Iddi Amin kiongozi bora kuwahi kutokea Afrika

Kwamba na wewe umesimuliwa habari Za Iddi Amin na umekuja na andiko na kuhitimisha kwamba Uganda ingekuwa ni zaidi ya USA?

Kama alipigwa na TZ akiwa na sapoti ya Ghadafi basi alikua goigoi sana na Hakua mwepesi kujua nini kitatokea kesho kwa matendo yake ya Leo.

Kwamba wakati wa Amin Uganda iliendelea Sana? Kuna shida kwenye kuchanganua mambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania pekee asingeweza alipigwa na Tanzania frelimo museven na jeshi lake obote na jeshi lake plus wacuba

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
Ndiyo uyataje hayo mazuri mkuu! Kusema Idd Amin ana mazuri yake ni sawa na kusema Shetani naye ana mazuri yake hivyo tusahau mabaya anayotenda tumkumbuke na kwa mazuri siyo?
Iddi amini alinyang'anya ardhi iliyopolwa na wagen akawapa natives,alichukuwa Mali za wahindi zilizopatikana kwa kuwakandamiza waganda akawapa natives mengi alifanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi huwa napendaga zile picha alizobebwaa juujuu na wanzungu nataman nikizipata niziweke kwenye flame nizitie ukutani

Sent from my I phone
 
Kuna muda huwa nawaza kuhusu Iddi Amin nikagundua alikuwa kiongozi mzuri aliyeandikwa vibaya

Iddi Amini angekuwa hai pengine Uganda ingekuwa na maendeleo kupita hata Marekani.

Iddi Amini hakupenda kutawaliwa kipuuzi kama wanavyokubali viongozi wa sasa wa kiafrika huwa nawaza mfano ghadaf na amini wangekuwa bado viongozi Kuna upuuzi tusingeuona

Baadhi ya kauli za iddi amini "Africa inaweza kuwatawala wazungu" na imejidhihilusha pichani.

Nimemsoma nimegundua alifanya mazuri mengi hayajaandikwa

Ushauri wangu kamsome Iddi Amin vizuri utagundua Jambo

View attachment 1410514

Sent using Jamii Forums mobile app

Haya yoote uliyoyaelezea, Mtu mweusi especially mtanzania hatakuelewa kamanda...
 
Iddi amini alinyang'anya ardhi iliyopolwa na wagen akawapa natives,alichukuwa Mali za wahindi zilizopatikana kwa kuwakandamiza waganda akawapa natives mengi alifanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Enhe vipi na wale waafrika wenzie aliokuwa anawatesa na kuwaua? Au hizo ardhi alikuwa anaangalia watu wa kuwapa?
 
Kwahiyo uzuri wake uko hapo tu kwenye kuwatawala wazungu? Kwamba yale tunayoyasikia kuwa alikuwa anatesa watu na kuwaua kisha kuamuru wakatupwe mto kagera ni ya uongo?
duh myahud wa buza umekuja
 
Kuna muda huwa nawaza kuhusu Iddi Amin nikagundua alikuwa kiongozi mzuri aliyeandikwa vibaya

Iddi Amini angekuwa hai pengine Uganda ingekuwa na maendeleo kupita hata Marekani.

Iddi Amini hakupenda kutawaliwa kipuuzi kama wanavyokubali viongozi wa sasa wa kiafrika huwa nawaza mfano ghadaf na amini wangekuwa bado viongozi Kuna upuuzi tusingeuona

Baadhi ya kauli za iddi amini "Africa inaweza kuwatawala wazungu" na imejidhihilusha pichani.

Nimemsoma nimegundua alifanya mazuri mengi hayajaandikwa

Ushauri wangu kamsome Iddi Amin vizuri utagundua Jambo

View attachment 1410514

Sent using Jamii Forums mobile app
U been blinded by the some skewed movies.... U don't know Idd Amin Dada..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amin alianza vzr, utawala wake, lkn baadaye akapotoka vibaya. Pale alipochanganya Mambo ya Dini, ushirikina , udikteta na umalaya .

Amini mwanzo alikuwa muumini mzuri wa dini na kuheshimu dini zingine, mfano alijenga misikiti na makanisa kwenye kambi zote za Polisi na jeshi la Uganda.

Amini, alijenga hospital kila wilaya Kama ilivyokuwa hapa Tanzania.

Baada ya kuingilia ugomvi wa Palestina na Israel hivyo hapo suala la Udini ukaanza kumuingia na kupoteza marafiki na kuungwa Mkono na mataifa ya Magharibi ikiwemo UK.

Amin Sasa akawa dikteta , anacho fikiria au anachoambiwa na waganga wake Fulani mbaya , chamoto utakiona , watoto wazuri wazuri ndo chakula yake lazima akupate.

Amin alimkosakosa binti wa Kabaka ambaye alikimbilia uhamishoni Uingereza.

Udini ndiyo uliomfanya aungane na Libya kuipiga Tanzania lkn chamoto alikipata.
 
Kwahiyo uzuri wake uko hapo tu kwenye kuwatawala wazungu? Kwamba yale tunayoyasikia kuwa alikuwa anatesa watu na kuwaua kisha kuamuru wakatupwe mto kagera ni ya uongo?
Africa nzima au Dunia nzima kila nchi watu wanateswa na kuuwawa,usidhani Amin alikamata tu wa hovyo mitaani na kuwauwa,waliuliwa na wana usalama wake kwa sababu mbalimbali ikiwepo kutaka kumuua Amin,usimone hivo usiku alikuwa halali anaogopa kuuliwa
 
Nilisikia alimuua na mama yake ni kweli au uongo ??
 
Nilisikia alimuua na mama yake ni kweli au uongo ??
hahahaha😂😂 Ni uongo Boss,mama ake Idd amin inaaminika alikuwa mganga wa kienyeji huko kijiji cha Koboko Uganda,unajua Amin alikuwa mtu wa ajabu sana hakuwahi kusimulia Historia ya maisha yake zaidi ya kusema alikulia katika umasikini na hakuwahi kuruhusu mtu aandike Historia yake ndio maana mpaka leo haijulikani alizaliwa lini wala taarifa zake za Utotoni
 
hahahaha Ni uongo Boss,mama ake Idd amin inaaminika alikuwa mganga wa kienyeji huko kijiji cha Koboko Uganda,unajua Amin alikuwa mtu wa ajabu sana hakuwahi kusimulia Historia ya maisha yake zaidi ya kusema alikulia katika umasikini na hakuwahi kuruhusu mtu aandike Historia yake ndio maana mpaka leo haijulikani alizaliwa lini wala taarifa zake za Utotoni
Oohh haya
 
His Excellency, President for Life, Field Marshal Al Hajj Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of all the Beasts of the Earth and Fishes of the Sea and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular.

VC - Victory Cross. (NOT Victoria.)

DSO - Distinguished Service Order.

MC - Military Cross.

FB_IMG_1588684419780.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna muda huwa nawaza kuhusu Iddi Amin nikagundua alikuwa kiongozi mzuri aliyeandikwa vibaya

Iddi Amini angekuwa hai pengine Uganda ingekuwa na maendeleo kupita hata Marekani. Iddi Amini hakupenda kutawaliwa kipuuzi kama wanavyokubali viongozi wa sasa wa kiafrika huwa nawaza mfano Ghadaf na amini wangekuwa bado viongozi kuna upuuzi tusingeuona.

Baadhi ya kauli za iddi amini "Africa inaweza kuwatawala wazungu" na imejidhihirisha pichani. Nimemsoma nimegundua alifanya mazuri mengi hayajaandikwa

Ushauri wangu kamsome Iddi Amin vizuri utagundua jambo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wajakazi wa mabeberu hawatakuelewa kamanda...binafsi idi amini na gadafi ndio the best presidents in Afrika...
 
Idd Amin aliwatesa sana wazungu na wahindi. Hawatakaa wamsahau. Pia wabaya wake waafrika wenzake walikiona cha mtemakuni. Huyu jamaa waganda wamemsahau kabisa.

Alifia uhamishoni kama raia wengine. Hakuna siku ya kumuenzi wala kumbukumbu zake kitaifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom