Idd Azzan Kwaheri Kinondoni

Idd Azzan Kwaheri Kinondoni

Tatizo lenu watu mnao kaa pwani ni ulaji mbaya so hata lufikiri kwenu ni shiiida, wakati uchaguzi wa 2010 unafanyika nilidhani mta muondoa huyo mvurushi but mkamuacha. Wacheni kula kuku poa zip navuruga wezo wa kufikiri.

unajua kilichomfanya ashinde au unaoonge na nyie wa bara si mmekuja kuharibu xiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiu
 
MASSolin5 wewe siyo mkazi wa Kinondoni tuachie sisi, au kama umeamua kuandika thread tu
Kinondoni imeendelea sana kuliko kipindi chochote mitaa ya Hananasifu kuna lami na mitalo ya nguvu hakuna mafuriko tena
Mpaka Asha Baraka nyumba yake imevunjwa kibaraza kwaajiri ya kupanua barabara kuweka mitaro na lami,

Mtaa wa pinda lami tupu sasa hivi majanga watoto wanagongwa hovyo kwa mbio za madereva wapumbavu,

Tuachie Kinondoni yetu wewe baki huko Temeke

Wewe ngedere unafikiri kinondoni studio,hananasif mtaa wa kisutu ndiyo sehemu za kinondoni tu kaa kimya kama hujui ngedere jike wewe
 
Kama UKAWA wakijipanga vizuri, JIMBO LA kinondoni wanalichukua mapemaa. Hata matokeo ya mwaka 2010 yanathibitisha huko.
 
Wewe ngedere unafikiri kinondoni studio,hananasif mtaa wa kisutu ndiyo sehemu za kinondoni tu kaa kimya kama hujui ngedere jike wewe

We mpumbavu hujui lolote usijipendekeze kwangu na viroba vyako nyani wewe idiot..
 
Acha uzushi wewe Kinondoni barabara mbovu zimejengwa chini ya Kiwango kuliko jimbo lolote Dar.

Huyo Mnyika wenu hata hiyo mbovu aliyojenga ni ipi?
Muwe na shukrani amejitahidi sana kuliko hao wengine maboya tu
 
Huu ni wakati wa kuhinua uchumi wa nchi yetu TANZANIA .Lazima Serilikali hitumie kila mbinu kuhinua hali ya maisha ya wananchi.Kwasasa hivi Tanzania uchumi wetu mkubwa hunatokana na kilimo.Kwahiyo serikali lazima hitafute njia zingine zaidi kuhingiza mapato na hajira zaidi.Nafikiri tatizo kubwa zaidi ktk nchi yetu ni hajira kuwepo na mikutano namna la kutatua tatizo hilo.Sasa hivi tunawasomi na wanauchumi lazima wakae pamoja nakufafanua na jinsi ya kuwasidia wananchi .

Hakuna wilaya isiyokuwa na hivyo ulivyovitaja.
 
Wilaya ya Kinondoni ni kubwa na moja ya wilaya nguli, ila mbunge, mkuu wa wilaya wote waliyokuwepo syo watendaji kabisa, manispa ya kinondoni imejaa wapigaji tu...
Ila Hongera yake mbunge Idd azzan maana naona jumba aliloshusha kwake si mchezo.
Kitu kingine kinondoni ina nuksi ya kupata wabunge ambao ni maboya ....mnakumbuka Peter kabisa naye alikuwa boyaaa
Naona baada ya boya Mtulia kubwaga manyanga, Azzan anapigiwa chapuo arudi tena, sijui kwa zuri gani?
 
Wilaya ya Kinondoni ni kubwa na moja ya wilaya nguli, ila mbunge, mkuu wa wilaya wote waliyokuwepo syo watendaji kabisa, manispa ya kinondoni imejaa wapigaji tu...
Ila Hongera yake mbunge Idd azzan maana naona jumba aliloshusha kwake si mchezo.
Kitu kingine kinondoni ina nuksi ya kupata wabunge ambao ni maboya ....mnakumbuka Peter kabisa naye alikuwa boyaaa
Afadhali ya Peter Kabisa, alijitahidi sana upande wa afya, uboreshaji wa hospital ya mwananyamala, magomeni na sinza

Barabara ya kutoka Victoria kupitia kwa kopa naya mama Zakaria

Sayansi kijitonyama mpaka kwa mtogole
Kinondoni yote wakati huo ilikuwa maji kila siku yanatoka

Kwangu Peter Kabisa alilitendea haki jimbo la kinondoni
 
Back
Top Bottom