Jamani wenzenu tumefunga mbona mnataka kutuvurugia swaumu, kucheka sana hakuruhusiwi.Ngoja na mimi niwatafutie tusi fasta, hebu ngoja nicheki na mods kama wameenda break kwanza nilifyatue fasta haalafu baada ya muda nalifuta.....nisaidie kutafuta tusi litakalokidhi haja................

Mbunge wa Kinondoni, akomba mwongozo kuhusu kauli aliyotoa meya wa Dar kuhusu UDA kwamba kuna wabunge wanafikiri kwa makalio na sio akili.

Amesema kauli hiyo inadhalilisha bunge zima na imetolewa na kiongozi mkubwa. Amehoji ni hatua gani ichukuliwe
Jamani wenzenu tumefunga mbona mnataka kutuvurugia swaumu, kucheka sana hakuruhusiwi.
Kwani uongo mimi naungana na Masaburi.Mbunge wa Kinondoni, akomba mwongozo kuhusu kauli aliyotoa meya wa Dar kuhusu UDA kwamba kuna wabunge wanafikiri kwa makalio na sio akili.
Amesema kauli hiyo inadhalilisha bunge zima na imetolewa na kiongozi mkubwa. Amehoji ni hatua gani ichukuliwe
na yeye si mbunge ane anafikiri kwa kutumia makalio hahahahahahSpika anaongoza watu wanaofikiri kwa makalio......bado napita tu
Na bado tutajua mengi mwaka huu kuhusu issue zenu za ndani...ILa msitukanane basi...
ukitumia maneno makali lazima upande wapi ujibu ndiyo maana wabunge wa upinzani bungeni wana ikera serikali kwa sababu wanatumia maneno makali......Na bado tutajua mengi mwaka huu kuhusu issue zenu za ndani...ILa msitukanane basi...
aISEE KWELI WAKAPIMWE AKILI!samahani; kwani ni uongo kumbe hawatumii nanihii kufikia maamuzi ya kijinga? hebu ona fuel crisis waliyo-create, hebu ona power crisis walituletea, na upuuzi mwingine mwingi, kweli hata mimi nashiwishika kukubaliana na Masaburi ingawa na yeye naona ni wale wale tu......na hao waliopakiwa kwenye ndege wakapelekwa kuangalia huko Barick wana akili kweli wale?
jamaa na zungu wana ugomvi wa demukakukosea nin?dahh!!!!!!!
naibu spika anatumia kalio!na yeye si mbunge ane anafikiri kwa kutumia makalio hahahahahah
na wewe utakuwa umejitahidi maana umetumia kalio la kulia

Hii kali sana Meya wetu huyo asiye fikiri kwa kutumia makalio!!!!!
Duh, hili mbona kubwa sana litakuwa la yupi sasa mmojawapo?? kweli hapo ndio kuna fikra hapooo mmmh sidhani