Hawakupanga kumuua bali kumtesa ili awatajie aliye nyuma ya mgomo!
ndio wamekutuma kuja kuwatetea?? waambie tumewatema puuuuuuu, hadithi zao wazipeleke magogoni, mzee ana wajukuu kule watawasikiliza, ****!Sidhani kama kila unapotuhumiwa lazima uende mahakamani. Mbona watu mbalimbali, vyama vya siasa , makampuni yameshatuhumiwa lakini si wote wanaokwenda mahakamani? Hapa naona kama tunakionea chombomhicho cha dola, Mbona mara kibao Polisi wametuhumiwa kwa mauaji na hawajawahi kwenda mahakamani? Mtu wenye matunda ndiyo unaopopolewa kwa mawe, Tusiwakatishe tamaa hawa jamaa kwa maneno ya kugushi na taarifa za waathirika. Huyu Kubenea bado ana kinyongo na Tindikali aliyomwagiwa sasa anafikiri ndiyo sehemu ya kulipiza kisasi na sijui kwa faida ya nani?
UMENENA MKUU,:sleepy::sleepy:Ukisoma katikati ya mistari unaona wazi kuwa ukweli unawasuta na hawawezi kuupinga ukweli kwa uwongo, daima ukweli huvunja milima.
Aibuuuuu - kwa idara nyeti kama hii kutoa press release zilizo shallow kiasi hiki!
Kamdanganyeni mama yenu! Eti taarifa hizo tuzipuuze, mazezeta nyie! Mmeamua kuwa vibaraka wa mafisadi, kiama chenu chaja mafa la nyie. . . .
Nchi kama Marekani habari iliyoandikwa kuhusu Usalama wa Taifa kwa kudonoa majina ya wahusika, namba zao za simu, walikozaliwa na mengineyo lingekuwa kosa kubwa ambalo bila ajizi ni kufungiwa gazeti hilo for good na mhusika kupambana na mkono wa sheria kitu ambacho ni kuishia kifungoni.
Mkuu @Candid Scope
Hivi Tanzania tuna usalama wa Taifa, kama tungekuwa na usalama wa Taifa wamiliki wa Richmond raisi angewajua, ndege za jeshi la nchi nyingine zisingetua na kubeba raslimali zetu bila usalama wa taifa kujua...!?
usifananishe Tanzania na Marekani, USA utaifa uko mbele siyo masaburi yao na matumbo yao kama ilivyo hapa kwetu..
Mkuu @Candid Scope
Hivi Tanzania tuna usalama wa Taifa, kama tungekuwa na usalama wa Taifa wamiliki wa Richmond raisi angewajua, ndege za jeshi la nchi nyingine zisingetua na kubeba raslimali zetu bila usalama wa taifa kujua...!?
usifananishe Tanzania na Marekani, USA utaifa uko mbele siyo masaburi yao na matumbo yao kama ilivyo hapa kwetu..
Sasa kwanini tuwaongope wakati mambo wanayoyafanya siyo..maana kwenye thread yako uliimanisha hawa ni watakatifu hawaguswi wakati usalama wa CCM wamejaa wahuni tu tena ni afadhali wahuni wa unga ltd kuliko waliojazana magogoni....Baba na mama ndani ya nyumba wakiwa ovyo-ovyo, dhaifu-dhaifu, lege-ege, laini-laini, tepe-tepe nakadhalika, unatazamia nini kwa watoto na wengine waliomo ndani ya familia hiyo?
Baba na Mama ni nguzo ya nyumba, uimara wao ndio uimara wa familia. Udhaifu wao ndio utakaoiangamiza familia.
Tatizo si Usalama wa Taifa tu, bali idara za serikali karibu zote ni ovyo ovyo tu. Ni dalili wazi kunakosekana uongozi madhubuti serikalini ndio maana kila idara bora liende.
Umenipata mpaka hapo?