Idadi ya walipa kodi yapungua

Idadi ya walipa kodi yapungua

Acheni kutupanga hivi nchi hii kuna mtu alipi kodi, hivi miamala kwenye sim , malipo kwenye luku , maushuru mbalimbali ikiwemo maegesho ya magari sio kodi

Kwa nini mnataka fanya watz wajinga sana ,pumbavu
Walipa kodi wameongezeka kwa ujumla wake, labda wamepungua mawakala wa kukusanya kodi.
Tuna changamoto ya kutofautisha walipa kodi na mawakala.
Mara nyingi walipa kodi huongezeka sambamba na idadi ya watu.
 
Idadi ya walipa kodi nchini imeshuka kutoka watu 3,336,777 kwa mwaka 2021/2022 hadi watu 2,282,048.

Hayo yamesemwa na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango leo jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa kongamano la kodi na uwekezaji.

Je, unadhani nini kimechangia hali hii?

Je, wewe binafsi unalipa kodi yako na kuhimiza wengine kulipa kwa ajili ya kuongeza kasi ya ukuaji wa maendeleo nchini?

Haya wale walio seme hii nchi inaweza kujitegemea wanyooshe mkono juu. Kiufupi tuna safari refu sana kuweza kujitegemea. Kama tupo milion 65 afu waliosajiliwa TRA ni milion mbili 🤣

Hali ngumu ya Uchumi Nchini Tanzania inafichwa ili kuogopa Aibu ya Samia kushindwa uongozi, hata hizo Takwimu za makusanyo zinazotolewa na TRA ni za uongo.

Unawezaje kupandisha Mapato ikiwa Walipa kodi Wamepukutika kama hivi, Wanamdanganya nani kwa faida ipi?
 
Walipa kodi wameongezeka kwa ujumla wake, labda wamepungua mawakala wa kukusanya kodi.
Tuna changamoto ya kutofautisha walipa kodi na mawakala.
Mara nyingi walipa kodi huongezeka sambamba na idadi ya watu.
Wewe na Dkt Mpango tumuamini nani?
 
Kiufupi Hao sio walipa Kodi, Ni wakusanya Kodi on behalf of TRA Na wanaeza wasilioe sawa sawa na walivo kusanya.

walipa KODI halisi ni sisi Wanunuzi.
 
Tunafikaje malengo ya makusanyo ya kodi ya jumla ya TRA kama tuna upungufu wa walipa kodi zaidi ya milioni moja?? Naomba watu wa uchumi wanisaidiie mimi mwananchi wa kawaida kuelewa hili. Asante
 
Idadi ya walipa kodi nchini imeshuka kutoka watu 3,336,777 kwa mwaka 2021/2022 hadi watu 2,282,048.

Hayo yamesemwa na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango leo jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa kongamano la kodi na uwekezaji.

Je, unadhani nini kimechangia hali hii?

Je, wewe binafsi unalipa kodi yako na kuhimiza wengine kulipa kwa ajili ya kuongeza kasi ya ukuaji wa maendeleo nchini?

Haya wale walio seme hii nchi inaweza kujitegemea wanyooshe mkono juu. Kiufupi tuna safari refu sana kuweza kujitegemea. Kama tupo milion 65 afu waliosajiliwa TRA ni milion mbili 🤣

Machinga wote sahivi halipi tena kodi na walikuwa zaidi ya 1 million nadhani ni hao ndio wamepunguza idadi..
 
Hatari sana tumepoteza walipa kodi 1,000,000.

Asilimia kubwa sana, serikali itoke na kutuambia nini kimetokea.

Nchi haijakumbwa na vita kubwa ya kupoteza nguvu kazi wala hakuna gonjwa kubwa la kufuta 33% ya nguvukazi walio walipa kodi iwe binadamu au kampuni.

Haya mambo yanatakiwa yajadiliwe kwa kina ni makosa ya takwimu zilizokusanywa sensa ya walipa kodi au serikali ilitaka kujimwambafai ina idadi kubwa ya walipa kodi.
TRA wanapiga fix mapato yamepanda, Poor TRA, Takwimu za Jiwe zimerejeshwa tena.
 
Tuna changamoto ya kutofautisha walipa kodi na mawakala

Gavana wa benki kuu Tanzania na Kamishna wa TRA wazungumzia mawakala wa kodi

17 October 2024

MFUMO MPYA WA KODI UTAKAO PUNGUZA MIGOGORO KUANZA JANUARY, GAVANA WA BOT NA KAMISHNA TRA WAFUNGUKA

View: https://m.youtube.com/watch?v=0FF6dv465cU
Gavana wa benki kuu ya Tanzania Dr, Emmanuel Tutuba amesema Tanzania itaendelea kuweka mazingira bora ya biashara ikiwemo eneo la kodi huku akisisitiza benki kuu ya Tanzania itaendelea kulinda uwekezaji katika taasisi za kifedha.

Ameyasema hayo leo jijini Dar es Salaam katika kikao kazi cha pamoja baina ya watendaji wa benki za nchini Tanzania mamlaka ya mapato nchini TRA pamoja na Gavana wa benki kuu huku akisema mazingira hayo ni pamoja na ukusanyaji wa madeni kupitia uwakala wa benki kwa kuzingatia taratibu na sheria huku akisisitiza taasisi za kifedha kuheshimu taratibu na sheria za uendeshaji.

Naye kamshina wa mamlaka ya mapato nchini Tanzania TRA Yusuph Mwenda amesema mamlaka ya mapato Tanzania itaendelea kuja na mifumo rahisi na rafiki katika ukusanyaji wa mapato na kodi mifumo ambayo mingine itaanza kufanya kazi mwezi januari mwakani ili kuondoa changanoto zinazowakumba walipa kodi nchini.
 
Acheni kutupanga hivi nchi hii kuna mtu alipi kodi, hivi miamala kwenye sim , malipo kwenye luku , maushuru mbalimbali ikiwemo maegesho ya magari sio kodi

Kwa nini mnataka fanya watz wajinga sana ,pumbavu
Mkuu wanachukulia watanzania wa sasa ni wale wale wa miaka 70's kwamba wananchi hawana elimu ya kodi wakati unaponunua bizaa yoyote tu jua kuwa ushakatwa kodi.
 
Idadi ya walipa kodi nchini imeshuka kutoka watu 3,336,777 kwa mwaka 2021/2022 hadi watu 2,282,048.

Hayo yamesemwa na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango leo jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa kongamano la kodi na uwekezaji.

Je, unadhani nini kimechangia hali hii?

Je, wewe binafsi unalipa kodi yako na kuhimiza wengine kulipa kwa ajili ya kuongeza kasi ya ukuaji wa maendeleo nchini?

Haya wale walio seme hii nchi inaweza kujitegemea wanyooshe mkono juu. Kiufupi tuna safari refu sana kuweza kujitegemea. Kama tupo milion 65 afu waliosajiliwa TRA ni milion mbili 🤣

Nijuavyo wafanyakazi wote walio ajiriwa wanalipa kodi (paye) ambayo ni kubwa sana kwa wenye mishahara ya kati na ya juu pengine sawa na mlipaji kodi anayefanya Biashara ya kati na baadhi ya juu.
Sasa kama wafanyakazi pekee wenye ajira ni zaidi ya milioni 6, hapo bado hatujaweka wafanya Biashara,
Naona kama hiyo idadi haijakaa sawa sawa kwa sababu wafanyakazi wenye ajira ni walipa kodi wazuri (sio wakwepaji) na wale wenye mishahara ya juu ni walipa kodi wakubwa tu kupitia mishahara yao
 
1740036881746.jpg
huu mjadala ni wawanaume tu mwanamke usicomment .😂
 
Sisi sio Wajinga bhana.

Juzi tu nimetoka kulioa 2200 VAT kupitia wakaka luku, Halafu Jinga moja limeshiba Allowance linataka kusema sisi ambao hatukadiliwi mapato na TRA hatulipi kodi...

STUPID
 
Attachments

  • Screenshot_20250415-211128~2.jpg
    Screenshot_20250415-211128~2.jpg
    100.5 KB · Views: 13
Nawashangaa mkuu, ccm janga la Dunia
Labda kuna kodi aliyoiongelea yeye na hiyo idadi ya watu maana kodi ziko tofauti tofauti kuanzia VAT, CORPORATE TAX, EXCISE DUTY, CUSTOM DUTY, WITHHOLDING, INCOME TAX, SOCIAL SECURITY, PROPERTY TAX, etc.
 
  1. kuzorota kwa uchumi,
  2. mabadiliko ya sheria na sera za kodi, na

Watu wanakwepa kuweka fedha zao benki kuogopa mawakala wa TRA na pia tozo za kutoa fedha ktk ATM hivyo biashara na shughuli nyingi zinafanyika chini ya meza serikali haina takwimu za hawa wanaoendesha shughuli nje ya mfumo...

1744741254534.jpeg

1744741292521.jpeg
 
Issue ni Simple, Wafanyabiashara Hawapendi Kulipa Kodi ila linafahamika Kipindi Cha mzee baba Palikuwa na Task force za Kufatilia Hayo ilifika Time ukiingia sheli lazima Utoke na receipt au ukininua Kitu utadai receipt kuogopa Watu wa tra kukusumbua, Leo tunapika Data za Collection TRA pamoja na Kubembeleza wafanya Biashara walipe kodi kwanini, Tax base isishuke?
 
Back
Top Bottom