Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,145
- 162,542
Hii Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu dhidi ya binadamu(ICC), mbona inachukua muda mrefu sana hata kutoa taarifa ya wapi wamefikia au ni kinaendelea?
Jamani tufanyieni wepesi basi kabla machungu hayajapoa maana ni juzi tu tumetoneshwa kidonda kwa kauli za kiburi cha hali ya juu.
Jamani tufanyieni wepesi basi kabla machungu hayajapoa maana ni juzi tu tumetoneshwa kidonda kwa kauli za kiburi cha hali ya juu.