Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,976
- 4,314
Kwahy ndo mnaamua mtuokote etYaani mpaka Jf niwe kapuku siwezi kukubali ๐
Kwanza Upo nchi gani isije ikawa Upo bongo unalumbana na watu kutoka Dubai wengine USA wengine IranKwahy ndo mnaamua mtuokote et
Nipo huku yombo dovya Mkuu๐ ๐Kwanza Upo nchi gani isije ikawa Upo bongo unalumbana na watu kutoka Dubai wengine USA wengine Iran
We Upo wapi kwanza ๐
Sio identification ni IDENTITY.Nimejaribu kutafakari kwa kina juu ya mienendo ya baadhi yetu ndani ya jukwaa hili nikaishia kuwaza;
Ndani ya hili jukwaa Kuna watu wamejipa ukuu ila ni hakika yangu ukikutana nao lazma utapigwa na butwaa.
Kuna watu Wana tabia fulan ndani ya hili jukwaa ila naamin tungepata nafasi ya kujuana tungebaki tunashangaana
Ni Iman yangu kuwa ndani ya hili jukwaa Kuna watu wanakula mlo mmoja ila ndo wanaoongoza kwa kuanzisha nyuzi za kumiliki mpunga mrefu.
Ndani ya hili jukwaa Kuna waume za watu na kwenye jamii wanaheshimika lkn humu kutwa nzima wapo busy kuanzisha nyuzi za kutafuta warembo
Mtuache kwanza tuomboleze kifo cha babu yetu Ayatollah. Ayatollah kuondoka imeniuma kichiz. Israel and America you'll pay dearly for this.Nimejaribu kutafakari kwa kina juu ya mienendo ya baadhi yetu ndani ya jukwaa hili nikaishia kuwaza;
Ndani ya hili jukwaa Kuna watu wamejipa ukuu ila ni hakika yangu ukikutana nao lazma utapigwa na butwaa.
Kuna watu Wana tabia fulan ndani ya hili jukwaa ila naamin tungepata nafasi ya kujuana tungebaki tunashangaana
Ni Iman yangu kuwa ndani ya hili jukwaa Kuna watu wanakula mlo mmoja ila ndo wanaoongoza kwa kuanzisha nyuzi za kumiliki mpunga mrefu.
Ndani ya hili jukwaa Kuna waume za watu na kwenye jamii wanaheshimika lkn humu kutwa nzima wapo busy kuanzisha nyuzi za kutafuta warembo
๐๐๐Una uhakika hilo halijawahi kujadiliwa?
Usiku kama huu badala ya kupumzika eti anatafakari kwa fake IDs zinakuwa fakeUmetafakari vitu ambavyo kimsingi havikusaidii kitu
Kiufupi umeandika vitu obvious ambavyo ni core concept ya kuwa mwanaJF....being fake!
Basiii ndiyo maana unatushangaa watu wa jf sisi tupo USA huku tunampa maagizo Trump cha kufanyaNipo huku yombo dovya Mkuu๐ ๐
Kihasibu jamaa ametumia bando lake vibaya ni hasara ya TSH 1.5 ya bando kwa kupost Uzi kama huu.Una uhakika hilo halijawahi kujadiliwa?
Hii ni mental case ๐Usiku kama huu badala ya kupumzika eti anatafakari kwa fake IDs zinakuwa fake