Idadi kubwa ya wanaomuunga mkono Rais ni feki?

Usigusie kwenye mikopo ndugu yangu hapo tunaolia ni wengi acha kabisa

Tangu bodi ya mikopo imeanzishwa TZ hakuna hata mwaka mmoja waombaji wote walipewa mikopo. Unachoambiwa leo kwa data ni kuwa wanafunzi waliopewa mikopo mwaka huu ni kubwa kuliko mwaka mwingine wowote. Na sio hiyo tu, kiasi cha pesa kilichotolewa kama mkopo mwaka huu ni kubwa kuliko huko nyuma. Ili sisi tunaovumilia tupate cha kuzungumza inabidi kupinga hizo data na hata zingetolewa na nani lazima tuzipinge. Ila hatutoi takwimu tunazotaka kuwaaminisha watu kwa sababu zitakuwa za uongo na sheria ya takwimu itatutia hatiani.
 
Ukitazama TBC1 na kusikiliza TBC Taifa,ukisoma Uhuru na magazeti dada,ukitazama mikutano ya Magufuli unaona watu wakitoa machozi kushangazwa na utendaji uliotukuka wa Rais. Vyombo karibia vyote vinaonyesha makundi makubwa makubwa yanayomuunga mkono Rais

Kinachonishangaza katika "wingi" wao huo bado wanajenga hofu juu ya watu wasiomuunga mkono Rais. Kilio chao kikubwa ni kwamba Rais aungwe mkono.

Aaaaghh,sasa unajiuliza mbona nje tunaonyeshwa watanzania takribani 90% wanaomuunga mkono rais? Hofu ya nini kwa hawa wachache wasiomuunga mkono Rais?Mbona kwa maoni yenu hawa waasi hawajai hata kiganja cha mkono?

Juzi nilipata kusikiliza TBC1(sio kutazama),wachambuzi wote na mtangazaji wanasifia utendaji wa Magufuli. Sasa nikajiuliza hofu ya nini jamani kama hali ni nzuri kiasi hiki kwamba watanzania watano katika kipindi cha TV wote wanakubali Rais wetu ni mzalendo,hii si inawakilisha kwamba watanzania wote tunamkubali?

Hapa ndipo napata tafakuri kwamba group hili la kumuunga mkono Rais ni la "kupikwa" na kutumia nguvu nyingi ili kuondoa hofu. Ila ukweli mnaujua
Na wewe si ukafanye utafiti wako halafu uchapishe na kutoa idadi ya raia wanaompinga Rais!! Unasubiri hadi wenzio waseme!
 
Ukitaka kulinda maslai yao lazima uimbe nyimbo za kusifu na kuabudu ukienda kinyume utanyonyolewa wameona mifano Kwa wenzao.Ukiwa mnufaika ni lazima usiwe mpinzani.
 
Siku zote ujanja unapozidi sana au unapokuwa mwingi sana...., Ndio ujinga wenyewe huo vile vile.
 
Wapiga kelele na ramli wote(bavicha/ufipa) wamejaa mitandaoni na ID 10 10 feki wakikazana kuichafua/kupinga kila jambo jema linalofanywa na serikali AND wapiga kura wote wanaomkubali wako busy wanachapa kazi na kufagilia matokeo chanya huku wakijipanga vizuri kumpigia tena kura 2020 ndio wao unaowaona TBC,ITV ,starTv na media zingine wao hawashindi mitandaoni kutoa mapovu.

Halafu ndio kuna sisi wa mitandaoni tena na tuko kibao pia tunamkubali ambao ndio tunahangaika kuwajibu kwa sababu upingaji wenu na uchochezi kuna wakati unavuka mipaka japo kuna mambo mengi tu huwa TUNAWAPUUZA.

AKIMALIZA 10 TUNAMUONGEZEA.
 
inawezekana kabisa huu ni mwaka wa tano huna ajira kwakua una vyeti feki.
Mkuu nilimaliza udsm 2005, nikaajiriwa serikalini 2006 mpaka sasa hivi.
Kwa sasa nipo nje ya nchi napiga Masters nyingi me ya 2.
Secondari nimesoma seminari za kanisa katoliki.
Kwa kifupi watumishi tumekata tamaaa.
Tokea utawala huu uingie madarakani watumishi mishahara haijapanda.
Tokea utawala huu uingie madarakani tumeshuhudia wenzetu, seniors officers wenye utendaji mzuri tu wa kazi na madaraka wameondolewa kwenye vyeo bila hata kuambiwa makosa, ili tu kupisha kuwekwa kwa wanasiasa kwenye vyeo vya kiutendaji bila kufuata utaratibu.
Tokea utawala huu uingie madarakani tumeshuhudia watumishi wenzetu wakizalilishwa na wanasiasa hadharani kinyume cha utaratibu na kiubinadamu bila sababu za kimsingi.
Kila kukicha matamkotamko tu ya kisiasa bila kufuata maelekezo ya wataalamu.
Mkuu watumishi wapo so demoralized, this is from the horses mouth.
Ndio maana nimeamua kutafuta scholership kupiga Masters nyingine ya pili, nilimaliza hii naunganisha PhD. Mishahara yangu inaendelea kuingia no stress at all.
Yaani mtu na elimu yako na uweledi wa kutosha unaongozwa na mtu kama bashite.
Dah kweli kale kajamaa kalichoimba wimbo sijui bongo bahati kanaletaleta sensi.
Hapa nafikiria kuukana uraia wa Tanzania, kinachonikwaza ni mashamba yangu ya sumbawanga.
Naombea dual citizenship ianzishwe mapema, tuchukue uraia nchi za kwa wanaojielewa bongo niwe nakuja maramojamoja.
 
Kama tanzania itabaki hii hii na mipaka yake bas Magu hana mpinzani wa kumtikisa kwa namna yyte ile 2020....jamaa ana supporter wengi sana hasa maeneo nyeti kwa uchaguzi...ukweli mchungu sana

Sasa kwa nini anamba support wakati support anayo tayari.

Ni kama unaomba uongezewe ulinzi wakati una kikosi kizima kinakulinda.

Kwa katiba iliyopo atashinda kila chaguzi hilo halipingwi.

Spika wa Bunge anachagua yeye as M/Kiti CCM

Waziri Mkuu anateua yeye

Wabunge anateua yeye

Jaji mkuu yeye

Tume ya Uchaguzi yeye.

Sasa hapo kuna haki kweli?

Kesi ya tumbili unampelekea ngedere.
 
Ukitazama TBC1 na kusikiliza TBC Taifa,ukisoma Uhuru na magazeti dada,ukitazama mikutano ya Magufuli unaona watu wakitoa machozi kushangazwa na utendaji uliotukuka wa Rais. Vyombo karibia vyote vinaonyesha makundi makubwa makubwa yanayomuunga mkono Rais

Kinachonishangaza katika "wingi" wao huo bado wanajenga hofu juu ya watu wasiomuunga mkono Rais. Kilio chao kikubwa ni kwamba Rais aungwe mkono.

Aaaaghh,sasa unajiuliza mbona nje tunaonyeshwa watanzania takribani 90% wanaomuunga mkono rais? Hofu ya nini kwa hawa wachache wasiomuunga mkono Rais?Mbona kwa maoni yenu hawa waasi hawajai hata kiganja cha mkono?

Juzi nilipata kusikiliza TBC1(sio kutazama),wachambuzi wote na mtangazaji wanasifia utendaji wa Magufuli. Sasa nikajiuliza hofu ya nini jamani kama hali ni nzuri kiasi hiki kwamba watanzania watano katika kipindi cha TV wote wanakubali Rais wetu ni mzalendo,hii si inawakilisha kwamba watanzania wote tunamkubali?

Hapa ndipo napata tafakuri kwamba group hili la kumuunga mkono Rais ni la "kupikwa" na kutumia nguvu nyingi ili kuondoa hofu. Ila ukweli mnaujua
Mkuu we are right kuwa worried na "chachu" yenu, ingawa ni kidogo.Kama hata Bwana Yesu alikuwa worried na chachu kidogo ya Mafarisayo na Masadukayo(Mathayo 16:19),sisi ni zaidi.Katika 1Wakorintho 5:6 na Galatia 5:9,the Bible says "Chachu kidogo huchachua donge zima." Mkuu ni kweli ninyi mnaompinga JPM ni kidogo,no doubt about it,lakini kwa kuwa hata principle ya Kimungu inasema mnaweza "kuchachua donge," ni lazima tuwaonye Watanzania juu ya "chachu" yenu.
 
Iko hivi. Kundi la wauaji akina mbowe si kundi jema. Kumbuka kauli zao zinaashiria kitu gani. Kumbuka pia hawa akina Mbowe wanalipwa na wazungu kuvuruga amani. Kumbuka Lisu alilipwa kuvuruga mijadala. Kumbuka akina Bashe wamehongwa kuvuruga mijadala na kuleta hoja za kumdharau rais.

Kumbuka hawa hawa akina Mbowe na Lowasa wake ni kundi la magaidi waliovaa ngozi za upinzani. Kumbuka hawa hawa akina mbow walileta watu kuiba kura. Kumbuka lowasa huyu huyu na kina mbowe wanaamini wao ndiyo wana hati miliki ya urais nchi hii. Kumbuka hawa hawa akina mbow na lowasa wanashiriki mipango miovu ya mauaji kwa wananchi wa kawaida ili wao wafaidike kisiasa.

Kifupi ni hivi tunaomuunga Mkoni Rais Magufuli ni sisi wananchi wa kawaida tusiokuwa na vyombo vya habari, ni sisi hawa wananchi wa kawaidia. Ila siku ikitokea wakimdhuru rais wetu ndiyo watatujua sisi ni akina nani, maana jeshi letu sisi wananchi ni kubwa zaidi kuliko wao. Na kibaya wanaendekeza ukabila, wanapandikiza mbegu za chuki, ila mpaka sasa wameshakwama na ndiyo maana muda si mrefu wataanza kupigwa mawe kwenye mikutano yao ili wajue hasira za wananchi zilivyo.

Hivyo hofu kubwa ni kuwa Mbowe na kundi laki ni kundi la wauaji, lisu wamempiga risas wenyewe, sasa kama walifanya hivyo kwa lisu je hawawezi kufanya hivyo kwa kiongozi yeyote???? Yaani Mbowe na lowasa ni waujai ni MAGAIDI! Time will tell, wataumbuka very soon hawa wauaji
Tred yako ndefu sana hatuielewi
 
kwa usaidizi wa Police, Wanajeshi, Tume ya uchaguzi, Watendaji wa Serikali (Wakuu wa Mikoa, Wilaya, Wakurungezi ) - Yes hapa mpinzani.

Justification: Yaliyotokea Arumeru majuzi kati ni ushahidi tosha.
Ndiyo..kwa hyo ww unasemaje sasa...kumpiga huwez, ukimnyima kura bas mke wako atampa kura...ngumu kumeza
 
Rais gani anayetawala hajiamini? Kila neno kwake uchochezi ; unakuwa muoga ka upo gesti na mke wa mtu bwana.
 
Iko hivi. Kundi la wauaji akina mbowe si kundi jema. Kumbuka kauli zao zinaashiria kitu gani. Kumbuka pia hawa akina Mbowe wanalipwa na wazungu kuvuruga amani. Kumbuka Lisu alilipwa kuvuruga mijadala. Kumbuka akina Bashe wamehongwa kuvuruga mijadala na kuleta hoja za kumdharau rais.

Kumbuka hawa hawa akina Mbowe na Lowasa wake ni kundi la magaidi waliovaa ngozi za upinzani. Kumbuka hawa hawa akina mbow walileta watu kuiba kura. Kumbuka lowasa huyu huyu na kina mbowe wanaamini wao ndiyo wana hati miliki ya urais nchi hii. Kumbuka hawa hawa akina mbow na lowasa wanashiriki mipango miovu ya mauaji kwa wananchi wa kawaida ili wao wafaidike kisiasa.

Kifupi ni hivi tunaomuunga Mkoni Rais Magufuli ni sisi wananchi wa kawaida tusiokuwa na vyombo vya habari, ni sisi hawa wananchi wa kawaidia. Ila siku ikitokea wakimdhuru rais wetu ndiyo watatujua sisi ni akina nani, maana jeshi letu sisi wananchi ni kubwa zaidi kuliko wao. Na kibaya wanaendekeza ukabila, wanapandikiza mbegu za chuki, ila mpaka sasa wameshakwama na ndiyo maana muda si mrefu wataanza kupigwa mawe kwenye mikutano yao ili wajue hasira za wananchi zilivyo.

Hivyo hofu kubwa ni kuwa Mbowe na kundi laki ni kundi la wauaji, lisu wamempiga risas wenyewe, sasa kama walifanya hivyo kwa lisu je hawawezi kufanya hivyo kwa kiongozi yeyote???? Yaani Mbowe na lowasa ni waujai ni MAGAIDI! Time will tell, wataumbuka very soon hawa wauaji
Sasa wapelekeni mahakamani hawa watu..mnasubiri nini na miaka inaenda.?
 
Kila mara huwa nasoma bandiko yako yakisema," very soon wataumbuka" nashindwa kukuelewa hebu waumbue sasa
 
Mkuu we are right kuwa worried na "chachu" yenu, ingawa ni kidogo.Kama hata Bwana Yesu alikuwa worried na chachu kidogo ya Mafarisayo na Masadukayo(Mathayo 16:19),sisi ni zaidi.Katika 1Wakorintho 5:6 na Galatia 5:9,the Bible says "Chachu kidogo huchachua donge zima." Mkuu ni kweli ninyi mnaompinga JPM ni kidogo,no doubt about it,lakini kwa kuwa hata principle ya Kimungu inasema mnaweza "kuchachua donge," ni lazima tuwaonye Watanzania juu ya "chachu" yenu.
Hakika umeelezea vizuri tena hata kwa mistari ya vitabu vya dini,
pia duniani haItakuja tokea mtu akapendwa au kukubalika na watu wote, Kujaribu kupambana na ukweli huu ni uwenda wazimu...............kubalini kutukukubalika inapotokea.
 
Back
Top Bottom