Unapopambana na ambaye taswira yake kwako ni adui na ni mwenye nguvu kuliko wewe inakubidi utumie akili ya kusoma mazingira, kutambua umakinifu wake, udhaifu wake na kuutambua wakati muafaka! Na si udhaifu, bali ni ufahamu.
That is neither here, nor there.kipanya aliishaambiwa aongeze kipumi(paji).anachoweka ni kidogo sana.
Tunadumbukia shimoni na watu wanachekelea tu. Tunajenga picha ya Rais sio binadamu mwenzetu.Utawala wa sheria unaheshimu katiba.
Unataka mtu akamatwe kwa just cause.
Sasa leo mtu anakamatwa, halafu sababu ya kukamatwa ni kuharibu ushahidi...
Nami naungana na wewe sometimes tuwe makini na umaarufu tunaoutafta mitandaonisishabikii yanayomtokea Idrissa, ila anatakiwa ajifunze pahala pa kufanyia masihara!
Huo sio mzaha? Mzaha ni sehemu ya kazi ya msanii nafikir waliosoma fasihi wanajua sasa kutafsiri kicheko cha idriss inahitaj umakini sana nani anajua kilichomchekesha? Huoni kama tumekua majuha mkuu?Unapopambana na ambaye taswira yake kwako ni adui na ni mwenye nguvu kuliko wewe inakubidi utumie akili ya kusoma mazingira, kutambua umakinifu wake, udhaifu wake na kuutambua wakati muafaka! Na si udhaifu, bali ni ufahamu.
Nyakati tuliyonayo ni nyakati isiyokuwa tambuzi ya kuiheshimu katiba ambayo ni sheria mama. Tuna akili itumike vyema kwa kufikiri. Idris ameshindwa kutumia akili, ameshindwa kusoma mazingira, ameshindwa kuutambua umakinifu wa aliyemfanyia mzaha, ameshindwa kuutambua udhaifu wa aliyemfanyia mzaha na ameshindwa kuutambua wakati muafaka na ameshindwa kutambua aliyenao hawajali sheria.
Unafikiri kwa nini vyama vya siasa vinakwenda hatua kwa hatua kukabiliana naye? Mipango ni muhimu. Ukifika wakati muafaka nao watashambulia.
Inakubidi ufahamu sanaa ya picha/vibonzo na sanaa ya video anayoifanya Idris ukiziweka kwenye mizani ipi inayoeleweka na kusambaa kwa kasi ndani ya jamii yetu ni ambayo anayoifanya Idris. Sanaa ya vibonzo/uchoraji anahitaji mtu awe mfuatiliaji wa mambo na inahitaji utumie akili kuelewa ujumbe. Sanaa ya vibonzo/uchoraji inawagusa wale wafuataliaji na wenye upeo wa kufikiri. Ndiyo maana Utawala haihangaiki nayo sana! Ila ya Idris inasambaa sana tena kwa urahisi.
Huyo dogo watamnyoosha!
Utambue wakati! Utambue mazingira uliyoko nayo! Vita ni akili.
Halafu, tunatumia vibaya sana polisi.Tunadumbukia shimoni na watu wanachekelea tu. Tunajenga picha ya Rais sio binadamu mwenzetu. Kuna vitu unashangaa kweli vyombo vyetu vya usalama vinashughulika na vitu ambavyo hazina uzito wowote?
Kwamba picha alipiga mheshimiwa kwa hiyari yake, kisha mtu kucheka tu ni kosa? Tena kosa la kutafutwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo watu wakubwa zaidi ya Magufuli ni sawa kumcheka Magufuli.Bado nashangaa wanao mtetea idris inamaana kwao hakuna wakubwa??
Spika Sitta alikua na kauli yake fulani "Ukishindwa kuniheshimu kama spika niheshimu basi kama mzazi"
Idris amekosa nidhamu wacha ulimwengu umfunze
Hizi ni siasa tu.Biggest mistake made by serikali ya awamu ya nne.
Silaumu sana ya tano maana hii sheria ilipitishwa awamu ya nne, watu tuliipinga sana maana ni ya kijinga ila wakapitisha tu, tena JK akashika kalamu akasign bill into law. One of the most stupid things kuwahi kutokea Tanzania....
Labda tunahitaji watu kama Idris wajitoe muhanga ili watu wajitambue.Naielewa sana hoja yako Kiranga, tatizo linakuja anafanya mzaha kwenye taifa la aina gani? wananchi wa nchi gani? ingekuwa mbele idrisa angepiganiwa hata na jamii.. wananchi wengi wa baadhi ya nchi zenye demokrasia ya kweli hawana uoga.. lakini si wa nchi yetu.. Idrisaa anatakiwa agundue hicho kitu!
Marekani karibu kila wiki tunaangalia watu wanavyomkejeli Trump katika "Saturday Night Live".Freedom of speech??! ……………….
Wanamockiwa wakuu wa dunia itakuwa?... Ni udhaifu mkubwa sana ...ni kama hujakomaa kiuongozi kama unaogopa manyunyu madogo kama haya…..Je ungekutana na kina Byesige au Mauma yule wa South Africa? Si ndo ungekata roho kabisa?! Idris ndo ukomage na wewe…. unachezaje makida na mtoto wa mwisho? Ukimfunga lazima akashtaki kwa mama na kilio juu.
Unajuaje kama hajawahi kuicheka?
Kwa kosa gani?Hajawahi kuiweka na nina uhakika hataiweka! Idris anapaswa kufungwa jela na kuchapwa vibokk 10 kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Koti tu! Au kuna kingine?Mchekeshaji na mwanamitindo maarufu nchini Idris Sultan ameendelea kusota rumande kwa siku saba kutokana na makosa ya kimtandao. Idris aliitwa kuhojiwa na jeshi la Polisi toka may 19, 2020 ambapo anashikiliwa hadi leo.
Sheria zinasemaje kwa mtuhimiwa?
Ana haki zake nae pamoja na kutuhumiwa.
#KatibaNiYetu
View attachment 1459884