icloud unlock for iphones

Mkuu nilisafiri nikaiacha simu yangu (iPhone 4s) nyumbani sasa nadhani ilichezewa sababu baada ya kurudi nilikuta ina tatizo, nikiiwasha inaniambia "iphone disabled please connect to itunes" sasa nina itunes kwenye pc yangu na nina apple id je naweza kuiponya bila kwenda kwa fundi? msaada tafadhali mkuu.
 
Mi nahitaji kioo cha iphone 6 plus mafundi km vipi niuzieni tu spare

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio kiongozi unaweza kuiponya
 
Mkuu umepata beta version au maana hii officially ni 13 mwezi huu ndipo wana irelease kwa matatajio kwamba itakuwa released na new devices
Kawaida apple wako smart sana na new release ya iOS zao. kabla ya ku-upgrade new firmware, inachunguza device yako kama inaweza kubeba hiyo new release iOS. kama inaweza itakuambia upgrade. kama haiwezi inakuambia. kwahiyo itategemea how addicted with iphone na mfuko wako ukoje ununue mpya au uendelee na hiyo uliyonayo. By the way iphone zote zinafanya vizuri mpaka sasa watu wanatumia iphone 4 sembuse wewe mwenye iphone6? Kiongozi huko juu!
 
Poor country poor minds! Kesho uje utuambie umehack NASA kaka hongera
Sawa kiongozi "poor country poor mind" sasa niende kuhack NASA ili iweje? ntapata nini? lakini kwa iphone kwavile wengi tunazitumia na wengi wanapata shida kwanini nisitake my chances to solve them huku nikijipatia kipato? Hiyo imekaaje?
 
Haya kiongozi endelea kuibia watu... tumetumia iphone miaka nenda miaka rudi hata ww ulikuwa hujui iphone ni nini. Eti leo mtanzania anaweza kufungua iphone locked kwa iCloud itabidi tuite CNN na BBC! Hata ile iphone kwenye kesi ya pistorius kule South Africa sijui kwanini waliipileka marekani wangeleta tuu bongo kwa fastjet blaza ufanye mambo
.
 
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ sawa bwana. Karibu!
 
Mi nilifanikiwa mbili lakini the rest niligonga mwamba, hasa hivi ambazo zina iOS 10.3.3 ni ngumu sana maana hazikubali kudowngrade kwenda version za chini, ila ukibahatika ambayo ilikuwa na version 10.0 kushuka chini angalau sio ngumu kutoa
 
oya i5s ukiiupdate ios inaenda hadi hii mpya au inaishia 10??
 
Mi nilifanikiwa mbili lakini the rest niligonga mwamba, hasa hivi ambazo zina iOS 10.3.3 ni ngumu sana maana hazikubali kudowngrade kwenda version za chini, ila ukibahatika ambayo ilikuwa na version 10.0 kushuka chini angalau sio ngumu kutoa
Mkuu i5s ambayo iko locked ikiunlockiwa inaweza kuupdatiwa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…