Huyo Jamaa hata mimi alinitapeli pia π€£. Lakini huu uzi utapunguza na kuondoa huu uozoEnheeee ππππ
Mtu ana tapeli hadi mwenye JF yake πHuyo Jamaa hata mimi alinitapeli pia π€£. Lakini huu uzi utapunguza na kuondoa huu uozo
Hivi mshana kuna utapeli umekupita kweli?ππππulivyo na hurumaYule mwana aliyefiwa na mkewe Kibaha.. Halafu mdogo wake ndio akawa ana report huo msiba na kuomba assist JF kumbe ni scam tulikuwa tunapigwaπππΏ
Yani ujipange kujibizana naye!Yupo fiti kote kote ππ
Umalaya sidhani, hafu mbona hauna shida sanaπ€MKUU Mshana Jr
HUU UZI UME SCAN VIRUSES WENGI SANA π€£π€£π€£ TABIA ZA KUWA NA EGO ZA KIPUUZI, UTAPELI, UMALAYA NA UJUAJI. Naona zinaenda kufifia na kupotea na kuondoka kabisa .
Hongera sana πππ
Mkuu huyo jamaa alikuwa na nyuzi zake humu unaweza ukasema dah huyu ni mtu wa maana kweli. Halafu na yeye ni wa huko huko Bukoba naye πKuna watu wana roho ngumu sanaπ hadi MaxππΏππΏ
Kutangazika hadharani, utakuwa unaendeshwa kimkakati sanaUmalaya sidhani, hafu mbona hauna shida sanaπ€
π«©π«© anasoma kitabu huku ana nyongaaDah...πππΏ
Ndio malaya huwa wanajiheshimu mbona, matapeli jamaniππ½ββοΈ Afadhali ya mchawi duhh!ππΎKutangazika hadharani, utakuwa unaendeshwa kimkakati sana
Unatingisha meza yenye vinywaji vya gharama sana Swahibaπ€£kwangu Mimi nikiona mdada kabadili ID au ana badili badili ID najuaga kaishaliwa humu
Kuna yule tulidanganywa ni tajiri sana kafia nje ya nchiKuna watu wana roho ngumu sanaπ hadi MaxππΏππΏ
Hahahahaππ€£π«©π«© anasoma kitabu huku ana nyongaa
View attachment 3668374
Usinikumbushe...Hizi stori bila kutaja hizo id
Mtatuacha njia panda.
Tajeni basi.
Ila nimekumbuka mshana
Akina Extrovert na wengine wengiwengi mlitapeliwa hapahapa jukwaani.
Mtu kaja na picha ya mtoto Mgonjwa, eti anadaiwa bill hospital
Tukampa pole wee
Akina Mshana chap mkamtumia michango.
Dah, kumbe amechukua picha za watu jamani,, Yeye siyo muhusika.
Wahusika wa Mgonjwa kwenda kuwaona hiyo hospital walishangaa.
Ila matepeli ni watu majasiri sanaπππππππππ
Nakumbuka ulihadithia hiiπππUtapeli na ujanja upo upo sana nakumbuka Maxence mwenyewe alishawahi kutapeliwa na Member wa humu mwaka 2011 , akahamaki na kutukana na akalambwa BAN π€£π€£π€£
Sikutegemea mngetapeliwa kizembe hivyoπππ