Idd Simba ahusishwa na utapeli kupitia Pride Tanzania

ipo siku watu wataingia front ku deal na mijizi kama hiyo na adhabu yao watazimeza kwa lazima hela zote walizoiba.....na wata zin...y...! mpka wakome maana sI wanajifanya wanapenda hela sanana hawatosheki? hiyo ndy dawa yao
 
Ufisadi ni kama gonjwa la kurithi vile... linaambatane nawe tu. Huyu jamaa hajaanza ufisadi leo. Nakumbuka kipindi akiwa waziri alishawahi kufanya ufisadi fulani uliomfanya akajiuzulu....HASIDI HAACHI ASILI...

Nadhan ilikuwa ni ile scandal ya kuagiza sukar kutoka nje!!
 
Nchi imejaa wajinga hii sijapata kuona,mada ya kipumbavu kama hii watu mnaishupalia.

Pride Tanzania kitengo cha mikopo vijijini kinachoitwa RFW (Rural Finance Window) kinahusishwa na kutapeli mamilioni ya wakulima masikini kwa ahadi hewa ya mikopo ya kilimo.. pride inamilikiwa na Idd Simba. Huoni kwamba huu ni ufisadi mwingine? KWA ninni kila mahali anappojihusisha panatokea wizi? Tumeona UDA na scandal ya sukari mbovu...huyu jamaa ni janga la Taifa
 
ipo siku watu wataingia front ku deal na mijizi kama hiyo na adhabu yao watazimeza kwa lazima hela zote walizoiba.....na wata zin...y...! mpka wakome maana sI wanajifanya wanapenda hela sanana hawatosheki? hiyo ndy dawa yao

hahahahaha..mkuu umenichekesha sana
 
Barubaru,

..hivi kashfa zote hizi zinazomwandama Iddi Simba bado unaamini huyu ni "mchumi maarufu"??

..hivi bado unamweka Iddi Simba ktk mizano moja na Prof.Dr.Nguyuru Ibrahim Harun Lipumba?

cc Gs-300

Joka kuu.

Najua utasema mengi lakin mwisho wa kashfa ni kuthibitishwa na mahakama ili ziondoke katika tuhumu na kuwa bayana. Labda nikuulize kuna tuhuma au unavyoita kashfa ya Idd Simba iliyothibitishwa na mahakama? au ndo wanasiasa tu mnakalia majungu na kuchafua watu pasi na chembe ya ushahidi?

Narudia tena kukwambia miongoni mwa wachumi sio tu wanaosifika tanzania bali hata nje ya mipaka ya Tz kutokana na uadilifu na utendaji uliotukuka katika kutetea fani ya uchumi Idd Simba yupo na ndio maana mpaka leo hii kampuni yake ya ushauri wa kiuchumi wa kimataifa inasifika san huko Tanzania (INTERFINAS) Internationa Finance Advisory servises.

Huyo taha siku moja huwezi mfananisha na Prof Simon Mbilinyi. Ukizingatia wewe unamzungumzia Mbilinyi kwa kumsoma na sio kufanya nae kazi kama mimi ninavyomfahamu.

Pole sana
 
Wakuu.
Yule kada maarufu wa ccm mheshimiwa Idd Simba amehusishwa na utapeli wa mamilioni kwa wakulima kupitia shirika lake la Pride Tanzania mikopo vijijini.. Shirika hilo lililotapeli wakulima wa sehemu mbalimbali nchini kwa ahadi ya kuwakopesha wakulima toka mwaka jana huku likiwa limeshakusanya akiba za wakulima hao na mpaka sasa hivi.limeshindwa kufanya hivyo huku wakulima hao wakidai akiba zao bila mafanikio..Aidha, wakulima kutoka morogoro wamelalamika kutapeliwa akiba zao kwa ahadi hewa ya kupewa mkopo na hivyo kuwarudisha nyuma kimaendeleo.
Imebidi niitafute hii post baada ya post moja kusema kuwa PRIDE TANZANIA inamilikiwa na serikali kwa asilimia mia moja
Hebu tulinganishe replies za wakati wa hii post na uhalisia uliopo sasa
 
Joka kuu.

Najua utasema mengi lakin mwisho wa kashfa ni kuthibitishwa na mahakama ili ziondoke katika tuhumu na kuwa bayana. Labda nikuulize kuna tuhuma au unavyoita kashfa ya Idd Simba iliyothibitishwa na mahakama? au ndo wanasiasa tu mnakalia majungu na kuchafua watu pasi na chembe ya ushahidi?

Narudia tena kukwambia miongoni mwa wachumi sio tu wanaosifika tanzania bali hata nje ya mipaka ya Tz kutokana na uadilifu na utendaji uliotukuka katika kutetea fani ya uchumi Idd Simba yupo na ndio maana mpaka leo hii kampuni yake ya ushauri wa kiuchumi wa kimataifa inasifika san huko Tanzania (INTERFINAS) Internationa Finance Advisory servises.

Huyo taha siku moja huwezi mfananisha na Prof Simon Mbilinyi. Ukizingatia wewe unamzungumzia Mbilinyi kwa kumsoma na sio kufanya nae kazi kama mimi ninavyomfahamu.

Pole sana
Uongo hupanda lifti bali ukweli hukwea ngazi
 
Pride Tanzania kitengo cha mikopo vijijini kinachoitwa RFW (Rural Finance Window) kinahusishwa na kutapeli mamilioni ya wakulima masikini kwa ahadi hewa ya mikopo ya kilimo.. pride inamilikiwa na Idd Simba. Huoni kwamba huu ni ufisadi mwingine? KWA ninni kila mahali anappojihusisha panatokea wizi? Tumeona UDA na scandal ya sukari mbovu...huyu jamaa ni janga la Taifa
Hatimaye hili jipu linakaribia kupata tiba
 
Back
Top Bottom