Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 31,342
- 89,561
Merc Benz flani.Yule dogo hata kale kagari anakuja nako BASATA sio kake.
Umaarufu na mfuko tupu ni zigo la misumari kichwani
Merc Benz flani.Yule dogo hata kale kagari anakuja nako BASATA sio kake.
Umaarufu na mfuko tupu ni zigo la misumari kichwani
Ndio maana tunasisitiza hii nchi inamuhitaji Ibrahim Traoure. Huu upuz utaisha.Sasa kwa nini alikuwa anataka kuchangiwa billion 1??
Ndo maana nasema hela za watu zina maumivu makubwa sana wakati mwingine unaweza ona mtu mchoyo au mbinafsi ila akifikiria maumivu ya kupata hiyo hela anachoka ,Akati huko chumbani huyo ibra hataki kuingia, sasa itakuajee? Lol
😂😂😂😂😂
Ukataji mauno umezidiNdio maana tunasisitiza hii nchi inamuhitaji Ibrahim Traoure. Huu upuz utaisha.
Mbaga Jr Nyani Ngabu
Nyau de adriz
We uliwekeza nini pale konde gang? Miziki, yako imeingiza kiasi gani? Acha kulia Lia mtoto wa, kiume, kama kuanzisha label ni rahisi, nenda kaanzishe na wewe Uwe na kina "IBRA" Wako Uwe "unawaita" Chumbani!Msanii wa kondegang anaejulikana kwa jina la IBRA ambaye yupo chini ya msanii harmonize amefunguka kuwa mpaka kufika hapa boss wake amewekeza mil 6 tu na huwa anapatapa show nyingi za Dola 3000 anazikataa anasema sio zinazoendana na thamani yangu na label kiujumla wakati uwekezaji wake ni mdogo kwangu, hiyo ni moja ya sababu ya ugomvi wangu na yeye.
Oyaaaa oyaaaaaa weeeeBombocraa aa aat
VS
Oya oya weee kama nimetoroka mirembe
Drama after drama ndio maisha ya fame.
Ibraa na ibrahim ndo wale wale mkuuNdio maana tunasisitiza hii nchi inamuhitaji Ibrahim Traoure. Huu upuz utaisha.
Mbaga Jr Nyani Ngabu
Nyau de adriz
Wapi mkuu hii ni kazi ya CCM kuvuruga eatu mtandaoni...Huyu Ibraa hashirikiani na Mond kimyakimya kweli?😄
Siku hizi mshindani wako anatumia watu wa ndani mwako kukubomoa... U
Huo ni uongo Ibrah......Ulikuwa unaishi Konde VIllage kila kitu ndani kilikuwepo ,je unajua furnished apartment bei zake kwa mwezi?Msanii wa kondegang anaejulikana kwa jina la IBRA ambaye yupo chini ya msanii harmonize amefunguka kuwa mpaka kufika hapa boss wake amewekeza mil 6 tu na huwa anapatapa show nyingi za Dola 3000 anazikataa anasema sio zinazoendana na thamani yangu na label kiujumla wakati uwekezaji wake ni mdogo kwangu, hiyo ni moja ya sababu ya ugomvi wangu na yeye.
Sasa kwa nini alikuwa anataka kuchangiwa billion 1??
Nakaziaaa!!! 📍📍Ndo maana nasema hela za watu zina maumivu makubwa sana wakati mwingine unaweza ona mtu mchoyo au mbinafsi ila akifikiria maumivu ya kupata hiyo hela anachoka ,
Tuulinde utu kwa Hali na mali