ID YAKE

MP ya wapi?

Mana kila watu wana virefu vyao kwa mujibu wa sehemu zao.

Ukienda kwa watu wa chumbani wanatumia MP kama Mapenzi Popote.

Wakati wa kula hutumika kama Mega Polepole.

Jeshini hutumia kama Military Police

Wewe unataka ya wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom