"What we observe is not nature itself but nature exposed to our method of questioning."
Unaona jinsi ulivyo mnafiki? Hebu angalia status yako. Nimekuwekea hapo juu usije ukaibadilisha fasta fata.
Nakuwekea pia na picha ya huyo mzungu aliyesema hayo maneno.
Mbona hukuweka quote ya Mjapan? Au nao hawana quotes? Acha unafiki mtu mzima.
Miungu watu wa utawala wa awamu ya tano.
Hivi wamesahau kuwa hata Egypt jamaa alizima twitter na Fb lakini mwisho wa siku akapoteza.
Always manguvu mengi mwisho wake ni mbaya.
Ushauri kwa njagu: anzisheni thread hapa tutawapa details zetu
PointKitu ambacho sijaweza kukielewa mpaka leo tangu utawala huu uingie madarakani ni kwanini utawala huu unaogopa mno social media kama kweli ni utawala dhidi ya ufisadi na ni utawala unajinadi kuwa ni wa kuwatetea wanyonge? Mbona mimi naona kama social media ni chanzo kizuri sana cha taarifa ambazo serikali inaweza kuzitumia kupambana na ufisadi na kuwaletea hao wanyonge maendeleo? Mimi nadhani ingekuwa nchi zilizoendelea Max Mello na wenzake wangekuwa wanatajwa mpaka kwenye hotuba za Rais kwa kuwa chachu ya maendeleo kupitia social media. Wenzetu huko Marekani Mark Zukerberg founder wa Facebook, founders wa Twitter, WhatsApp etc wanatajwa kama mifano ya maendeleo. Sisi tunawakamata wakina Max tunawaweka rumande, tunawanyima dhamana etc. Hivi tuna nini sisi?
??????????Magufuli anahusika na hili? Hii Sheria ilipitushwa na Bunge ambapo Wapinzani walikuwepo sasa iweje uje kumlaumu Raisi kwa utekelezaji wa Sheria halali? Ndiyo maana hata Wazungu wenu wanawapuuzia kwa maana hamna hoja!
Dawa ya mpumbavu ni kukaa kimyaKwahiyo wewe unatakaje yaani? Watu wafungwe midomo?
Tunakupata vizuri sana,nafasi ya DC Ubungo iko wazi unajipendekeza!Hahah wewe ndiyo unayo brain?
Typical "black" mind
Who cares?
You don't understand the language,do you?Kwa hiyo wewe unajua zaidi kuhusu jinsia yangu kuliko mimi mwenyewe? Basi hongera!
Limenigusa sana tena sana klk hata unavyodhania ila sijapendezwa na kumuona Mzungu ndiyo suluhisho!
Njia mbadala ni sisi kutatua matatizo yetu wenyewe, hili mbona linaongeleka nilivyoona Max hajateswa wala kupigwa ina maana yuko mikono salama ni swala la kukaa na Serikali kutafuta muafaka na inawezekana lkn watu wanavyoanza kuzunguka kwa Wazungu kuisema Serikali hakuna watakachofanikiwa kwani Serikali nao watajibu na mwisho wa siku hakuna mshindi!
Mzungu hajawahi kutatua tatizo la Mwafrika hata siku moja bila kuanzisha lingine kubwa zaidi, hivyo kwangu mimi hii ni ishu ndogo na inazungumzika baina ya sisi wenyewe!
mzungu siyo suluhisho? bombadier ni ya nani, viwanda ni vya nani, BUNDUKI za nani,mabomu ya machozi ya nani? unapochukua B7 tumia na akili kidogo.
Hayo ni yako ila jinsia yangu ni ME!
ouch.. 😀Perhaps if you had a brain you would...but thank goodness you don't have one.
Ya mama!!!Who cares?
Live free or die
It's beyond belief how dumb you areWho cares?