- Thread starter
- #61
As long as ni wa Lumumba I am inclined to ignore him with an exception of a few!Ji
Jibu hoja kwa hoja wewe...acha kupambana na mleta hoja!!
As long as ni wa Lumumba I am inclined to ignore him with an exception of a few!Ji
Jibu hoja kwa hoja wewe...acha kupambana na mleta hoja!!
Umemjibu vema. Nilikuwa namfikiria The Boss kama mtu sensible kumbe takataka in reasoning!wee mzee, kwa hiyo dw swahili, bbc swahili, voa swahili, radio france swahili na cgtn swahili, hawa wapo kwa ajiri ya kutangaza mazuri ya tanzania?.
Nguli wa habari kwa TZ. You can not deny this. Pascal anafahamika, ni juzi tu kageuka due to the prevailing environment. Lakini ukimpeleka USA kwenye uhuru wa habari by 100%, atafanya kazi with objectivity! Pascal Mayallakwanini lead person awe Pascal Mayalla (NJAA kwa mujibu wa JIWE kuu) na asiwe Zero IQ ??
Ile sio TBC kaka, mi nasikiliza radio karibia zote, za ndani na nje, ziwe bbc, dw, voa, rfi, clouds, rfa, n.kNi upumbavu huu na mawazo ya kitumwa
CNN wapo Kwa ajili ya American interests
Wanafanya pr na propaganda Kwa faida ya marekani..na western countries
Mfano mgogoro wa Barrick na serikali ya Tanzania ..wao wangekuwa wanawaeka vipindi vya propaganda Ku side na Barrick
Nilikua natazama CNN kila siku na nilikua naamini ni chombo huru cha habariIle sio TBC kaka, mi nasikiliza radio karibia zote, za ndani na nje, ziwe bbc, dw, voa, rfi, clouds, rfa, n.k
Wanachofanya sana hao wa nje ni kutangaza zile habari za dunia kubwa na za ukanda huu kwa kiswahili, kisha habari za nchini kwao wanazipa kipaumbele lakini sio sana kiasi cha mtu kugundua
Kuna radio ya China ya CRI hii ndio huwa hujikita sana kutangaza mambo ya China hadi kero, lakini radio mfano bbc swahili au DW ipo fair sana,
Au hebu nipe ushahidi wa propaganda wa vyombo hivyo?
Radio za kibongo nazo ndio propaganda hado kero, mfano radio one na habari za kumtukuza Mengi, Clouds na habari za kumtukuza Ruge, Tbc na habari za kumtukuza magufuli, hawa ndio
wanaopiga propaganda za wazi kabisa
Huo mgogoro wa Barick mbona VOA haiku side na Barrick?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini CNN na sio Al-jazeera
Mkuu Retired, thanks for your understanding, sijageuka due to the prevailing environment but with 50+ years, average life span ya Mtanzania ni 61 years, hivyo just few years of active life, I have became more mature, baada ya kuitumikia media kwa more than 30 years, sasa nataka kuwatumikia Watanzania.Nguli wa habari kwa TZ. You can not deny this. Pascal anafahamika, ni juzi tu kageuka due to the prevailing environment. Lakini ukimpeleka USA kwenye uhuru wa habari by 100%, atafanya kazi with objectivity! Pascal Mayalla
Definitely you are great in news in Tanzania. Nieleweshe kidogo, nadhani na kwenye media umewatumikia watanzania, ni kwa nini unasema sasa unataka kuwatumikia watanzania. Nadhani kuwapasha habari watanzania wakajielewa na kujitambua ni utumishi uliotukuka vile vile!Mkuu Retired, thanks for your understanding, sijageuka due to the prevailing environment but with 50+ years, average life span ya Mtanzania ni 61 years, hivyo just few years of active life, I have became more mature, baada ya kuitumikia media kwa more than 30 years, sasa nataka kuwatumikia Watanzania.
P
Kwa hiyo unazungumzia CNN specifically au unazungumzia vyombo vyote vya kimataifa vyenye kutangaza kiswahili?Nilikua natazama CNN kila siku na nilikua naamini ni chombo huru cha habari
Nilikuja gundua sio kweli..
Wanachagua habari ya kutangaza na kuacha
Na pia hata namna ya kutangaza..mifano ipo.mingi lakini anza na habari za Israel na Palestine ndo utagundua..
Akiuwawa mwwnajeshi wa Israel wanasema ameuwawa ..'killing 'akiuwawa mpalestina
Watasema 'violence that led to death's..
Fuatilia Sana utagundua..
Wana bias kubwa mno hizi western media..
Angalau BBC kidogo Sana lakini still hawako fair