Idara ya Mawasiliano Ikulu Inaaibisha

Eti wana blogu ya ukulu pale kwenye nafasi za bure (blogspot) ambako hata Michuzi alikuwa anataka kujitoa.

Ikulu Mawasiliano

Aibu kweli hii, kwa nini wasiwe na server yao?

Jamani, yaani watu tuko hapa JF kutwa na wanatujua kabisa, isitoshe Invisible ameshawaambia kuwa wakitaka msaada wa vitu kama hivi waseme tu. Hawana haja ya kutangazia umma kuwa tunahitaji msaada wa kutengeneza tovuti au ku-maintain server.... we can abide na sheria na privacy zote wanazohitaji, isitoshe lengo letu hapa ni kuona nchi yetu inaendelea na si kinginecho... Surely, they can ask one of us and we'll suggest on how to carry forward a project like that efficiently. Bila bugudha kwa Ikulu yetu na kwa kile wanachopanga kukirusha kwenye mtandao huo.

Honestly, I look at this as an improvised insult to all tech savvy people waliopo hapa nchini wenye uwezo wa kuisaidia kwa moyo wote kabisa Ikulu ya Mh. Rais wetu bila kuingilia malengo ya kazi yao. Oooh Dear Lord....!! :(

....(jamani, hata Shy umeshindwa kutoa msaada kabisa katika hili?)
 
Thanks Kichuguu,

Nimeiona. Sasa hawa watu wanashindwaje kutengeneze website ambayo kwa usalama wa habari zitokazo huko Ikulu ni muhimu kuwa na secure website au kwa hao watu wa mawasiliano hiyo si issue ya muhimu kwao?

Hebu tuangalie wenzetu wanafanyaje kuwafikia na kuwasiliana na wananchi wa kawaida. Ebu tizama website ya 'jumba jeupe' ambalo limepata mpangaji Binamu Obama FTC Chair Tim Muris Hosts Ask the White House

Rweyemamu na timu yako mnatakiwa kufanya kazi ya ziada. Hata waganda na wanyarwanda wanawashinda. Pili, sijafurahishwa na hizo typos kwenye blog yenu. God Bless Tanzania.
 
Swali la kujiuliza ni kuwa, huyo mkuu wa idara ya harari au technologia ameandika gharama ni kiasi gani kwa kitu cha bure.

Sitoshangaa kuona mtu amekula mahela kibao.

Lets wait and see.
 
Inawezekana ikawa ndio matunda ya Kazi ya Bwana Mdogo Makamba baada ya kujaribu yake na kuona mafanikio sasa kaamua kuwaingiza wenzake porini. Really, they should have their own Server.
 
Thanks Kichuguu,

Nimeiona. Sasa hawa watu wanashindwaje kutengeneze website ambayo kwa usalama wa habari zitokazo huko Ikulu ni muhimu kuwa na secure website au kwa hao watu wa mawasiliano hiyo si issue ya muhimu kwao?

Hebu tuangalie wenzetu wanafanyaje kuwafikia na kuwasiliana na wananchi wa kawaida. Ebu tizama website ya 'jumba jeupe' ambalo limepata mpangaji Binamu Obama FTC Chair Tim Muris Hosts Ask the White House

Rweyemamu na timu yako mnatakiwa kufanya kazi ya ziada. Hata waganda na wanyarwanda wanawashinda. Pili, sijafurahishwa na hizo typos kwenye blog yenu. God Bless Tanzania.

Mkuu, security wala yaweza isiwe issue kabisa... maana blogspot are secure enough. Infact yaweza kuwa secure kuliko sites nyingi au hosts wengi wanaorun servers zao.

The bottomline ni HADHI.

Kumbuka, hadi "blog pendwa ya kujiramba" ilianza kunyoshea miguu yake hapo kabla haijalimwa chakali jembe la nyongani ..
Leo hii "MAWASILIANO IKULU"........ below the belt, innit?!!
 
...amini usiamini kuna wafanyakazi walipelekwa England na Ikulu ili kuja kufanya kazi/kutengeneza hiyo site,nina uhakika na hili maana nilikutana na huyo mtu London akiwa kwenye hiyo training...pesa za walipa kodi kazini!
 
Kichuguu that's a good find.

We've said, time and again.The wrong people are entrusted with quite sensitive responsibilities, but I didn't contemplate that Salva would commit such a tech crime - until today.

I'm not surprised though.Salva and company are technologically-challenged, I mean they scared of it[technophobia].Rather than embracing it to find solutions and make their work easier, they are raping it.

Hebu jiulize tatizo ni nini? Gharama? Ufundi/Teknolojia? Sidhani hayo ni kweli, ila wanakosa fikra sahihi kwa nafasi walizonazo.Ni swala la atittude zaidi kuliko kitu kingine chochote, kama wamekwama wangeuliza hata wanafunzi wa chuo cha teknolojia DIT wangewasaidia.Badala ya blog ni bora wawe hawana presence online altogether.


I had a funny feeling that for the first time in the history of this great but poorly managed nation, we elected a tech savvy preza, but I'm forced to reconsider my theory.

Labda wanajua hakuna atakayewakemea kwa fujo zao hizi za mwaka 47.Lakini kusema kweli hii ni aibu.Tunaweza ku-weave website na kui-donate Ikulu kuondoa aibu.
 
Swali ninalojiuliza ni kwamba,

Waziri wa miundo mbinu yupo wapi na anafanya nini? Kama kuna mwandishi wa habari ambaye anaweza kumuuliza kuhusu hiyo "BLOG" tusikie anajibu nini.
 
well.. nzuri ni kuwa kuna bajeti ya ICT kwa miaka karibu miwili sasa na mojawapo yavitu ambavyo wanatakiwa kugharimia ni hilo la tovuti rasmi ya Ikulu (sasa hivi kuna tovuti ya serikatli (National Website of the United Republic of Tanzania) ambayo inafunction kama ya Ikulu halafu kuna hii ya mawasiliano ya Ikulu..


Good


Sasa tupe mbaya. Najua kuwa miaka mitatu iliyopita kuna mtu alilipwa dola laki tatu kwa kutengeneza website ya Ikulu ambayo sijui iliishia wapi
 
Yaani nimeangalia hiyo Blogspot ya Ikulu sijaamini macho yangu. Yaani serikaliinatafuta blogs za bure kuweka mambo yake? Serikali ambayo hata kununua gari la used ni marufuku linakuwaje na blogspot wajameni. Duh naona sasa hii ni mupya kabisa. Na hapo unaweza kukuta kuna jamaa kala hela ya kutengeneza hiyo blog. Hii ni aibu kweli kweli. Kwani hakuna sera ya mawasiliano Ikulu ama procedure ikiwepo ya kuanzisha blogs za Ikulu? Si kwamba hatutaki serikali ama vyombo vyake kuwa na blogspot lakini inayohusu mawasiliano ya Ikulu ama nchi kwa hili hapana.Someone need to be given a serious warning or even fired!
 
Back
Top Bottom