Ibada ya kweli kwa Muafrika ni tambiko

Ibada ya kweli kwa Muafrika ni tambiko

Wewe uliona yesu akipaa na kufufua watu? Umeambiwa au umesoma katika vitabu vilivyoandikwa ukaviita vitakatifu/umekuwa ulipo kwa kufuata mkumbo wa baba yako ambae nae alifuata mkumbo wa babu yako wa dini elekezi
hata wakina Einstein,Aristotle,Alexander the great,farao nk sikuwaona lakini sio kwaamba yanayaongelewa hawajayafanya.kwakuwa walifanya mbele za watu ,na watu waliwaona na vizazi vikaendelea ndio mana mpaka leo tunawajua na tunahadithiana waliyoyafanya.vivyo hivyo kwa yesu sikumuona akipaa wala akifanya lolote ila yote hayo tumeyajua kwakuwa aliyafanya hadharani na watu waliomuona vizazi kwa vizazi vikahadithiana mpaka sisi tumefahamu,hapo ulipo unajua aliyoyafanya Hitler sio kwakuwa ulikuwepo ila hata kizazi chako kitajua kwa maana aliyoyafanya aliyafanya hadharani.swala la kufata mkumbo labda hii dini au kumuabudu mungu hapo sikatai ni mkumbo maana hakuna aliyewahi kumuona Mungu ila matukio ya hao niliowataja yalifanyika hadharani ndio mana mpaka leo yanaishi
 
Hata mizimu nimesikia ikisaidia watu ukoo wetu acha niifuate
 
Kwa hiyo adam na hawa walikuwa wawili wakala tunda nyie mkajuaje sasa aua mliambiwa na nani kuwa walikula hilo tunda? Na why hamsemi walisex mnasema tunda mnaficha nini?
 
yap mizimu ni watu waliokufa kale wakiwa watenda mema.tunaamini mtu akifa akiwa ametenda mema anakua karibu na mungu ndio mana tunasema mtakatifu yohana utuombee,kumbuka yohana amekufa kale kwahiyo nae ni mzimu,ingawa wazungu walituaminisha marehemu waliokfa kwa upande wao ni watakatifu ila kwa upande wetu waafrika ni mizimu
 
Kwa hiyo adam na hawa walikuwa wawili wakala tunda nyie mkajuaje sasa aua mliambiwa na nani kuwa walikula hilo tunda? Na why hamsemi walisex mnasema tunda mnaficha nini?
waliishi miaka mingi sana inawezekana walihadithia vizazi vyao na vizazi vikahadithia vizazi hadi leo
 
Stori hizo mnapigwa kamba aisee
hiyo ni history ni vitu vya kawaida. kamba tunapigwaq kwenye ishu za kiroho ,cjui malaika .motoni ,nk nkn ,ila sio kwenye matukio ya kihistoria hasa yaliyofanyika hadharani
 
Umefanya utafiti kiasi gani kujua hao warabu na wazungu hawafwatilii staarabu zakuabudu za mababu zao?.Ata hivyo ukiangalia kwamapana utaona kua wao ustaarabu wao wakuabudu haukutofautiana sana kutoka kwamababu kuja ustaarabu mpya ila sisi afrika tuliletewa kitu kipya kabisa nakufuta chakwetu cha zamani.Ilitakiwa yafanyike maboresho ya chakwetu.kama ni mtume tutengeneze wakwetu wakisasa.
Unaweza ukatupa faida kwa kueleza taratibu za kuabudu za wazungu na waarabu zilikuaje kabla ya uislamu na ukristo?maana unasema ustaarabu wao wa kuabubu hautofautiani sana.
 
Na cha kusikitisha hizi dini za kuletewa na maboti hazina kabisa tija kwetu
Cha kusikitisha tunajua historia za hizi dini tunazoita za kuletewa ila hatujui machimbuko ya hizo imani za mababu zetu zilitokea wapi na kuanza vp,yani sie tunachojali ni imani za mababu tu.
 
Sana Mkuu,unashangaa mbona watu zamani walikuwa wanaomba mvua na hapohapo mvua haichelewi inawanyeshea hadi wao,siku hizi unaomba mpaka unapauka na hakuna lolote,alafu tunawaona wale ndio wajinga kumbe mazuzu ni Sisi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Lini kulifanyika maombi ya mvua na hayo maombi hayakujibiwa? Halafu cha ajabu mmekazania maombi ya mvua tu,hivi kweli sasa hivi watu wanataka kuomba!
 
Ushirikina kwenda mbele

Mitume na Manabii wa Mola,walikuwa hawana matambiko,kisha walikuwa na miujiza ya wazi katika kudhihirisha nguvu za Muumba

Tambiko halina nafasi kwa mwanaadam
Bali ni upotevu wa wazi

Halina mjumbe wala ustaarabu
Bali ni upuuzi na ujinga uliotawala
ndio maana Waafrika tukatawaliwa kwa Haraka
na kuuliwa ktk vita ya maji maji kwa dhana potofu

Sent using Jamii Forums mobile app
Soma Biblia aise, agano la kale linaeleza kwa undani sana jinsi manabii, mitume na wafalme walivyokuwa wakitoa makafara/matambiko. Inaelezwa kwa undani sana na mara nyingi haina tafauti sana na matambiko ya kwetu Afrika.
 
Lini kulifanyika maombi ya mvua na hayo maombi hayakujibiwa? Halafu cha ajabu mmekazania maombi ya mvua tu,hivi kweli sasa hivi watu wanataka kuomba!
Mvua ni mfano tu,kuna magonjwa mbalimbali yanatoka Kwa matambiko,riziki,mavuno,upepo ukipiga uwe wa heri nk! Lakini hizi Dini za kuwagawa watu nk badae zitapotea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushirikina kwenda mbele

Mitume na Manabii wa Mola,walikuwa hawana matambiko,kisha walikuwa na miujiza ya wazi katika kudhihirisha nguvu za Muumba

Tambiko halina nafasi kwa mwanaadam
Bali ni upotevu wa wazi

Halina mjumbe wala ustaarabu
Bali ni upuuzi na ujinga uliotawala
ndio maana Waafrika tukatawaliwa kwa Haraka
na kuuliwa ktk vita ya maji maji kwa dhana potofu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi dini unazoshadadia zilikuja na Mashua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza tumepoteza muda Sana,kila sehem Wana Dini Yao,wahindi,waarabu,wazungu waafrika Pia Kwa nini usikomae na Dini zako unaenda kwenye Dini za kigiriki huelewi hata kinaongelewa nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Unavyosema kila sehemu wana dini yao una maanisha nini?unakusudia jamii mbalimbali za watu au unakusudia mataifa?
 
Wanalazimisha kusema vitabu vitakatifu je wao wamevipata wapi? Ukweli viliandikwa tu na wajanja hao duniani dini hapana wala Mungu akuleta dini naamini
Unaweza kunipa faida ule utaratibu wa ibada wa hao mababu zetu walielekezwa na Mungu mwenyewe au walibuni tu wenyewe?
 
Back
Top Bottom