Idadi kubwa ya wanaomuunga mkono Rais ni feki?

Hakika umeelezea vizuri tena hata kwa mistari ya vitabu vya dini,
pia duniani haItakuja tokea mtu akapendwa au kukubalika na watu wote, Kujaribu kupambana na ukweli huu ni uwenda wazimu...............kubalini kutukukubalika inapotokea.
Wewe inaelekea hata huijui "chachu" ya Mafarisayo na Masadukayo."Chachu" aliyokuwa anaongelea Bwana Yesu ni uzushi wa kupoteza,ambao ndio mlio nao ninyi.
 
Iko hivi. Kundi la wauaji akina mbowe si kundi jema. Kumbuka kauli zao zinaashiria kitu gani. Kumbuka pia hawa akina Mbowe wanalipwa na wazungu kuvuruga amani. Kumbuka Lisu alilipwa kuvuruga mijadala. Kumbuka akina Bashe wamehongwa kuvuruga mijadala na kuleta hoja za kumdharau rais.

Kumbuka hawa hawa akina Mbowe na Lowasa wake ni kundi la magaidi waliovaa ngozi za upinzani. Kumbuka hawa hawa akina mbow walileta watu kuiba kura. Kumbuka lowasa huyu huyu na kina mbowe wanaamini wao ndiyo wana hati miliki ya urais nchi hii. Kumbuka hawa hawa akina mbow na lowasa wanashiriki mipango miovu ya mauaji kwa wananchi wa kawaida ili wao wafaidike kisiasa.

Kifupi ni hivi tunaomuunga Mkoni Rais Magufuli ni sisi wananchi wa kawaida tusiokuwa na vyombo vya habari, ni sisi hawa wananchi wa kawaidia. Ila siku ikitokea wakimdhuru rais wetu ndiyo watatujua sisi ni akina nani, maana jeshi letu sisi wananchi ni kubwa zaidi kuliko wao. Na kibaya wanaendekeza ukabila, wanapandikiza mbegu za chuki, ila mpaka sasa wameshakwama na ndiyo maana muda si mrefu wataanza kupigwa mawe kwenye mikutano yao ili wajue hasira za wananchi zilivyo.

Hivyo hofu kubwa ni kuwa Mbowe na kundi laki ni kundi la wauaji, lisu wamempiga risas wenyewe, sasa kama walifanya hivyo kwa lisu je hawawezi kufanya hivyo kwa kiongozi yeyote???? Yaani Mbowe na lowasa ni waujai ni MAGAIDI! Time will tell, wataumbuka very soon hawa wauaji
Ndugu hebu tupia vielelezo ili hao waliohongwa wafikishwe kwenye fyombo fya dola, haraka.
 
Kama tanzania itabaki hii hii na mipaka yake bas Magu hana mpinzani wa kumtikisa kwa namna yyte ile 2020....jamaa ana supporter wengi sana hasa maeneo nyeti kwa uchaguzi...ukweli mchungu sana
Tupia nakala ya utafiti ulofanya
 
Ukitazama TBC1 na kusikiliza TBC Taifa,ukisoma Uhuru na magazeti dada,ukitazama mikutano ya Magufuli unaona watu wakitoa machozi kushangazwa na utendaji uliotukuka wa Rais. Vyombo karibia vyote vinaonyesha makundi makubwa makubwa yanayomuunga mkono Rais

Kinachonishangaza katika "wingi" wao huo bado wanajenga hofu juu ya watu wasiomuunga mkono Rais. Kilio chao kikubwa ni kwamba Rais aungwe mkono.

Aaaaghh,sasa unajiuliza mbona nje tunaonyeshwa watanzania takribani 90% wanaomuunga mkono rais? Hofu ya nini kwa hawa wachache wasiomuunga mkono Rais?Mbona kwa maoni yenu hawa waasi hawajai hata kiganja cha mkono?

Juzi nilipata kusikiliza TBC1(sio kutazama),wachambuzi wote na mtangazaji wanasifia utendaji wa Magufuli. Sasa nikajiuliza hofu ya nini jamani kama hali ni nzuri kiasi hiki kwamba watanzania watano katika kipindi cha TV wote wanakubali Rais wetu ni mzalendo,hii si inawakilisha kwamba watanzania wote tunamkubali?

Hapa ndipo napata tafakuri kwamba group hili la kumuunga mkono Rais ni la "kupikwa" na kutumia nguvu nyingi ili kuondoa hofu. Ila ukweli mnaujua

Katika media ulizotaja, hakuna hata moja inayoaminika. Ni matawi ya ccm.
 
Iko hivi. Kundi la wauaji akina mbowe si kundi jema. Kumbuka kauli zao zinaashiria kitu gani. Kumbuka pia hawa akina Mbowe wanalipwa na wazungu kuvuruga amani. Kumbuka Lisu alilipwa kuvuruga mijadala. Kumbuka akina Bashe wamehongwa kuvuruga mijadala na kuleta hoja za kumdharau rais.

Kumbuka hawa hawa akina Mbowe na Lowasa wake ni kundi la magaidi waliovaa ngozi za upinzani. Kumbuka hawa hawa akina mbow walileta watu kuiba kura. Kumbuka lowasa huyu huyu na kina mbowe wanaamini wao ndiyo wana hati miliki ya urais nchi hii. Kumbuka hawa hawa akina mbow na lowasa wanashiriki mipango miovu ya mauaji kwa wananchi wa kawaida ili wao wafaidike kisiasa.

Kifupi ni hivi tunaomuunga Mkoni Rais Magufuli ni sisi wananchi wa kawaida tusiokuwa na vyombo vya habari, ni sisi hawa wananchi wa kawaidia. Ila siku ikitokea wakimdhuru rais wetu ndiyo watatujua sisi ni akina nani, maana jeshi letu sisi wananchi ni kubwa zaidi kuliko wao. Na kibaya wanaendekeza ukabila, wanapandikiza mbegu za chuki, ila mpaka sasa wameshakwama na ndiyo maana muda si mrefu wataanza kupigwa mawe kwenye mikutano yao ili wajue hasira za wananchi zilivyo.

Hivyo hofu kubwa ni kuwa Mbowe na kundi laki ni kundi la wauaji, lisu wamempiga risas wenyewe, sasa kama walifanya hivyo kwa lisu je hawawezi kufanya hivyo kwa kiongozi yeyote???? Yaani Mbowe na lowasa ni waujai ni MAGAIDI! Time will tell, wataumbuka very soon hawa wauaji
Kuwa na mawazo kama haya kwa Ulimwengu wa sasa ni zaidi ya LAANA.
 
Wewe inaelekea hata huijui "chachu" ya Mafarisayo na Masadukayo."Chachu" aliyokuwa anaongelea Bwana Yesu ni uzushi wa kupoteza,ambao ndio mlio nao ninyi.
Mkuu kama chachu uisemayo imefikia huko, nadhani pia kuna namna bora na za gharama nafuu kudhibiti watu wakupingao, china, urusi na hata germany ya hitler waliwaweka sana watu vizuizini na kuwanyonga waliokuwa wakiwapinga watawala, huko north korea kumsoa Kim nikutaka mauti,
basi mshaurini bwana yule aChukue hatua hizo maana kiukweli na uharisia ziko ndani ya uwezo wake,na hakuna wakufanya chochote, lakini pia tumkosoawo na kutojubaliana na baadhi ya maamuzi yake tuko wacheche sana kama ulivyosema (ambao pia ni kitu nakubaliana na wewe)apitishe opereshi ya kututia vizuizini,kututesa hata kutunyonga abaki na nyinyi tu mlio wengi .........
 
Iko hivi. Kundi la wauaji akina mbowe si kundi jema. Kumbuka kauli zao zinaashiria kitu gani. Kumbuka pia hawa akina Mbowe wanalipwa na wazungu kuvuruga amani. Kumbuka Lisu alilipwa kuvuruga mijadala. Kumbuka akina Bashe wamehongwa kuvuruga mijadala na kuleta hoja za kumdharau rais.

Kumbuka hawa hawa akina Mbowe na Lowasa wake ni kundi la magaidi waliovaa ngozi za upinzani. Kumbuka hawa hawa akina mbow walileta watu kuiba kura. Kumbuka lowasa huyu huyu na kina mbowe wanaamini wao ndiyo wana hati miliki ya urais nchi hii. Kumbuka hawa hawa akina mbow na lowasa wanashiriki mipango miovu ya mauaji kwa wananchi wa kawaida ili wao wafaidike kisiasa.

Kifupi ni hivi tunaomuunga Mkoni Rais Magufuli ni sisi wananchi wa kawaida tusiokuwa na vyombo vya habari, ni sisi hawa wananchi wa kawaidia. Ila siku ikitokea wakimdhuru rais wetu ndiyo watatujua sisi ni akina nani, maana jeshi letu sisi wananchi ni kubwa zaidi kuliko wao. Na kibaya wanaendekeza ukabila, wanapandikiza mbegu za chuki, ila mpaka sasa wameshakwama na ndiyo maana muda si mrefu wataanza kupigwa mawe kwenye mikutano yao ili wajue hasira za wananchi zilivyo.

Hivyo hofu kubwa ni kuwa Mbowe na kundi laki ni kundi la wauaji, lisu wamempiga risas wenyewe, sasa kama walifanya hivyo kwa lisu je hawawezi kufanya hivyo kwa kiongozi yeyote???? Yaani Mbowe na lowasa ni waujai ni MAGAIDI! Time will tell, wataumbuka very soon hawa wauaji
Ninaimani wewe bado ni kulakulala.Kwa ufupi haujaajiriwa wala hauna biashara yeyote wala si mkulima.Kauli zako nimezifananisha na kulakulala mmoja aliyenyumbani kwangu ambaye ada tu ya kwenda kusoma Veta hana kutwa TBC ,unashangilia kuwa Rais abane lakini anategemea siku moja nimpe ada akasome VETA.Nimeamua kumuacha akae mwisho wa Siku atarudi kijijini.
 
Iko hivi. Kundi la wauaji akina mbowe si kundi jema. Kumbuka kauli zao zinaashiria kitu gani. Kumbuka pia hawa akina Mbowe wanalipwa na wazungu kuvuruga amani. Kumbuka Lisu alilipwa kuvuruga mijadala. Kumbuka akina Bashe wamehongwa kuvuruga mijadala na kuleta hoja za kumdharau rais.

Kumbuka hawa hawa akina Mbowe na Lowasa wake ni kundi la magaidi waliovaa ngozi za upinzani. Kumbuka hawa hawa akina mbow walileta watu kuiba kura. Kumbuka lowasa huyu huyu na kina mbowe wanaamini wao ndiyo wana hati miliki ya urais nchi hii. Kumbuka hawa hawa akina mbow na lowasa wanashiriki mipango miovu ya mauaji kwa wananchi wa kawaida ili wao wafaidike kisiasa.

Kifupi ni hivi tunaomuunga Mkoni Rais Magufuli ni sisi wananchi wa kawaida tusiokuwa na vyombo vya habari, ni sisi hawa wananchi wa kawaidia. Ila siku ikitokea wakimdhuru rais wetu ndiyo watatujua sisi ni akina nani, maana jeshi letu sisi wananchi ni kubwa zaidi kuliko wao. Na kibaya wanaendekeza ukabila, wanapandikiza mbegu za chuki, ila mpaka sasa wameshakwama na ndiyo maana muda si mrefu wataanza kupigwa mawe kwenye mikutano yao ili wajue hasira za wananchi zilivyo.

Hivyo hofu kubwa ni kuwa Mbowe na kundi laki ni kundi la wauaji, lisu wamempiga risas wenyewe, sasa kama walifanya hivyo kwa lisu je hawawezi kufanya hivyo kwa kiongozi yeyote???? Yaani Mbowe na lowasa ni waujai ni MAGAIDI! Time will tell, wataumbuka very soon hawa wauaji
Ni kati ya haya;
1. ulizaliwa AU kukulia ktk utapiamlo mkali sana ulioharibu kichwa ndio maana hata uandikalo hulijui
2. Kifamilia mna asili ya 'madishi kuyumba' (uendawazimu)
3. unatumia vitu vilivyokatazwa ie bange, viroba, 'ngada' au 'unavuta petroli'.
 
Kuwepo na uchaguzi wa raisi na kuwe hakuna wizi wala ulaghai, ndio majibu yatapatikana mchana kweupeee!
 
Hata Mungu haungwi mkono na viumbe wake wote................... Sijui kwa nn hili hawalikubali, % ya wasio mkubali ni ndogo tena ndongo sana AU KINACHOWATISHA NIKUWA % NDOGI HIYO yawaisio muunga mkono wana sababu nyingi za msingi...

Okw boban sunzu, Paskal Mayala na Mshana Help us deduce that senario,
If us Ask me, math'ly and logically ni simple tu wasio mkubali mheshimiwa ni wachache sana ila wanaogopwa na kuchukiwa kwa dhati(wachochezi, sio wazalendo, wapiga dili) kwa sababu wa hoja za msingi sana, so kuwabadili hawa wacheche kwa hoja ni ngumu mnooooooooooo na ukisema uwaache tu watapukushia lile kundi feki la wanaomuunga mkono mpaka uzani ubadilike Either makundi yote yalikangane au lile la %non supporter iwe kubwa kuliko % pro mheshimiwa.........
Enough with these cheap excuses and justifications., acheni kuaminishwa kua kila asiemuunga mkono sio mzalendo, mchochezi au mpiga dili., na ukweli wa mambo huwezi upata kwenye media zilizojazwa woga, nenda mitaani.., those are real voices., watu wamejazwa woga unaofanya washindwe kufikia independently., thats seen clearly kwenye local media siku hizi
 
Ukitazama TBC1 na kusikiliza TBC Taifa,ukisoma Uhuru na magazeti dada,ukitazama mikutano ya Magufuli unaona watu wakitoa machozi kushangazwa na utendaji uliotukuka wa Rais. Vyombo karibia vyote vinaonyesha makundi makubwa makubwa yanayomuunga mkono Rais

Kinachonishangaza katika "wingi" wao huo bado wanajenga hofu juu ya watu wasiomuunga mkono Rais. Kilio chao kikubwa ni kwamba Rais aungwe mkono.

Aaaaghh,sasa unajiuliza mbona nje tunaonyeshwa watanzania takribani 90% wanaomuunga mkono rais? Hofu ya nini kwa hawa wachache wasiomuunga mkono Rais?Mbona kwa maoni yenu hawa waasi hawajai hata kiganja cha mkono?

Juzi nilipata kusikiliza TBC1(sio kutazama),wachambuzi wote na mtangazaji wanasifia utendaji wa Magufuli. Sasa nikajiuliza hofu ya nini jamani kama hali ni nzuri kiasi hiki kwamba watanzania watano katika kipindi cha TV wote wanakubali Rais wetu ni mzalendo,hii si inawakilisha kwamba watanzania wote tunamkubali?

Hapa ndipo napata tafakuri kwamba group hili la kumuunga mkono Rais ni la "kupikwa" na kutumia nguvu nyingi ili kuondoa hofu. Ila ukweli mnaujua
Mawazo yako, japo ni nonsense,rubbish! yaheshimiwe kwa mujibu wa katiba ya nchi, nayaheshimu
 
Hapa ndipo napata tafakuri kwamba group hili la kumuunga mkono Rais ni la "kupikwa" na kutumia nguvu nyingi ili kuondoa hofu. Ila ukweli mnaujua
Sasa shida nini ,Kama unaona haungwi mkono sio ndio vizuri
 
Hapo alipo mwenyewe hajiamini na haamini hata hao wanaolia maana hajui wanalia kwasababu gani, je ni ugumu wa maisha, kubomolewa nyumba, huduma za afya, kutokusomesha wazazi, waliobambikiwa kodi, mazombi/watu wasiojulikana, kibiti, Antipas Lisu, Mawazo, Ben saa 8 au wanampenda.
 
Mkuu kama chachu uisemayo imefikia huko, nadhani pia kuna namna bora na za gharama nafuu kudhibiti watu wakupingao, china, urusi na hata germany ya hitler waliwaweka sana watu vizuizini na kuwanyonga waliokuwa wakiwapinga watawala, huko north korea kumsoa Kim nikutaka mauti,
basi mshaurini bwana yule aChukue hatua hizo maana kiukweli na uharisia ziko ndani ya uwezo wake,na hakuna wakufanya chochote, lakini pia tumkosoawo na kutojubaliana na baadhi ya maamuzi yake tuko wacheche sana kama ulivyosema (ambao pia ni kitu nakubaliana na wewe)apitishe opereshi ya kututia vizuizini,kututesa hata kutunyonga abaki na nyinyi tu mlio wengi .........
Mkuu binafsi huwa natoa ushauri inapobidi,and that is healthy.Problem yenu ni kwa hamtoi ushauri,"mnapinga" everything.Kupinga maana yake ni kukataa idea arrogantly,tena bila sababu ya msingi.Hivi niamini kweli kwamba kila jambo analofanya JPM ni baya,definitely no,tena mengi ni mazuri.Sasa tunachopaswa kufanya, ni kumshauri pale ambapo hajafanya vizuri na kum-encourage kwa kumpongeza pale ambapo he has done well.Kupinga everything sio uungwana na hailisaidii taifa, halafu inamkatisha tamaa.Ni vizuri tukajifunza kuvumiliana.Mawazo yetu wote hayawezi kuwa sawa.

Nimalizie kwa kusema kwamba awamu zilizopita tatu,ya Mwinyi,Mkapa na Kikwete zimeharibu sana our perception or how we perceive important issues,ndio maana tunapata shida na JPM.Tulifika mahali kupiga madili ilionekana kama ndio ujanja.No, nchi haiwezi kwenda hivyo,it must be brought back to normality.John Joseph Pombe Magufuli is doing just that,let's support him.This means changing our mindset or our way of thinking.
 
Ukiona hivyo ujue CCM inashinda 2020 Ila inataka kujazia kura za wapinzani wenye Nia njema na Tanzania yetu
 
Mkuu binafsi huwa natoa ushauri inapobidi,and that is healthy.Problem yenu ni kwa hamtoi ushauri,"mnapinga" everything.Kupinga maana yake ni kukataa idea arrogantly,tena bila sababu ya msingi.Hivi niamini kweli kwamba kila jambo analofanya JPM ni baya,definitely no,tena mengi ni mazuri.Sasa tunachopaswa kufanya, ni kumshauri pale ambapo hajafanya vizuri na kum-encourage kwa kumpongeza pale ambapo he has done well.Kupinga everything sio uungwana na hailisaidii taifa, halafu inamkatisha tamaa.Ni vizuri tukajifunza kuvumiliana.Mawazo yetu wote hayawezi kuwa sawa.

Nimalizie kwa kusema kwamba awamu zilizopita tatu,ya Mwinyi,Mkapa na Kikwete zimeharibu sana our perception or how we perceive important issues,ndio maana tunapata shida na JPM.Tulifika mahali kupiga madili ilionekana kama ndio ujanja.No, nchi haiwezi kwenda hivyo,it must be brought back to normality.John Joseph Pombe Magufuli is doing just that,let's support him.This means changing our mindset or our way of thinking.
Mkuu kama wwe ni muungwana kama[emoji115] unavyodai ungesoma komenti zangu vizuri kwenye uzi huu ungeweza kuona jinsi ambavyo nimeelezea kuungwa mkono na kupingwa ilivyo kawaida kwa binadamu na hatupaswi kuchukiana hatua ya kuuwana wala kufungana kisa tu mtu ana mawazo tofaUti na mwingine.................
Tuwe wastaraabu wanaopigwa watumie nguvu kulazimisha kupendwa, na wanapinga watumie lugha za staha kupinga.....
After all wanapinga wako wachache tu,bwana yule mshaurini asiangaike nao maana inaonekana wazi kuwa hawapendi kwa dhati
 
Hahahaa nimecheka umenikusha hitimisho za Mzee Tupa tupa

Bunduki za nini jamani ktk kujenga hoja?
Mzee tupatupa kwa sasa Singida kasikazini

Back
Top Bottom