Mkuu Barbarosa,
Labda tujiulize kwa pamoja, kwa nini kuna waandishi wa habari kutoka hayo mataifa (kwa wazungu) hapa nchini kwetu? Majukumu yao ni nini? Je, kwa upande wako, kwa uzito huu huu unaoona sio sawa kwa suala la Maxi kuhusisha wazungu, vipi viongozi wa serikali yetu wanapofanya nao mahojiano na taarifa za serikali kurushwa huko kwao? Mheshimiwa Rais wa awamu ya Tano, alipofanya mkutano na Wahariri pale Ikulu, miongon mwa waandishi waliohudhuria walikuwa ni wa vyombo vya habari kutoka kwa "wazungu", hili unalisemeaje?
Kaka ...
Huyo kenge unapoteza muda wako kumjibu. Achana naye.You've got to be the dumbest JF member of them all!!!
Mkuu,Lkn mwisho wa siku tutapoteza wote kama unachukulia Libya au Iraki kama mfano hivyo hata hicho unachotaka kukipata hautakipata lkn ukizungumza na kutambua na kuheshimu Mamlaka ikiyopo uwezekano wa kufika mbali ni mkubwa!
Haya mambo hayataki hasira Serikali na Raisi wa JMTZ ndo walioshika mpini na huo ndio ukweli!
Hakuna mtu amepata negative press kama Mugabe lkn hao akina Tsvangirai wako leo hii? Wazungu wenyewe wameshawapotezea ...
Mkuu,Lkn mwisho wa siku tutapoteza wote kama unachukulia Libya au Iraki kama mfano hivyo hata hicho unachotaka kukipata hautakipata lkn ukizungumza na kutambua na kuheshimu Mamlaka ikiyopo uwezekano wa kufika mbali ni mkubwa!
Haya mambo hayataki hasira Serikali na Raisi wa JMTZ ndo walioshika mpini na huo ndio ukweli!
Hakuna mtu amepata negative press kama Mugabe lkn hao akina Tsvangirai wako leo hii? Wazungu wenyewe wameshawapotezea ...
Mkuu,I wonder what is he doing in-here if he doesn't want people to speak-up to their government, no matter what they say! He should be banned from this forum b'cause he's against the forum's MOTTO "where we dare to talk openly". Mods, do we need these kind of people here esp. in times like these?
Nchi ikibinuka jiandae kuwa mke wanguNajua ndiyo maana nimejitoa!
Mkuu,nawashauri mods wawaondoe wanafiki wote wanaoshangilia hili jambo kama huyu BARBOSA,ISIS na wengineo,hawa ndio wanaoichongea jf kwa mabwana zao na wanalipwa kwa kazi hii tu.watu wabaya sana hawa!...ni wakua nao makini.
Mkuu BarbarosaMagufuli anahusika na hili? Hii Sheria ilipitushwa na Bunge ambapo Wapinzani walikuwepo sasa iweje uje kumlaumu Raisi kwa utekelezaji wa Sheria halali? Ndiyo maana hata Wazungu wenu wanawapuuzia kwa maana hamna hoja!
Tumekujua umetumwa na ccm. Barbarosa mk..ndu wa bibi yakoNajua ndiyo maana nimejitoa!
Mkuu,Lakini haijawahi kusaidia kitu, kama kuna chochote cha kujifunza basi mngejifunza kwa Maalimu Seifu amezunguka Miji Mikuu ya Wazungu karibia yote kutaka Nchi yetu iwekewe vikwazo na Wazungu, na nini kimetokea? Sasa hivi kajichokea kaamua kukaa zake nyumbani!
Kwa nini unaisemea serikal na hutak Maguful akosolewe hata km anastahili au mungu wenu huko ccm..... naomba unijib haraka kabla nami sijaanza kukufuatiliaNjia mbadala ni sisi kutatua matatizo yetu wenyewe, hili mbona linaongeleka nilivyoona Max hajateswa wala kupigwa ina maana yuko mikono salama ni swala la kukaa na Serikali kutafuta muafaka na inawezekana lkn watu wanavyoanza kuzunguka kwa Wazungu kuisema Serikali hakuna watakachofanikiwa kwani Serikali nao watajibu na mwisho wa siku hakuna mshindi!
Mzungu hajawahi kutatua tatizo la Mwafrika hata siku moja bila kuanzisha lingine kubwa zaidi, hivyo kwangu mimi hii ni ishu ndogo na inazungumzika baina ya sisi wenyewe!
Bahati mbaya hata zikisikika, mwisho wa yote inaangaliwa sheria za nchi zinasemaje. Ukweli ni kwamba sisi watumiaji wa JF tunaposhindwa kuitumia JF kwa misingi ya haki, usawa, utu na ukweli matokeo yake ndio haya. Binafsi simlaumu Maxence wala Serikali, bali nawalaumu watu wanaoona JF ni kijiwe cha matusi, uzushi na uongo kwa sababu tu wana access ya kuficha identity zao halisi. Binafsi nimetukanwa sana na watu humu hadi nilifika mahali nikataka niache JF. Nakumbuka miaka ya 2010 kurudi nyuma ilikuwa mtu kabla hujapot JF unajitafakari sana kama je hoja yako ina uzito na ukweli? Na hapo ndipo ilikuwa ile mantiki ya JF A HOME OF GREAT THINKERS. Nimekuwa mdau wa JF tangu kabla haijaitwa Jamii Forum, ila ilinichukua muda kujisajili kwa sababu nilijiona bado sina uwezo wa kupost hoja kama walizokuwa wanapost members wa kipindi hicho. Na wala JF haikuwa na matusi, ilikuwa ni hoja kwa hoja tena watu wakidai ushahidi, usipotoa ushahidi BAN ilikuwa inakuhusu. Hii JF ya sasa hivi utoto ni mwingi kuliko GREAT THINKERS
Typical "black" mindLkn mwisho wa siku tutapoteza wote kama unachukulia Libya au Iraki kama mfano hivyo hata hicho unachotaka kukipata hautakipata lkn ukizungumza na kutambua na kuheshimu Mamlaka ikiyopo uwezekano wa kufika mbali ni mkubwa!
Haya mambo hayataki hasira Serikali na Raisi wa JMTZ ndo walioshika mpini na huo ndio ukweli!
Hakuna mtu amepata negative press kama Mugabe lkn hao akina Tsvangirai wako leo hii? Wazungu wenyewe wameshawapotezea ...
Ndo tumeamua kupambana nao coz wanatupuuza. WE MJINGA NIMEANZA KUKUCHUKIA ZAID KULIKO HATA UPUUZ HUU UNAOUTETEALkn mwisho wa siku tutapoteza wote kama unachukulia Libya au Iraki kama mfano hivyo hata hicho unachotaka kukipata hautakipata lkn ukizungumza na kutambua na kuheshimu Mamlaka ikiyopo uwezekano wa kufika mbali ni mkubwa!
Haya mambo hayataki hasira Serikali na Raisi wa JMTZ ndo walioshika mpini na huo ndio ukweli!
Hakuna mtu amepata negative press kama Mugabe lkn hao akina Tsvangirai wako leo hii? Wazungu wenyewe wameshawapotezea ...
Mkuu,Kuna tofauti kubwa kati ya Wazungu kutuma Waandishi wao wa Habari ili kupata Habari zetu na sisi kuwatafuta na kuwapekea habari zinazotuhusu, hivyo vitu viwili tofauti!
You've got to be the dumbest JF member of them all!!!
"They claim what has been posted, include the theft of fuel at the Dar es Salaam Port, corruption in public offices and tax evasion. Probably, those named in the reports complained to the police, wanting the disclosure of the names of subscribers," Ishabakaki said.