nchi nzima.

Si habari ya kufurahia kwa mtu yeyote mwenye werevu.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
kipanya aliishaambiwa aongeze kipumi(paji).anachoweka ni kidogo sana.
 
sishabikii yanayomtokea Idrissa, ila anatakiwa ajifunze pahala pa kufanyia masihara!
Idris ametusaidia sana kuonesha jinsi nchi inavyoongozwa kwa maguvu na bila kufuata misingi ya katiba inayoruhusu mtu kucheka anachoona kinamchekesha na kuwasiliana na wengine.

Tatizo si kwamba Idris anatakiwa ajifunze pahala pa kufanya masihara.

Tatizo ni kwamba Watanzania wengi wameaninishwa na kukubali kwamba pahala fulani hutakiwi kupafanyia masihara.

Mtu kafanywa Mungu.

Ujinga gani huu.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Wachekeshaji kina Ticha Mparire na kina Otoyo wa Churchill ingekuwa ni hapa kwetu wangepigwa risasi kabisa !!. Hapa kutabasamu na picha ni kukosa nidhamu ?! Du Tanganyika umepoteza njia

Odhis *
Hao uliowataja wana-vipaji vyao huwezi kuwalinganisha na huyu jamaa anaelazimisha fani!

Mtu mwenye kipaji anao uwezo wa kuchekesha watu bila kudhalilisha utu au kumvunjia yeyote heshima!

Chukulia mfano Joti akitembea tu ni kicheko tosha wala haihitaji adhalilishe utu wa mtu ndio aonekane au unaweza ukaleta hata clip moja Ya uliowataja wakiwavunjia heshima Viongozi wao?!

Idriss sio wa kuhurumia kwa hili, ajifunze kuchekesha kwa heshima kama wasanii wengine!

Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
 
Idris ametusaidia sana kuonesha jinsi nchi inavyoongozwa kwa maguvu na bila kufuata misingi ya katiba inayoruhusu mtu kicheka anachoona kinamchekesha na kiwasiliana na wengine.

Tatizo si kwamba Idris anatakiwa ajifunze pahala pa kufanya masihara.

Tatizo no kwamba Watanzania wameaninishwa na kukubali kwamba pahala fulani hutakiwi kupafanyia masihara.

Mtu kafanywa Mungu.

Ujinga gani huu.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Huenda, lakini tatizo linakuja pale suffering inakuwa kwake yeye na familia yake tu kwa kiasi kikubwa.. je haikuwa bora kwa yeye kukaa kimya? angepungukiwa nini?
 
Mkuu hata ww leo unatulia kuna watu walihangaika kututoa kwenye huu ukandamizwaji kama mtu kakosea peleka mahakamani wamfunge sasa polisi anafanya nini?
Ni kweli mkuu sikupingi lakini kwanini uteseke na kitu unachoweza kukikwepa? huyu jamaa hateswi na wenye nchi anateswa na wanaotaka waonekane kwa mwenye nchi!
 
Idadi ya watu wanaosapoti mtu kua rumande kisa picha kuchekwa is very alarming it's like kuna kikao ambacho sikuhudhuria na tulikubaliana kua hakuna kuchekana.

Sasa nashindwa kuelewa. Ni ile wivu wetu wa wabongo kua jamaa ana hao slay queen kukuzidi au ni hicho kikao ndiyo kinamhukumu huyu jamaa.
Watu hawaelewi umuhimu wa utawala wa sheria, hadi iwakute.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda, lakini tatizo linakuja pale suffering inakuwa kwake yeye na familia yake tu kwa kiasi kikubwa.. je haikuwa bora kwa yeye kukaa kimya? angepungukiwa nini?
Idris si Mandela, kwa hiyo, simfananishi na Mandela. Natoa mfano wa Mandela kuonesha point yangu.

Mandela alivyofungwa, yeye na familia yake walipata hiyo suffering kwa kiasi kikubwa.

Haikuwa bora kwa Mandela kukaa kimya? Angepungukiwa nini?

Mtu kujieleza ni uhuru wa msingi. Ndiyo maana uhuru huu ukawekwa kwenye katiba.

Hili si suala la Idris tu. Ni suala la taifa zima.

Idris ni dalili inayotuonesha ugonjwa wa udikteta na cult of personality umefikia stage gani sasa.

Ubaya ni kwamba watu wengi ama hawana uwezo wa kuliangalia hili jambo kwa upana zaidi, kwamba hili ni suala la uhuru wa kujieleza, uhuru wa kikatiba, kuvunjwa, au kama wana uwezo huo, wanaachia woga kutamalaki.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
na akae tu.mpuuzi sana yule.ile sio comedy ni dharau.comedy unafanya 50% ina reflect jambo kwa ugumu sana mpka mtu ajue ni yye amedadavua sana hiyo ndo comedy ,sasa comdey ya 100% umeona wap yan realy thing unaona bila chenga hiyo sio comedy
 
Idris si Mandela, kwa hiyo, simfananishi na Mandela. Natoa mfano wa Mandela kuonesha point yangu.

Mandela alivyofungwa, yeye na familia yake walipata hiyo suffering kwa kiasi kikubwa.

Haikuwa bora kwa Mandela kukaa kimya? Angepungukiwa nini?
Naielewa sana hoja yako Kiranga, tatizo linakuja anafanya mzaha kwenye taifa la aina gani? wananchi wa nchi gani? ingekuwa mbele idrisa angepiganiwa hata na jamii.. wananchi wengi wa baadhi ya nchi zenye demokrasia ya kweli hawana uoga.. lakini si wa nchi yetu.. Idrisaa anatakiwa agundue hicho kitu!
 
Watu hawaelewi umuhimu wa utawala wa sheria, hadi iwakute.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utawala wa sheria unaheshimu katiba.

Unataka mtu akamatwe kwa just cause.

Sasa leo mtu anakamatwa, halafu sababu ya kukamatwa ni kuharibu ushahidi.

Kabla ya kuharibu ushahidi sababu ya kumkamata ilikuwa nini?

Utawala wa sheria unaheshimu katiba.

Katiba inasema watu wana uhuru wa kujieleza.

Mtu anapoona kichekesho na kucheka nankukisambaza anakuwa kavunja sheria gani?

What's next? Mtataka kumkamata Kipanya naye anavyomchora rais kama kikatuni?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Back
Top Bottom