Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,190
- 162,697
- Thread starter
- #21
Huu wa.Tume ya Samia unakidhi viwango?Hawajachekewa mkuu... la kwanza ni wanatoa nafasi kwa nchi husika kuchunguza kwanza tuhuma za uhalifu unaodaiwa..ni baada ya hapo tu ndio ICC wanajiuliza Je uchunguzi huo unaridhisha viwango vya kimataifa?
Unajua kuna uchunguzi wowote wa mauaji unaofanyika hadi hivi sasa?
Na kama uko sahihi, wanasheria wa kimataifa kutoka taasisi za kimataifa waliofungua kesi ICC, hawajui hili unalosemq?