Idimi
Platinum Member
- Mar 18, 2007
- 15,657
- 11,723
Sikuwahi hata siku moja kuwapa watu weupe nafasi ya kuamini kuwa sisi Waafrika ni dhaifu, ni jamii ninamoishi inanilazimisha kuwapa wazungu advantage hiyo!
Kampeini miezi miwili amani tele, kupiga kura amani tele, kuhesabu kura amani tele. INAKUWAJE TUNASHINDWA KUIDHINISHA MATOKEO YALIYOKWISHA HESABIWA!!!!???
Siku zote ugumu wwa watawala uko kwenye point yako hiyo mwishoni. Madaraka matamu sana