Idara ya Uhamiaji kuwa Jeshi la Uhamiaji

Wale jamaa walikuwa ninwakarimu sana! Kwa sisi wazee wa boda to boda, sasa wakiwa jeshi si watakuwa makauzu?

Nafikiria zile zama unapita na pass ishaisha miezi kibao, wanakwita wanakuambia bwana mdogo huu mchezo sio mzuri usirudie tena, nenda zako, sasa likiwa ni Jeshi ulete huo upuuzi nahisi utatoka ndani ya yale majengo ukiwa unatambaa...
Hata yule kamanda wao mkuu ni jembe aisee, yaani anakusikiliza hata kama una maseke yako nafsi inatulia na unaliona kabisa kosa lako.


Uhamiaji ni haki likawa Jeshi, jamaa wanakutana na watu wa ajabu sana na kuna kero kama zote pale.

Nakumbuka msomali katoa passport ina picha ya mwanamke alafu anasema yule ni yeye ile picha ya mwaka jana, alafu akanigeukia akasema oria huyu si mimi huyu?

Nikamjibu wanakukany**a wewe toa maelezo hapo usiniingize matatizoni.

Tunduma moja.
Kumbe? Vp mkiwapiga mpunga hawapokei??
 
Nilijitahidi kubadilisha kila idara kuwa jeshi lakini wapi bado nikapinduliwa,
 
Back
Top Bottom