Pakome
JF-Expert Member
- Dec 8, 2024
- 1,541
- 916
Baada ya Wananchi kuumwa na nyoka baada ya kupoteza wanafanilia pamoja na mali zao, wamebadilisha fikra zao na kuamua kulinda familia pamoja na mali zao badala ya kushiriki kwenye maandamano, idadi kubwa inasema haitaki kupoteza urithi wake wa watu na mali uliotafutwa miaka kenda iliyopita
Maandamano yamepuuzwa na maelfu ya Wananchi wakidai kuwa hawapo tena tayari kuharibiwa maisha pamoja na mali zao
Waandamanaji wamezidiwa na idadi ya adui ikiwemo Wananchi wenyewe jambo linalopelekea Waandamanaji hao wakate tamaa kwasababu wanaweza kushughulikiwa na Wananchi wakishirikiana na Jeshi la Polisi
Idadi kubwa ya Wananchi wenye nguvu hasa mgambo imeungana na nia ya Jeshi la Polisi ya kudhibiti waandamanaji
Combination hii kubwa ya Wananchi na Jeshi la Polisi itapelekea waandamanaji kuchezea za uso endapo watasababisha usumbufu