Idadi kubwa ya wanaomuunga mkono Rais ni feki?

Iko hivi. Kundi la wauaji akina mbowe si kundi jema. Kumbuka kauli zao zinaashiria kitu gani. Kumbuka pia hawa akina Mbowe wanalipwa na wazungu kuvuruga amani. Kumbuka Lisu alilipwa kuvuruga mijadala. Kumbuka akina Bashe wamehongwa kuvuruga mijadala na kuleta hoja za kumdharau rais.

Kumbuka hawa hawa akina Mbowe na Lowasa wake ni kundi la magaidi waliovaa ngozi za upinzani. Kumbuka hawa hawa akina mbow walileta watu kuiba kura. Kumbuka lowasa huyu huyu na kina mbowe wanaamini wao ndiyo wana hati miliki ya urais nchi hii. Kumbuka hawa hawa akina mbow na lowasa wanashiriki mipango miovu ya mauaji kwa wananchi wa kawaida ili wao wafaidike kisiasa.

Kifupi ni hivi tunaomuunga Mkoni Rais Magufuli ni sisi wananchi wa kawaida tusiokuwa na vyombo vya habari, ni sisi hawa wananchi wa kawaidia. Ila siku ikitokea wakimdhuru rais wetu ndiyo watatujua sisi ni akina nani, maana jeshi letu sisi wananchi ni kubwa zaidi kuliko wao. Na kibaya wanaendekeza ukabila, wanapandikiza mbegu za chuki, ila mpaka sasa wameshakwama na ndiyo maana muda si mrefu wataanza kupigwa mawe kwenye mikutano yao ili wajue hasira za wananchi zilivyo.

Hivyo hofu kubwa ni kuwa Mbowe na kundi laki ni kundi la wauaji, lisu wamempiga risas wenyewe, sasa kama walifanya hivyo kwa lisu je hawawezi kufanya hivyo kwa kiongozi yeyote???? Yaani Mbowe na lowasa ni waujai ni MAGAIDI! Time will tell, wataumbuka very soon hawa wauaji
Mkuuu mudawote,,,nafikiri wanatakiwa wafanye uchunguzi Wa kimataifa khs LSU,,
 
Kama tanzania itabaki hii hii na mipaka yake bas Magu hana mpinzani wa kumtikisa kwa namna yyte ile 2020....jamaa ana supporter wengi sana hasa maeneo nyeti kwa uchaguzi...ukweli mchungu sana
Kwa mini hoja hazijibiwi????
 
Daaaah ployed mind,never see the sign of victory keep flaming yo self and see what happens
 
Ukitazama TBC1 na kusikiliza TBC Taifa,ukisoma Uhuru na magazeti dada,ukitazama mikutano ya Magufuli unaona watu wakitoa machozi kushangazwa na utendaji uliotukuka wa Rais. Vyombo karibia vyote vinaonyesha makundi makubwa makubwa yanayomuunga mkono Rais

Kinachonishangaza katika "wingi" wao huo bado wanajenga hofu juu ya watu wasiomuunga mkono Rais. Kilio chao kikubwa ni kwamba Rais aungwe mkono.

Aaaaghh,sasa unajiuliza mbona nje tunaonyeshwa watanzania takribani 90% wanaomuunga mkono rais? Hofu ya nini kwa hawa wachache wasiomuunga mkono Rais?Mbona kwa maoni yenu hawa waasi hawajai hata kiganja cha mkono?

Juzi nilipata kusikiliza TBC1(sio kutazama),wachambuzi wote na mtangazaji wanasifia utendaji wa Magufuli. Sasa nikajiuliza hofu ya nini jamani kama hali ni nzuri kiasi hiki kwamba watanzania watano katika kipindi cha TV wote wanakubali Rais wetu ni mzalendo,hii si inawakilisha kwamba watanzania wote tunamkubali?

Hapa ndipo napata tafakuri kwamba group hili la kumuunga mkono Rais ni la "kupikwa" na kutumia nguvu nyingi ili kuondoa hofu. Ila ukweli mnaujua
[emoji23][emoji23][emoji23]we ni nouma..
 
Kwa hyo hata mimi naemuunga mkono raisi ni feki
 
Kama lisu ameshambuliwa na upinzani, waziri Mkuu si aruhusu vyombo vya kimataifa vije kfanya uchunguzi? Ila kila akiambiwa anabadir msaada.
Toa hoja moja ya upinzani inayoonesha kuwatetea wazungu,
 
Iko hivi. Kundi la wauaji akina mbowe si kundi jema. Kumbuka kauli zao zinaashiria kitu gani. Kumbuka pia hawa akina Mbowe wanalipwa na wazungu kuvuruga amani. Kumbuka Lisu alilipwa kuvuruga mijadala. Kumbuka akina Bashe wamehongwa kuvuruga mijadala na kuleta hoja za kumdharau rais.

Kumbuka hawa hawa akina Mbowe na Lowasa wake ni kundi la magaidi waliovaa ngozi za upinzani. Kumbuka hawa hawa akina mbow walileta watu kuiba kura. Kumbuka lowasa huyu huyu na kina mbowe wanaamini wao ndiyo wana hati miliki ya urais nchi hii. Kumbuka hawa hawa akina mbow na lowasa wanashiriki mipango miovu ya mauaji kwa wananchi wa kawaida ili wao wafaidike kisiasa.

Kifupi ni hivi tunaomuunga Mkoni Rais Magufuli ni sisi wananchi wa kawaida tusiokuwa na vyombo vya habari, ni sisi hawa wananchi wa kawaidia. Ila siku ikitokea wakimdhuru rais wetu ndiyo watatujua sisi ni akina nani, maana jeshi letu sisi wananchi ni kubwa zaidi kuliko wao. Na kibaya wanaendekeza ukabila, wanapandikiza mbegu za chuki, ila mpaka sasa wameshakwama na ndiyo maana muda si mrefu wataanza kupigwa mawe kwenye mikutano yao ili wajue hasira za wananchi zilivyo.

Hivyo hofu kubwa ni kuwa Mbowe na kundi laki ni kundi la wauaji, lisu wamempiga risas wenyewe, sasa kama walifanya hivyo kwa lisu je hawawezi kufanya hivyo kwa kiongozi yeyote???? Yaani Mbowe na lowasa ni waujai ni MAGAIDI! Time will tell, wataumbuka very soon hawa wauaji
kama mbowe na lowasa walimpiga risasi lisu si wakamatwe? Mnakalia porojo tu.
 
Tunamuunga mkono kwababu wengine sisi tulikuwa tunafuatilia utendaji wake na kuridhishwa nao kabla hata hajawa Rais kama vile tulivyo kuwa tukifuatilia utendaji wa Dr slaa na kuona nia yake ya dhati.
Utakuwa una shida usipomuunga mkono mh. wakati uko kwenye teuzi zake.
 
Iko hivi. Kundi la wauaji akina mbowe si kundi jema. Kumbuka kauli zao zinaashiria kitu gani. Kumbuka pia hawa akina Mbowe wanalipwa na wazungu kuvuruga amani. Kumbuka Lisu alilipwa kuvuruga mijadala. Kumbuka akina Bashe wamehongwa kuvuruga mijadala na kuleta hoja za kumdharau rais.

Kumbuka hawa hawa akina Mbowe na Lowasa wake ni kundi la magaidi waliovaa ngozi za upinzani. Kumbuka hawa hawa akina mbow walileta watu kuiba kura. Kumbuka lowasa huyu huyu na kina mbowe wanaamini wao ndiyo wana hati miliki ya urais nchi hii. Kumbuka hawa hawa akina mbow na lowasa wanashiriki mipango miovu ya mauaji kwa wananchi wa kawaida ili wao wafaidike kisiasa.

Kifupi ni hivi tunaomuunga Mkoni Rais Magufuli ni sisi wananchi wa kawaida tusiokuwa na vyombo vya habari, ni sisi hawa wananchi wa kawaidia. Ila siku ikitokea wakimdhuru rais wetu ndiyo watatujua sisi ni akina nani, maana jeshi letu sisi wananchi ni kubwa zaidi kuliko wao. Na kibaya wanaendekeza ukabila, wanapandikiza mbegu za chuki, ila mpaka sasa wameshakwama na ndiyo maana muda si mrefu wataanza kupigwa mawe kwenye mikutano yao ili wajue hasira za wananchi zilivyo.

Hivyo hofu kubwa ni kuwa Mbowe na kundi laki ni kundi la wauaji, lisu wamempiga risas wenyewe, sasa kama walifanya hivyo kwa lisu je hawawezi kufanya hivyo kwa kiongozi yeyote???? Yaani Mbowe na lowasa ni waujai ni MAGAIDI! Time will tell, wataumbuka very soon hawa wauaji
Wewe sio mwananchi wa kawaida, bali ni miongoni mwa watu wasiojulikana,
 
Ogopa sana mtu anayewaambia wanae kua "Mimi ndiye baba yenu"
haaa haaa inamaana ubaba hauombwi, unaoneshwa kwa vitendo na watoto wataita wenyewe kua huyu ndie baba yetu...!!! shikamoo JF
 
Rais wangu nampenda lakini nashangazwa na ulinzi mkali alionao mpaka walinzi wake hawaaminiani niliwaona wakisukumana na kuzuiana alipotimua mbio kukimbia mvua huko Bukoba juzi nikacheka sana nikajua hali si shwari kabisa
Tuna bana matumizi kwa kuwa na walinzi wengi
 
ukiona watu 5 kati ya 10000 wanapotoka, tunashauriwa tusiwaache waendelee na upotofu wao, bali tushauriane nao ( wala si hofu) ili baadae tuweze kufurahi pamoja nao ktk yale mazuri yatakayotokana na ukweli unao lilenga lile kundi kubwa.
 
Kama tanzania itabaki hii hii na mipaka yake bas Magu hana mpinzani wa kumtikisa kwa namna yyte ile 2020....jamaa ana supporter wengi sana hasa maeneo nyeti kwa uchaguzi...ukweli mchungu sana
kwa usaidizi wa Police, Wanajeshi, Tume ya uchaguzi, Watendaji wa Serikali (Wakuu wa Mikoa, Wilaya, Wakurungezi ) - Yes hapa mpinzani.

Justification: Yaliyotokea Arumeru majuzi kati ni ushahidi tosha.
 
Back
Top Bottom