Idd Azzan Kwaheri Kinondoni

Idd Azzan Kwaheri Kinondoni

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
19,228
Reaction score
68,247
Huyu ni mbunge wetu anaemaliza muda wake hapa jimboni Kinondoni.

Katika muda wote aliokaa madarakani kama mbunge wetu hatuna cha kujivunia kutoka kwake, kwani Kinondoni pamoja na kuwa ni mjini lakini huduma za kiafya bado ziko chini, barabara za mitaani ndio usiseme ziko hoi, yaani tunashindwa hata na barabara za mitaa ya Temeke.

Mbaya zaidi, hali ya maji baadhi ya maeneo imebaki kuwa janga sugu ndani ya jimbo hili. Sasa imefika wakati imetosha.

Leo hii ndio unakumbuka shuka wakati kumekucha, unakuja kugawa rushwa kwa Wanaccm wenzako ili wakuchague tena kura za maoni. Watakupitisha huko CCM lakini nguvu ya umma (Ukawa) itakumaliza ifikapo Oktoba 25.

Nenda Iddi Azzan, tutakumbuka labda kwa ongezeko la mateja jimboni kwako.
 
MASSolin5 wewe siyo mkazi wa Kinondoni tuachie sisi, au kama umeamua kuandika thread tu
Kinondoni imeendelea sana kuliko kipindi chochote mitaa ya Hananasifu kuna lami na mitalo ya nguvu hakuna mafuriko tena
Mpaka Asha Baraka nyumba yake imevunjwa kibaraza kwaajiri ya kupanua barabara kuweka mitaro na lami,

Mtaa wa pinda lami tupu sasa hivi majanga watoto wanagongwa hovyo kwa mbio za madereva wapumbavu,

Tuachie Kinondoni yetu wewe baki huko Temeke
 
Acha uzushi wewe Kinondoni barabara mbovu zimejengwa chini ya Kiwango kuliko jimbo lolote Dar.
 
Duu kinondoni kitu kikubwa mheshimiwa mbunge atakumbukwa nacho ni "kuzalisha" MATEJA kwa kiasi kisicho na idadi.
Nenda Idd Azzan nenda, huna cha kukumbukwa.
 
Huyu na mwenzake Mnyika hawana tofauti,tunawasubiri October
 
Acha uzushi wewe Kinondoni barabara mbovu zimejengwa chini ya Kiwango kuliko jimbo lolote Dar.

Barabara ya Akachube inayopita Makumbusho hadi Mwananyamala ni mfano hai wa unachokisema
 
MASSolin5 wewe siyo mkazi wa Kinondoni tuachie sisi, au kama umeamua kuandika thread tu
Kinondoni imeendelea sana kuliko kipindi chochote mitaa ya Hananasifu kuna lami na mitalo ya nguvu hakuna mafuriko tena
Mpaka Asha Baraka nyumba yake imevunjwa kibaraza kwaajiri ya kupanua barabara kuweka mitaro na lami,

Mtaa wa pinda lami tupu sasa hivi majanga watoto wanagongwa hovyo kwa mbio za madereva wapumbavu,

Tuachie Kinondoni yetu wewe baki huko Temeke

Huko ni juhudi za tarimba mkuu syo azzan
 
Wilaya ya Kinondoni ni kubwa na moja ya wilaya nguli, ila mbunge, mkuu wa wilaya wote waliyokuwepo syo watendaji kabisa, manispa ya kinondoni imejaa wapigaji tu...
Ila Hongera yake mbunge Idd azzan maana naona jumba aliloshusha kwake si mchezo.
Kitu kingine kinondoni ina nuksi ya kupata wabunge ambao ni maboya ....mnakumbuka Peter kabisa naye alikuwa boyaaa
 
Tatizo lenu watu mnao kaa pwani ni ulaji mbaya so hata lufikiri kwenu ni shiiida, wakati uchaguzi wa 2010 unafanyika nilidhani mta muondoa huyo mvurushi but mkamuacha. Wacheni kula kuku poa zip navuruga wezo wa kufikiri.
 
MASSolin5 wewe siyo mkazi wa Kinondoni tuachie sisi, au kama umeamua kuandika thread tu
Kinondoni imeendelea sana kuliko kipindi chochote mitaa ya Hananasifu kuna lami na mitalo ya nguvu hakuna mafuriko tena
Mpaka Asha Baraka nyumba yake imevunjwa kibaraza kwaajiri ya kupanua barabara kuweka mitaro na lami,

Mtaa wa pinda lami tupu sasa hivi majanga watoto wanagongwa hovyo kwa mbio za madereva wapumbavu,

Tuachie Kinondoni yetu wewe baki huko Temeke

Anamuongelea Azan, siyo Tarimba
 
Duu kinondoni kitu kikubwa mheshimiwa mbunge atakumbukwa nacho ni "kuzalisha" MATEJA kwa kiasi kisicho na idadi.
Nenda Idd Azzan nenda, huna cha kukumbukwa.

Mkuu uko sahihi kabisa, ila kuna kibaraka mmoja hapo juu anamtetea jambazi mwenzake.
 
Wilaya ya Kinondoni ni kubwa na moja ya wilaya nguli, ila mbunge, mkuu wa wilaya wote waliyokuwepo syo watendaji kabisa, manispa ya kinondoni imejaa wapigaji tu...
Ila Hongera yake mbunge Idd azzan maana naona jumba aliloshusha kwake si mchezo.
Kitu kingine kinondoni ina nuksi ya kupata wabunge ambao ni maboya ....mnakumbuka Peter kabisa naye alikuwa boyaaa

Namkumbuka vizuri huyo jamaa! CCM mwisho wao umefika.
 
Kinonondoni mkwajuni ndio kuna shida ya maji sijapata kuona..

Halafu hawapo mbali na ofisi za makao makuu ya ccm ya wilaya ya kinondoni.

Ndio maana nikasema hawa jamaa dawa yao ni Oktoba 25.
 
Back
Top Bottom