Musa alimuuliza mungu ktk kitabu cha Kutoka 3:6 wewe ni nani? kasome uone jinsi Mungu alivyo jitambulisha kwa Musa ndiyo utaelewa kuwa waafrika tulikuwa sawa na bado tuko sawa ktk imani ya Mungu.
Mungu alijitambulisha kupitia mizimu na si vingine. alimwambia Musa kuwa mimi ni Mungu wa Baba zako, Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka,Mungu wa Yakobo. Hawa wakati Mungu anajitambulisha kwake walikuwa wametulia kabulini wote. Swali kwenu kwanini Mungu asitambulishe kwa jina lake au aseme niko hata mbingu ya 90 hivi au kivyovyote ana anaamua kujitambulisaha kwa watu waliolala kaburini?