Msanii wa kondegang anaejulikana kwa jina la IBRA ambaye yupo chini ya msanii harmonize amefunguka kuwa mpaka kufika hapa boss wake amewekeza mil 6 tu na huwa anapatapa show nyingi za Dola 3000 anazikataa anasema sio zinazoendana na thamani yangu na label kiujumla wakati uwekezaji wake ni mdogo kwangu, hiyo ni moja ya sababu ya ugomvi wangu na yeye.