Chifu Sanze
JF-Expert Member
- Jul 20, 2021
- 3,122
- 6,344
Leo nimefika hospital ya taifa Muhimbili kufanya kipimo cha Ultra sound,kwa kweli hali niliyoishuhudia ni ya kusikitisha kwani wagonjwa wamekuwa wakikaa muda mrefu bila kupatiwa huduma.
Wagonjwa wakifika wanaambiwa wanywe maji wataitwa lakini unaweza kukaa zaidi ya saa 5 bado huitwi.
Angalau wale wanaotoka wodini hupewa kipaumbele kidogo lakini nyie ambao mmekuja kutoka majumbani ni balaa.
Nyie mtaona watu wengine wakitoka kufanyiwa kipimo bila kujua wameingiaje mtu akienda kuuliza anaambiwa subiri kwenye benchi utaitwa.
Sasa sijui vifaa ni vichache kuliko wagonjwa au na wao sasa wanalamba asali na nimesikia nikiwa pale pale hata kwenye kipimo cha MRI hali ni hiyo hiyo.