Idd Simba ahusishwa na utapeli kupitia Pride Tanzania

Idd Simba ahusishwa na utapeli kupitia Pride Tanzania

ndomana nchi hi hItoweza endelea hata siku moja maana kuna watu wanawatetea sana mijizi mikubwa ya nchi.....iko siku hao majizi watakufa kama kama mixoga tu
 
Hata mapesa ya kuuzwa UDA aliyaweka kwenye akaunti ya PRIDE. Yote anayafanya kwa kuwa anajua serikalini hakuna wa kuweza kuhoji. Ukisikia serikali kuwekwa mfukoni mwa watu ndiyo tunachoshuhudia.

Kweli kabisa mkuu. Idd Simba anaitumia PRIDE kama ngazi ya kufanyia utapeli.. Sasa hii ya kuwatapeli wakulima masikini wa vijijini ,amefika mbali sana
 
ndomana nchi hi hItoweza endelea hata siku moja maana kuna watu wanawatetea sana mijizi mikubwa ya nchi.....iko siku hao majizi watakufa kama kama mixoga tu

Hao wanaowatetea majizi wanalipwa na hao majizii.. Hii nchi sijui ikoje
 
Wewe unaejua usemalo hebu tueleze.!!!

nani nimueleze wakati kila mtu anajua jamaa lilivyo chakachua UDA! au ulikuwa hujazaliwa? make naona hata kujiunga na jamii forum una siku 3 tu umejiunga 24.8.2014!!!
 
Ufisadi ni kama gonjwa la kurithi vile... linaambatane nawe tu. Huyu jamaa hajaanza ufisadi leo. Nakumbuka kipindi akiwa waziri alishawahi kufanya ufisadi fulani uliomfanya akajiuzulu....HASIDI HAACHI ASILI...
 
Kweli kabisa.. Huyu jamaa ni fisadi toka siku nyingi sana, Aliwahi kuuza jengo la ubalozi wa Tanzania nchini Burundi.. Halafu ni Mhutu huyu hana uchungu na Watanzania
 
Nchi imejaa wajinga hii sijapata kuona,mada ya kipumbavu kama hii watu mnaishupalia.
 
.. fresh ya shamba hao wanao watetea dawa yao ni kuwapiga bakora tu shn...z type, kweli kabisa watakuwa wanalipwa hela na majizi hao
 
Last edited by a moderator:
Barubaru,

..hivi kashfa zote hizi zinazomwandama Iddi Simba bado unaamini huyu ni "mchumi maarufu"??

..hivi bado unamweka Iddi Simba ktk mizano moja na Prof.Dr.Nguyuru Ibrahim Harun Lipumba?

cc Gs-300
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa.. Huyu jamaa ni fisadi toka siku nyingi sana, Aliwahi kuuza jengo la ubalozi wa Tanzania nchini Burundi.. Halafu ni Mhutu huyu hana uchungu na Watanzania

Una uhakika ni mhutu wa burundi?
 
Samahani.. kumbe una mume

Asante kwa kuendelea kuthibitisha upumbavu wako! Kwa u-idiot wako (which means kuku ana akili kuliko wewe) unaamini mtu lazima awe ama na mke au mume. Kuna watu wanaitwa bachelors b.w.e.g.e mtozeni wee!
 
Ufisadi ni kama gonjwa la kurithi vile... linaambatane nawe tu. Huyu jamaa hajaanza ufisadi leo. Nakumbuka kipindi akiwa waziri alishawahi kufanya ufisadi fulani uliomfanya akajiuzulu....HASIDI HAACHI ASILI...

Ndiyo mkuu kwanza ilikuwa ni swala la kupanda kwa sukari MKAPA akamkingia kufua mwishowe akauna aibu ndo akamruhusu kujiuzuli kwa shingo upande
 
Back
Top Bottom