Ni vyema ukaja na mfumo kamili na Ustaarabu uliofindishwa kupitia Tambiko
Uislam
ulikuja na kukuta watu wakiabudu Masanamu waliyoyachonga wao kwa mikono yao,ukayaondoa yote
ulikuta ustaarabu mbaya wa unyanyasaji hususan kwa wanawake,ukaondoa uovu huo
Kisha ukatoa elimu,na vitabu vikaandikwa,kuwa hili ni Halali na hili ni Haraam
Kwakuwa mwanaadam ukimpa uhuru moja kwa moja,ni zaidi ya mnyama.
Tukafunzwa kuwa tusitende dhambi,kwani Mola hapendi dhambi
tukaaswa,tufanye mema,kwani Mola anawapenda wafanyao mema
Narudi kwako mkuu
IMANI YAKO YA TAMBIKO,inatufunza nini?!
na je,kuna Vitabu kutoka kwa Mola vilivyoshushwa kwa ajili ya kueneza ushirikina huo?!
HAKIKA YA SHIRKI,NI DHULMA KUBWA MNO
Sent using
Jamii Forums mobile app