Idhaa ya Kiswahili ya CNN

Idhaa ya Kiswahili ya CNN

Against Africans, habari zao nyingi kama si zote kuhusu Africa huwa ni zile negative tu, wanachagua zile habari mbaya mbaya tu as if Africa hakuna jema, mara Somalia njaa, mara alshabaab, mara bokoharam, mara njaa, mara ukimwi, as if Africa hakuna zaidi ya hayo
Ni ukweli?
 
Mkuu Retired, asante kwa wazo zuri, sio tuu CNN bali TV TV zozote za kimataifa zikianzisha channel ya Kiswahili, itapendeza na kukikuza Kiswahili kuzidi kuwa an international language.

Kwa experience yangu, media zote za nchi ambazo Kiswahili sio lugha yao, lakini zinatangaza Kiswahili, media zote ni za serikali za nchi hizo, hakuna media binafsi inatangaza Kiswahili. CNN ni private media.

Kwa upande wa international media zenye News Channel ya Kiswahili kwa TV ni nne, BBC, VOA, UN Radio na DSTV ndio the only private Channel inayotanga sports (football) kwa Kiswahili.
Redio Zifuatazo ambazo zote ni za serikali zina Channel ya Kiswahili
BBC Swahili
VOA Swahili
DW Radio
NHK Japan
All India Radio
Radio Moscow
China International
RFI
SABC Transvaal
UN Radio
Vatican Radio
NB. Tangu tulipoanza TV, nimekuwa sifuatilii sana hizi Swahili Radio hivyo sijui kama zote bado zipo.
P.
Uko sahihi !! Hizi private media zinaangalia faida zaidi itakuwa ngumu kuanzisha idhaa ya kiswahili.
 
Ni upumbavu huu na mawazo ya kitumwa
CNN wapo Kwa ajili ya American interests
Wanafanya pr na propaganda Kwa faida ya marekani..na western countries
Mfano mgogoro wa Barrick na serikali ya Tanzania ..wao wangekuwa wanawaeka vipindi vya propaganda Ku side na Barrick
wee mzee, kwa hiyo dw swahili, bbc swahili, voa swahili, radio france swahili na cgtn swahili, hawa wapo kwa ajiri ya kutangaza mazuri ya tanzania?.
 
kuna empty sets inajifanya akili kubwa..wake up people!!
 
King Leopold wa ubelgiji aliua wakongo milioni 10 wakati wa utawala wake, Leopold peke yake, acha wengine. Haya futa hiyo kauli yako, uwe na aibu!
Congo kipindi hicho ilikuwa na watu wangapi kama waliuawa milioni 10? Kuna mass graves zozote zilizonduliwa ku support hili?
Najua waliuwa watu na kuwakata viungo wengine ila hii figure duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Against Africans, habari zao nyingi kama si zote kuhusu Africa huwa ni zile negative tu, wanachagua zile habari mbaya mbaya tu as if Africa hakuna jema, mara Somalia njaa, mara alshabaab, mara bokoharam, mara njaa, mara ukimwi, as if Africa hakuna zaidi ya hayo, hawawezi wakaonyesha jinsi watalii wao wanavyojazana mbugani na kuenjoy paradiso ili kuwavutia wenzao waje, never!!! They are evil bastards, and i pray Corona iwamalize wote, tena ikianza na Kiranja wao Borisi, afe tu!
Hao mbwa walitu -enslave, wakatu-colonise, na sasa wanatufanyia ubeberu kwenye kila nyanja ya maisha, hadi kwenye vyombo vya habari mnataka tufanyiwe ubeberu, wao mbona hawajawahi kuimba idhaa ya kizungu toka TBC iemde huko kwao? Nonsense!!!
Mmhhh..!!!
 
"Tukomae kwanza TBC isikike Afrika nzima, na tufungue studio za TBC Asia, Ulaya na Amerika" ilisikika spika ya redio mpya niliyoinunua kipindi najaribu kutafuta vituo vya redio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom