Idadi kubwa ya wanaomuunga mkono Rais ni feki?

Ni kweli hata sisi wafanyakazi huku serikalini hatumpendi kabisa .
Amalize tu muda wake atuachie serikali yetu.
Kiufupi Ikulu imepata wrong person
 
Iko hivi. Kundi la wauaji akina mbowe si kundi jema. Kumbuka kauli zao zinaashiria kitu gani. Kumbuka pia hawa akina Mbow wanalipwa na wazungu kuvuruga amani. Kumbuka Lisu alilipwa kuvuruga mijadala. Kumbuka akina Bashe wamehongwa kuvuruga mijadala na kuleta hoja za kumdharau rais. Kumbuka hawa hawa akina Mbow na Lowa wake ni kundi la magaidi waliovaa ngozi za upinzani. Kumbuka hawa hawa akina mbow walileta watu kuiba kura. Kumbuka lowas huyu huyu na kina mbow wanaamini wao ndiyo wana hati miliki ya urais nchi hii. Kumbuka hawa hawa akina mbow na lowas wanashiriki mipango miovu ya mauaji kwa wananchi wa kawaida ili wao wafaidike kisiasa. Kifupi ni hivi tunaomuunga Mkoni Rais Magufuli ni sisi wananchi wa kawaida tusiokuwa na vyombo vya habari, ni sisi hawa wananchi wa kawaidia. Ila siku ikitokea wakimdhuru rais wetu ndiyo watatujua sisi ni akina nani, maana jeshi letu sisi wananchi ni kubwa zaidi kuliko wao. Na kibaya wanaendekeza ukabila, wanapandikiza mbegu za chuki, ila mpaka sasa wameshakwama na ndiyo maana muda si mrefu wataanza kupigwa mawe kwenye mikutano yao ili wajue hasira za wananchi zilivyo. Hivyo hofu kubwa ni kuwa Mbow na kundi laki ni kundi la wauaji, lis wamempiga risas wenyewe, sasa kama walifanya hivyo kwa lisu je hawawezi kufanya hivyo kwa kiongozi yeyote???? Yaani Mbow na lowas ni waujai ni MAGAIDI! Time will tell, wataumbuka very soon hawa wauaji

Bunduki ya nini
 
Umerudi palepale kuwa hofu ya nini?
 
Kajifunze propaganda zinazokwenda na wakati, hizi zako zilifanya kazi enzi akina Kingunge wako below 40. Ila kwa dunia hii ambayo mpaka house girl anajua kutumia smartphone na laptop utaishia kuchekesha walionuna.
 
Wanafiki wale sababu Hata akiongea kibaya wanampigia makofi nashangaa sana yaani sikuhizi wanafoji mpaka hisia za watu .... Maana kutengeneza hali ya kuonekana unakubalika kumbe hamna kitu huko ni kufoji
 
Ukitazama TBC1 na kusikiliza TBC Taifa,ukisoma Uhuru na magazeti dada,ukitazama mikutano ya Magufuli unaona watu wakitoa machozi kushangazwa na utendaji uliotukuka wa Rais. Vyombo karibia vyote vinaonyesha makundi makubwa makubwa yanayomuunga mkono Rais

Kinachonishangaza katika "wingi" wao huo bado wanajenga hofu juu ya watu wasiomuunga mkono Rais. Kilio chao kikubwa ni kwamba Rais aungwe mkono.

Aaaaghh,sasa unajiuliza mbona nje tunaonyeshwa watanzania takribani 90% wanaomuunga mkono rais? Hofu ya nini kwa hawa wachache wasiomuunga mkono Rais?Mbona kwa maoni yenu hawa waasi hawajai hata kiganja cha mkono?

Juzi nilipata kusikiliza TBC1(sio kutazama),wachambuzi wote na mtangazaji wanasifia utendaji wa Magufuli. Sasa nikajiuliza hofu ya nini jamani kama hali ni nzuri kiasi hiki kwamba watanzania watano katika kipindi cha TV wote wanakubali Rais wetu ni mzalendo,hii si inawakilisha kwamba watanzania wote tunamkubali?

Hapa ndipo napata tafakuri kwamba group hili la kumuunga mkono Rais ni la "kupikwa" na kutumia nguvu nyingi ili kuondoa hofu. Ila ukweli mnaujua
Ngoja nitunze kwanza majibu yangu. Hii hoja nahisi inamtego mahali, sio ya kuingia kichwakichwa.
 
Rais wangu nampenda lakini nashangazwa na ulinzi mkali alionao mpaka walinzi wake hawaaminiani niliwaona wakisukumana na kuzuiana alipotimua mbio kukimbia mvua huko Bukoba juzi nikacheka sana nikajua hali si shwari kabisa
Ulinzi mkali hivyo ni dalili ya rais asiyejiamini na dikteta.
 
Kwa kweli nimekuja tz kutoka huko north pole , nimekua naangalia TBC ,hawa jamaaTBC1 kuna presenters wanavyosifia kuhusu rais mpaka wanaboa,.. kiufupi namkubali pia rais, ila sio kwa ule unyenyekevu wanaoonesha hawa jamaa wa vyombo vya habari tajwa mpka inaonekana ni unafiki
 
Kwa nini watz wanalazimishwa kwa maneno kuuombea utawala huu !!
Kwa nini ushawishi wa kuunga mkono ni wa kulazimisha kwa maneno yarudiwayo kila siku , tatizo liko wapi !!
Naamini matendo humfanya mtu kuuombea utawala wowote bila kulazimishwa namaanisha matendo mema yafaidishayo walio wengi .

Ukitazama TBC1 na kusikiliza TBC Taifa,ukisoma Uhuru na magazeti dada,ukitazama mikutano ya Magufuli unaona watu wakitoa machozi kushangazwa na utendaji uliotukuka wa Rais. Vyombo karibia vyote vinaonyesha makundi makubwa makubwa yanayomuunga mkono Rais.

Kinachonishangaza katika "wingi" wao huo bado wanajenga hofu juu ya watu wasiomuunga mkono Rais. Kilio chao kikubwa ni kwamba Rais aungwe mkono.

Aaaaghh,sasa unajiuliza mbona nje tunaonyeshwa watanzania takribani 90% wanaomuunga mkono rais? Hofu ya nini kwa hawa wachache wasiomuunga mkono Rais?Mbona kwa maoni yenu hawa waasi hawajai hata kiganja cha mkono?

Juzi nilipata kusikiliza TBC1(sio kutazama),wachambuzi wote na mtangazaji wanasifia utendaji wa Magufuli. Sasa nikajiuliza hofu ya nini jamani kama hali ni nzuri kiasi hiki kwamba watanzania watano katika kipindi cha TV wote wanakubali Rais wetu ni mzalendo,hii si inawakilisha kwamba watanzania wote tunamkubali?

Hapa ndipo napata tafakuri kwamba group hili la kumuunga mkono Rais ni la "kupikwa" na kutumia nguvu nyingi ili kuondoa hofu. Ila ukweli mnaujua.

Source
Chadema group
 
Kundi linalomuunga mkono rais ni wale watu wasiojulikana, mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya, tbcccm na wote aliowateua. Wengine wote hapana ila tunavumilia tu

Wengine wote lazima tuvumilie sana. Hakuna kupata pesa isiyokuwa na maelezo japo tuliizoea. Lazima tuvumilie. Kusafiri siku moja na kupewa posho ya siku tano haiwezekani leo hii lazima tuvumilie. Kupokea kamshahara hewa kumefutwa inabidi tubaki na ule wa kwetu mmoja. Tutaacha kuvumilia? Uvumilivu unapotushinda inatulazimu kuchekesha kwa kupinga mambo ambayo ni dhahiri yana manufaa kwa taifa. Ndio utakuta tunapinga kujenga reli au bwawa kubwa la umeme au fly-overs au kuzuia michanga iliyodanganya kiasi cha madini ndani yake. Tena tunasema eti ni uongo inapotangazwa kuwa bajeti ya afya imeongezeka mara kumi na mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu ni kubwa na mingi mno kuliko wakati wowote. Lazima tuvumilie.
 
Usigusie kwenye mikopo ndugu yangu hapo tunaolia ni wengi acha kabisa
 
Ni kweli hata sisi wafanyakazi huku serikalini hatumpendi kabisa .
Amalize tu muda wake atuachie serikali yetu.
Kiufupi Ikulu imepata wrong person
inawezekana kabisa huu ni mwaka wa tano huna ajira kwakua una vyeti feki.
 
Hata Mungu haungwi mkono na viumbe wake wote................... Sijui kwa nn hili hawalikubali, % ya wasio mkubali ni ndogo tena ndongo sana AU KINACHOWATISHA NIKUWA % NDOGI HIYO yawaisio muunga mkono wana sababu nyingi za msingi...

Okw boban sunzu, Paskal Mayala na Mshana Help us deduce that senario,
If us Ask me, math'ly and logically ni simple tu wasio mkubali mheshimiwa ni wachache sana ila wanaogopwa na kuchukiwa kwa dhati(wachochezi, sio wazalendo, wapiga dili) kwa sababu wa hoja za msingi sana, so kuwabadili hawa wacheche kwa hoja ni ngumu mnooooooooooo na ukisema uwaache tu watapukushia lile kundi feki la wanaomuunga mkono mpaka uzani ubadilike Either makundi yote yalikangane au lile la %non supporter iwe kubwa kuliko % pro mheshimiwa.........
kwahiyo unamfananisha Mungu na rais wako wa kaTanzania?[emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom