Cheko la mwakaHahahahaaaaaaaaaa
Classmates upo kwenye uzi huu ....Duuh
Nipoo std 7 mwenzangu za siku. mleta uzi kasema tujiorodheshe etiClassmates upo kwenye uzi huu ....
Nimecheka kwa nguvuu😂😂😂😂Kila mwanamke JF ana mtu, tena mtu wake handsome,ana pesa,anampeleka vacation nje ya nchi,ana magari ya kifahari na magorofa kwahio mdogo wangu jipime ukiweza mpindue mtu.
fanya kuniunganishia mimi uwe mkwe wangu tehteh, umri is just a number, i promise you ntakutunzia vzr kijana wakoNgoja nimtafutie mwanangu chombo hapa mimi nimeshakua mzee
hahaaaaa, mleta uzi umeona maneno haya, humu hakuna single ladies usijichoshe tu.Kila mwanamke JF ana mtu, tena mtu wake handsome,ana pesa,anampeleka vacation nje ya nchi,ana magari ya kifahari na magorofa kwahio mdogo wangu jipime ukiweza mpindue mtu.
hahaaa, mimi nna familia na watoto wakubwa tu mkuu, huo usingle hapana
umpindue baba watoto wee, humuwezi anajimuduu, sijihami bana ni kweli ujue tehtehNayawaza mapinduzi, japo sio ya viwanda.
Mbona unajihami best au ndo alizoimba Mr. nice wa enzi zile "yuko hapa hapa" hahahaa
Achaneni nae kwani lazima aoe humu!
nongwa hizi sasa , Mbn wenzetu wanasaidiana ktk mambo yao 
umpindue baba watoto wee, humuwezi anajimuduu, sijihami bana ni kweli ujue tehteh
Wa kwanza huyu hapa...Hahahahaaaaaaaaaa
Singo wa pili huyu hapa...Hilo cheko vp...mama giles hivi na ww ni single??
hahaa, mpaka mtu kupinduliwa lazima kuna weaknesses flan,huyu yuko vzr so uhuru wa huku watoshaaHahahaa!
Haya bhana kwahiyo unadhani wapinduliwao wote hawajimudu? Njoo huku kunako uhuru
hahaa, mpaka mtu kupinduliwa lazima kuna weaknesses flan,huyu yuko vzr so uhuru wa huku watoshaa

Hahhahah...najua ni utani tuu kwa mjukuu babuuWa kwanza huyu hapa...