- Thread starter
- #21
We kibwengo, uwe unauliza kwanza kabla ya ku-comment!
nikuulize wewe kama nani? zuzu kama wewe utaniambia nini mimi?
We kibwengo, uwe unauliza kwanza kabla ya ku-comment!
labda kama wewe ni mbia wake...mbona hajarudisha shs 300 milioni mauzo ya uda aliotia mfukoni kwake.
Umlishe mtu kwa buku 7 za lumumba?
wacha uongo, alichomolewa na dpp huku akiwa kashaoneka
ana kesi ya kujibu.
Mkuu kweli yan wale pride ni wezi wa kutupaa kabisaa yan
Huyu na mkewe walihusishwa pia na kuuza dawa fake za ukimwi lakini hakuna kilichotokea dhidi yake bado anapeta mtaani hili nalo hata kama lina ukweli litapita tu. Mafisadi na mapanya ndani ya chama cha wahuni wanakingiana vifua ili kufichiana dhambi zao.
wewe ni fisadi bila shakaWe ndio zuzu kweli..KESI ishaisha siku nyingi tu
wewe ni fisadi bila shaka
inashangazauna uhakika alichukua hizo pesa? au umekaririshwa pale ufipa na padri slaa. Ndio shida ya misukule ya Chadema, .. Chochote mbowe au slaa atakachosema yenyewe ni kushangilia tu kama mazuzu..poor you
Mkuu kweli yan wale pride ni wezi wa kutupaa kabisaa yan
Mkuu. Una uhakika lakini na unachoongea? Au umekurupuka.kutoka Bar
Huyu na mkewe walihusishwa pia na kuuza dawa fake za ukimwi lakini hakuna kilichotokea dhidi yake bado anapeta mtaani hili nalo hata kama lina ukweli litapita tu. Mafisadi na mapanya ndani ya chama cha wahuni wanakingiana vifua ili kufichiana dhambi zao.
Wala sijakurupuka bali vidole vimeteleza. Idd Simba alihusika na kesi ya kusababisha hasara ya bilioni 9 UDA kesi ikafutwa kinamna, hiyo ya dawa feki za ukimwi ni ya Madabida nayo imepotezewa. Wote hawa wanapeta mtaani.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...katika-kesi-ya-kuhujumu-shirika-la-uda-2.html
nikuulize wewe kama nani? zuzu kama wewe utaniambia nini mimi?
Hata mapesa ya kuuzwa UDA aliyaweka kwenye akaunti ya PRIDE. Yote anayafanya kwa kuwa anajua serikalini hakuna wa kuweza kuhoji. Ukisikia serikali kuwekwa mfukoni mwa watu ndiyo tunachoshuhudia.Wala sijakurupuka bali vidole vimeteleza. Idd Simba alihusika na kesi ya kusababisha hasara ya bilioni 9 UDA kesi ikafutwa kinamna, hiyo ya dawa feki za ukimwi ni ya Madabida nayo imepotezewa. Wote hawa wanapeta mtaani.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...katika-kesi-ya-kuhujumu-shirika-la-uda-2.html
Wewe utakuwa ni fisadi mwenzake.. Huoni hata huruma pride kuwatapeli wakulima masikini wa vijijini?
Mkuu...njoo na familia yako nikulishe.. naona.una njaa sana..
Kila mtu anaeweza kujilisha (achilia mbali kulisha wenzake) hawezi kujikomba kama unavyofanya wewe na wenzako.
taratibu dada!
Yaani kila topic ikitoka wewe wa kwanza kujibu, unafanya kazi kweli wewe?
Mwajiri wako yupo na anakulipa! Kweli hapa maendeleo yatakujaje kwa madada wazuri kama wewe kushinda mitandaoni bala kuzalisha? Au utakuta hii ndo ajira yako hapa upo kazini! Lumumba ni shiiiiiiiiida!!!