Hivi ninyi Idara ya maji mkoa wa Mbeya mnashida gani? Haiwezekani tumelipia maji toka Jumatatu mpaka leo hii hamtaki kurejesha maji .
Mnapigiwa simu mnaahidi kutuma mafundi lakini mafundi wenu hawaji, mnategemea watu wanaishi je.kama kuna shida nyingine tujuzeni sababu malipo yote tayari tumefanya.