kuseranasera
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 622
- 390
Mkuu Retired, asante kwa wazo zuri, sio tuu CNN bali TV TV zozote za kimataifa zikianzisha channel ya Kiswahili, itapendeza na kukikuza Kiswahili kuzidi kuwa an international language."Nguli" wanahabari wa Tanzania, nawapa wazo:
Can you solicit CNN management ianzishe idhaa ya Kiswahili ya CNN. Mbona itapendeza.....
Lead person Pascal Mayalla
MTV wao wapoje ?Cable News Network. Hawawezi Kuja bongo wale wanaangalia Sana faida tofauti na BBC ambao ni shirika La Serikali focus kwenye faida ni ndogo Sana.
Na hata wakiamua Kuja Afrika hawataanzia Bongo ni Either South Africa, Egypt au Nigeria ambapo miundombinu inaruhusu. Ni Kama MTV tu.
Saizi wameanzisha cnn Brazil Ngoja tuone.
Ili watulishe propaganda zao vizuri sio?"Nguli" wanahabari wa Tanzania, nawapa wazo:
Can you solicit CNN management ianzishe idhaa ya Kiswahili ya CNN. Mbona itapendeza.....
Lead person Pascal Mayalla
Huo ni mtazamo wako, BBC wanafanyaje? By the way umewahi kuisikiliza CNN?Ili watulishe propaganda zao vizuri sio?
A very good observation kuwa ni serikali ndizo zenye Swahili broadcast. Nadhani ni gharama kubwa ambazo private investor in swahili TV and radio broadcast haoni kama investing in Swahili atafanya biashara inayolipa!Mkuu Retired, asante kwa wazo zuri, sio tuu CNN bali TV TV zozote za kimataifa zikianzisha channel ya Kiswahili, itapendeza na kukikuza Kiswahili kuzidi kuwa an international language.
Kwa experience yangu, media zote za nchi ambazo Kiswahili sio lugha yao, lakini zinatangaza Kiswahili, media zote ni za serikali za nchi hizo, hakuna media binafsi inatangaza Kiswahili. CNN ni private media.
Kwa upande wa international media zenye News Channel ya Kiswahili kwa TV ni nne, BBC, VOA, UN Radio na DSTV ndio the only private Channel inayotanga sports (football) kwa Kiswahili.
Redio Zifuatazo ambazo zote ni za serikali zina Channel ya Kiswahili
BBC Swahili
VOA Swahili
DW Radio
NHK Japan
All India Radio
Radio Moscow
China International
RFI
SABC Transvaal
UN Radio
Vatican Radio
NB. Tangu tulipoanza TV, nimekuwa sifuatilii sana hizi Swahili Radio hivyo sijui kama zote bado zipo.
P.
Response yako inashabihiana na ya Pascal Mayalla . Nadhani uko sahihi kabisa. Ni profit driven Tv and kwa swahili mass coverage haitarudisha fedha zao...Cable News Network. Hawawezi Kuja bongo wale wanaangalia Sana faida tofauti na BBC ambao ni shirika La Serikali focus kwenye faida ni ndogo Sana.
Na hata wakiamua Kuja Afrika hawataanzia Bongo ni Either South Africa, Egypt au Nigeria ambapo miundombinu inaruhusu. Ni Kama MTV tu.
Saizi wameanzisha cnn Brazil Ngoja tuone.
Nalo wazo zuri piaKwanini CNN na sio Al-jazeera
BBC ni propaganda piaHuo ni mtazamo wako, BBC wanafanyaje? By the way umewahi kuisikiliza CNN?
against who? Wewe utakuwa Mataga bahati mbayaBBC ni propaganda pia
CNN Ni private entity itakua ngumu,marekani Kuna idhaa ya kiswahili ya voice of America,
Against Africans, habari zao nyingi kama si zote kuhusu Africa huwa ni zile negative tu, wanachagua zile habari mbaya mbaya tu as if Africa hakuna jema, mara Somalia njaa, mara alshabaab, mara bokoharam, mara njaa, mara ukimwi, as if Africa hakuna zaidi ya hayo, hawawezi wakaonyesha jinsi watalii wao wanavyojazana mbugani na kuenjoy paradiso ili kuwavutia wenzao waje, never!!! They are evil bastards, and i pray Corona iwamalize wote, tena ikianza na Kiranja wao Borisi, afe tu!against who? Wewe utakuwa Mataga bahati mbaya
As long as unaongozwa na thinking ya CCM, basi nakuacha. nani kati ya wafalme wa sasa kiafrika na wakoloni amewafanyia atrocities kubwa waafrika? off....Hao mbwa walitu -enslave, wakatu-colonise, na sasa wanatufanyia ubeberu kwenye kila nyanja ya maisha, hadi kwenye vyombo vya habari mnataka tufanyiwe ubeberu, wao mbona hawajawahi kuimba idhaa ya kizungu toka TBC iemde huko kwao? Nonsense!!!
Ugumu wa CNN ni Upi na urahisi wa Al Jazeera ni Upi?CNN Ni private entity itakua ngumu,marekani Kuna idhaa ya kiswahili ya voice of America,
All Jazeera wao tv inamilikiwa na mfalme wa Qatar ndo maana Kuna aljazeera English service mwanzo ilikuwa Arab language service pekee,siku hizi Kuna aljazeera America pia
King Leopold wa ubelgiji aliua wakongo milioni 10 wakati wa utawala wake, Leopold peke yake, acha wengine. Haya futa hiyo kauli yako, uwe na aibu!As long as unaongozwa na thinking ya CCM, basi nakuacha. nani kati ya wafalme wa sasa kiafrika na wakoloni amewafanyia atrocities kubwa waafrika? off....
evidence..... nilikuwa sijaona kumbe una avatar ya nyerere, huwezi kuwa na rational thinking!King Leopold wa ubelgiji aliua wakongo milioni 10 wakati wa utawala wake, Leopold peke yake, acha wengine. Haya futa hiyo kauli yako, uwe na aibu!