ICC yaingiwa na wasiwasi baada ya Urusi kusema itaipiga na makombora ya Hypersonic

HERY HERNHO

Member
Mar 4, 2022
70
313
ICC ina wasiwasi na 'vitisho' vya Urusi juu ya kibali cha Putin

Wasi wasi huo unakuja baada ya Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev kutishia kuipiga mahakama ya uhalifu wa kivita kwa makombora ya hypersonic.

=========

The International Criminal Court (ICC) has expressed concern over “threats” from Russia following its issuing of a war crimes arrest warrant for President Vladimir Putin.

The ICC’s statement of concern on Wednesday came after former Russian President Dmitry Medvedev threatened to hit the war crimes court in The Hague with hypersonic missiles. It also followed Russia’s top investigative body opening a criminal case against ICC Prosecutor Karim Khan as well as the judges who issued the warrant for Putin.

Russian leader of unlawfully deporting thousands of Ukrainian children, a war crime.

The legal move will obligate the court’s 123 member states to arrest Putin and transfer him to The Hague for trial if he sets foot on their territory.

Neither Russia nor Ukraine is a member of the ICC, although Kyiv has granted the court jurisdiction to prosecute crimes committed on its territory. The tribunal also has no police force of its own and relies on member states to make arrests.
 
Putin mbabe sana, hiyo mahakama huwa ni ya kijinga hawawezi ku reinforce orders zao wanategemea member states, upuuzi.
Ngoja apelekwe watajuana huko kama ni mwanachama au la, ajaribu kushambulia hiyo mahakama aone, kwanza elewa kwamba ICC hiyo ni ofice tu na jengo lakini jeshi lake na mamlaka yake yapo kwa nchi wanachama aguse nchi 1 tu aone moto
 
ICC ina wasiwasi na 'vitisho' vya Urusi juu ya kibali cha Putin

Wasi wasi huo unakuja baada ya Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev kutishia kuipiga mahakama ya uhalifu wa kivita kwa makombora ya hypersonic...
Putin ashatia ndaro sana sasa ata hasikilizwi tena, washamjua wewe unafkiri ukapige Uholanzi ataiweza hiyo vita? putin alisema atakayemsaidia Ukrean atamshambulia kwa nuclear iko wap hiyo nuclear, putin ni ndaro tu hana kitu yule ata jeshi ilibidi akakodi Wagner Group kwisha habar yake
 
Huyo kalewa vodka, hiyo hypersonic missile wameshindwa kuitumia kuiteka Ukraine sasa watawezaje kuitumia kwa mbabe wao Nato.

Walitamba hapo mwanzo kwamba ole wake atakayeisaidia Ukraine lkn tunaona misaada inamiminika na hakuna chochote wanachofanya. Bure kabisa.
 
ICC ina wasiwasi na 'vitisho' vya Urusi juu ya kibali cha Putin

Wasi wasi huo unakuja baada ya Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev kutishia kuipiga mahakama ya uhalifu wa kivita kwa makombora ya hypersonic.

=========

The International Criminal Court (ICC) has expressed concern over “threats” from Russia following its issuing of a war crimes arrest warrant for President Vladimir Putin.

The ICC’s statement of concern on Wednesday came after former Russian President Dmitry Medvedev threatened to hit the war crimes court in The Hague with hypersonic missiles. It also followed Russia’s top investigative body opening a criminal case against ICC Prosecutor Karim Khan as well as the judges who issued the warrant for Putin.

Russian leader of unlawfully deporting thousands of Ukrainian children, a war crime.

The legal move will obligate the court’s 123 member states to arrest Putin and transfer him to The Hague for trial if he sets foot on their territory.

Neither Russia nor Ukraine is a member of the ICC, although Kyiv has granted the court jurisdiction to prosecute crimes committed on its territory. The tribunal also has no police force of its own and relies on member states to make arrests.
Putin anaongea sana,basi aipige makombora hiyo mahakama hapo the hague tuone
 
Ngoja apelekwe watajuana huko kama ni mwanachama au la, ajaribu kushambulia hiyo mahakama aone, kwanza elewa kwamba ICC hiyo ni ofice tu na jengo lakini jeshi lake na mamlaka yake yapo kwa nchi wanachama aguse nchi 1 tu aone moto
Acha ujinga ICC ni chombo cha kibeberu kwa masilai ya hao wamarekani , russia sio iraq au libya safari hii wameisha sasa kama wanajiamini hao Nato na ICC. yao si wapeleke makomando south wakamshike, na kama russia inatania si wamshike waone
 
Back
Top Bottom