Idadi ya wadada masingo JF

Idadi ya wadada masingo JF

Inbox unaifunga mpaka apate idhini yako.
Aah sasa mambo ya kuanza kufunga pm sababu ya matatizo uliyoyaleta barieda kweli sio poa, mi nakushauri tu,siku ukitaka kuandika uzi wa kutafuta mke ,we andika tu waliosingle na wahitaji watakufata wao ,hii ya kujisema, here, I am single mmh kama haijakaa poa sanaa
 
Wewe nae eti ukiondoa nyumbani wanakuachia chakula kwa akili hizi kweli?

Humu watu wamekuja kwa Mambo yao sio kuwaza ngono kwa misingi ya ndoa.
Bado nakula chakula cha take away mkuu, mfumo wa kuachiwa bado haujakuwepo.
 
Aah sasa mambo ya kuanza kufunga pm sababu ya matatizo uliyoyaleta barieda kweli sio poa, mi nakushauri tu,siku ukitaka kuandika uzi wa kutafuta mke ,we andika tu waliosingle na wahitaji watakufata wao ,hii ya kujisema, here, I am single mmh kama haijakaa poa sanaa

Hahahaa ytaka ujasiri!
Lakini mie nadhani kwa mdada yeyote hata wewe ulipo type "Duuh!" Hapo ulijiorodhesha tayari wakubwa tunaelewa sio hadi uandike "niko single"
 
Hata angetaka walio olewa bado asingepata watu. Watu hupenda kuweka mambo yao kuwa siri mpka hapo inapokuwa tatizo kubwa ndo ashirikishe Wengine. Ila ktk mitandao kama jf si vyema saaana kuweka detail zako wengine wsnajuana humu. Ila hao singo wapo wengi na wanatamani kuolewa ila huu utafiti utwasaidia kweli au utwadhihaki?
 
Hahahaa ytaka ujasiri!
Lakini mie nadhani kwa mdada yeyote hata wewe ulipo type "Duuh!" Hapo ulijiorodhesha tayari wakubwa tunaelewa sio hadi uandike "niko single"
hahaaa, mimi nna familia na watoto wakubwa tu mkuu, huo usingle hapana
 
Back
Top Bottom