Idris Sultan atimiza siku 7 Rumande

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,427
32,196
Mchekeshaji na mwanamitindo maarufu nchini Idris Sultan ameendelea kusota rumande kwa siku saba kutokana na makosa ya kimtandao. Idris aliitwa kuhojiwa na jeshi la Polisi toka may 19, 2020 ambapo anashikiliwa hadi leo.

Sheria zinasemaje kwa mtuhimiwa? Ana haki zake nae pamoja na kutuhumiwa.
#KatibaNiYetu

IMG_20200526_102843.jpg
 
Mwache aendelee kukaa rumande mpaka akili itakapomkaa sawa. Mtu kipaji hana ana kazi ya kujifanya Mockingbird tu. Yeye kila tukio analigeuza mzaha ili afurahishe vi slay queen vinavyo mfollow huko insta.
sishabikii yanayomtokea Idrissa, ila anatakiwa ajifunze pahala pa kufanyia masihara!
Wachekeshaji kina Ticha Mparire na kina Otoyo wa Churchill ingekuwa ni hapa kwetu wangepigwa risasi kabisa !!. Hapa kutabasamu na picha ni kukosa nidhamu ?! Du Tanganyika umepoteza njia

Odhis *
 
Idadi ya watu wanaosapoti mtu kua rumande kisa picha kuchekwa is very alarming it's like kuna kikao ambacho sikuhudhuria na tulikubaliana kua hakuna kuchekana.

Sasa nashindwa kuelewa. Ni ile wivu wetu wa wabongo kua jamaa ana hao slay queen kukuzidi au ni hicho kikao ndiyo kinamhukumu huyu jamaa.
 
Mchekeshaji na mwanamitindo maarufu nchini Idris Sultan ameendelea kusota rumande kwa siku saba kutokana na makosa ya kimtandao. Idris aliitwa kuhojiwa na jeshi la Polisi toka may 19, 2020 ambapo anashikiliwa hadi leo.

Sheria zinasemaje kwa mtuhimiwa?
Ana haki zake nae pamoja na kutuhumiwa.
#KatibaNiYetu
View attachment 1459884
Kama watu wangesoma alama za nyakati mambo yangekuwa sawa kabisa hata wanasiasa pia wanashindwa kusoma alama za nyakati

kilicho akilini kitumie
 
Idadi ya watu wanaosapoti mtu kua rumande kisa picha kuchekwa is very alarming it's like kuna kikao ambacho sikuhudhuria na tulikubaliana kua hakuna kuchekana.

Sasa nashindwa kuelewa. Ni ile wivu wetu wa wabongo kua jamaa ana hao slay queen kukuzidi au ni hicho kikao ndiyo kinamhukumu huyu jamaa.
Ukisoma post za watu hapa utagundua nchi yetu ina shida bado watu hawajitambui haya sawa kafanya kosa sheria zinasemaje ambazo watu wameapa kuzilinda?
 
Back
Top Bottom