Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,313
- 144,698
Huyu mbwa should not be let to live in peace.Inaumiza sana.
I know.ICC nayo imebaki ni jina tu
Natamani watu wapush hili jambo mbele zaidi kimataifa ili kupata suluhu.Huyu mbwa should not be let to live in peace.
Ni jina tu kwa superpowers. Wadogo wadogo kama hawa inawamudu sana!ICC nayo imebaki ni jina tu
Wasipomshtaki nitashangaa sana. Wamekufa watu wengi kuliko ule uchaguzi wa Kenya uliofanya kina Ruto washtakiwe.Huyu mtu, huyu kiumbe aitwaye Samia anapaswa kushitakiwa, at the least.
Ingekuwa ni juu yangu, nadhani wote mnajua ambacho ningetaka kumfanya au ambacho ningependa kimtokee.
Kwa dhambi kama hii hapa chini kwenye picha, huyu mtu anapaswa kukamatwa na kupelekwa mbele ya Plato.
View attachment 3496787
Nategemea ICC itatoa arrest warrant dhidi yake.
Make her life a living hell.
Toeni arrest warrant haraka sana ili aishie kuwa anaenda Somalia na Burundi huko kwa rafiki zake.
Na ole wake aje kwa Trump.
Oh trust me. Mimi ninazo zaidi ya 200 na tumeshaziwasilisha ICC.Litakuwa jambo la uzuri kama hizi picha zote zimerushwa na kuhifadhiwa kwenye Cloud Storage.
Naamini mashitaka yatafunguliwa dhidi ya uhalifu wa kibinadamu na Nina uhakika atakanatwa.ICC nayo imebaki ni jina tu
Asante, ubarikiwe mkuu.Oh trust me. Mimi ninazo zaidi ya 200 na tumeshaziwasilisha ICC.
Huyu mbwa lazima ashughulikiwe.