Putin Akacha Mkutano wa BRICS, ahofia Kukamatwa

Putin Akacha Mkutano wa BRICS, ahofia Kukamatwa

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
82,940
Reaction score
89,157
Super power gani anaogopa Kukamatwa?
---

1689793678800.png

Russian President Vladimir Putin will not attend the summit of the BRICS group of nations in South Africa in August “by mutual agreement”, South Africa’s presidency said on Wednesday.

hosting the summit because, as a member of the International Criminal Court (ICC) which issued an arrest warrant for Putin in March for alleged war crimes, it would theoretically be required to arrest him if he were to attend.

The dilemma led to intense debate in South Africa and the West about whether the warrant would be executed, given South Africa’s stance of neutrality on the war in Ukraine and Pretoria’s historic ties to the Kremlin.

My Take
Usicheze na beberu USA.
 
Hakuna binadamu anayependa kujaribu kuyaweka maisha yake rehani/poni.

Kukamatwa kwa mtu maarufu kama Putin ni aibu kubwa na fedheha lakini kubwa zaidi ni kuhusu huko watakakomhifadhi kwani itakuwa ni madhila na kero tupu kwake.
 
Mtu akishakua na Maadui wengi inabidi akubali kuishi bila kueleweka .

Putin ni mtu WA Extra caution anaelewa anytime akikaa vibaya watamfuta kimya kimya kama "New Boss"
Nanukuu" Mtu akishakua na Maadui wengi inabidi akubali kuishi bila kueleweka."
👉 Anaishi kama digidigi anayewindwa na majangili kwa kitoweo. Hayo ni mateso makali kwake kisaikolojia. Pole yake.
 
Hakuna binadamu anayependa kujaribu kuyaweka maisha yake rehani/poni.
Kukamatwa kwa mtu maarufu kama Putin ni aibu kubwa na fedheha lakini kubwa zaidi ni kuhusu huko watakakomhifadhi kwani itakuwa ni madhila na kero tupu kwake.
Watamhifadhi pamoja na magunia ya mkaa na dagaa.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna binadamu anayependa kujaribu kuyaweka maisha yake rehani/poni.
Kukamatwa kwa mtu maarufu kama Putin ni aibu kubwa na fedheha lakini kubwa zaidi ni kuhusu huko watakakomhifadhi kwani itakuwa ni madhila na kero tupu kwake.
hajaogopa kukamatwa ameogopa kupinduliwa hapo kwake.

Juzi juzi tu mjomba alitaka kukiwasha bado ana kiwewe hawezi kutoka kifala hivyo!
 
Super power gani anaogopa Kukamatwa?

My Take
Usicheze na beberu USA.

Putin ni noma sana. Unaambiwa mwamba ana machale kama Bruce Lee vile. Alitaka kwenda SA lakini machale yakamcheza akaamua kuchuru, halafu ghafla akaifuta safari.
Hii yote ni sababu ana machale, angekua rais mwingine angeenda halafu angekamatwa
 
Hakuna binadamu anayependa kujaribu kuyaweka maisha yake rehani/poni.
Kukamatwa kwa mtu maarufu kama Putin ni aibu kubwa na fedheha lakini kubwa zaidi ni kuhusu huko watakakomhifadhi kwani itakuwa ni madhila na kero tupu kwake.
Hivi Unadhani Nchi yeyote ikimkamata Rais wa Urusi nini kitatokea?? kwanza unajua ni watu wangapi watauwawa katika jaribio hilo na nn Urusi itafanya??? acheni utani hata hao SA ni mabwege tu wanaogopa Marekani wajinga sana
 
Hivo ni vitisho lakin waje wajaribu kumkamata mbona kitanuka Dunia nzima itaingia WW3
Mmmmh! Kama wakifaulu kumdaka, basi tena itakuwa kama akina Osama bin Laden, Sadam Husein na yule jamaa wa Libya. Ndo mwisho wa stori na majigambo yake na vitisho vya vita WW3.
 
Yote hii nivile putine there is no need coparetion of american
 
China alitoaga mkwara mavi/mbuzi eti aliyekuwa spika wa Marekani Nancy Pelosi akikanyaga Taiwan Marekani atakiona cha moto. Nancy alienda hadi kuhutubia bunge la Taiwan na kuondoka China akabaki kama kuku aliyenyeshewa.
Umejibu swali kweli?
 
Back
Top Bottom