Iam so lonely and depressed, please chat with me

Iam so lonely and depressed, please chat with me

SuleWiz

Member
Joined
Feb 26, 2015
Posts
15
Reaction score
3
Habari za leo.

Katika maisha nimejifunza mengi baada ya kukutana na mengi, imefikia point naishia kusema "ninge" well hayo yameshapita na hope kuto walk thru those paths tena. Haya sasa I know Im not the only one, perhaps hata wewe yame kukuta ya kuwa heart broken, kupuuzwa, kushindwa kutimiza malengo n.k.

I think its about time, tuzungumze, ilikuwaje ya kwako nami niseme yangu, I believe ukiwa na mtu wa kumwambia unapunguza maumivu (share your pain) hasa ukiwa haumjui huyo mtu, maana utakuwa una picture like huyu jamaa sijui yupoje, well it doesnt matter, as long as tunasaidia kupunguza stresses na kupeana mikakati mipya how to live and survive baada ya kuanguka na kuumia hapo awali.

Lastly i believe nipo vizuri katika chatting, comforting and giving hope, karibu tushare yaliyotukuta.

Karibu Pm au wasilina nawe thru my cell no aah ipo Pm.

Sulewhiz.
 
unavyochanganya lugha utafikiri si mtanzania halisi,au ndio tukuone mjanja,mjuzi au mmahiri wa lugha zaidi ya moja?KUWA MZALENDO WA LUGHA YAKO.
 
unavyochanganya lugha utafikiri si mtanzania halisi,au ndio tukuone mjanja,mjuzi au mmahiri wa lugha zaidi ya moja?KUWA MZALENDO WA LUGHA YAKO.

Ulichosema ni kweli.. Tukipende na kukienzi kiswahili,, hivi we we ni me/me!?
 
Habari za leo.

Katika maisha nimejifunza mengi baada ya kukutana na mengi, imefikia point naishia kusema "ninge" well hayo yameshapita na hope kuto walk thru those paths tena. Haya sasa I know Im not the only one, perhaps hata wewe yame kukuta ya kuwa heart broken, kupuuzwa, kushindwa kutimiza malengo n.k.

I think its about time, tuzungumze, ilikuwaje ya kwako nami niseme yangu, I believe ukiwa na mtu wa kumwambia unapunguza maumivu (share your pain) hasa ukiwa haumjui huyo mtu, maana utakuwa una picture like huyu jamaa sijui yupoje, well it doesnt matter, as long as tunasaidia kupunguza stresses na kupeana mikakati mipya how to live and survive baada ya kuanguka na kuumia hapo awali.

Lastly i believe nipo vizuri katika chatting, comforting and giving hope, karibu tushare yaliyotukuta.

Karibu Pm au wasilina nawe thru my cell no aah ipo Pm.

Sulewhiz.

bahati mbaya sipendi kukumbuka mambo magumu yanayohitaji kufarijiwa, ila napenda kujua nitasongaje. nitakucheki pm
 
Habari za leo.

Katika maisha nimejifunza mengi baada ya kukutana na mengi, imefikia point naishia kusema "ninge" well hayo yameshapita na hope kuto walk thru those paths tena. Haya sasa I know Im not the only one, perhaps hata wewe yame kukuta ya kuwa heart broken, kupuuzwa, kushindwa kutimiza malengo n.k.

I think its about time, tuzungumze, ilikuwaje ya kwako nami niseme yangu, I believe ukiwa na mtu wa kumwambia unapunguza maumivu (share your pain) hasa ukiwa haumjui huyo mtu, maana utakuwa una picture like huyu jamaa sijui yupoje, well it doesnt matter, as long as tunasaidia kupunguza stresses na kupeana mikakati mipya how to live and survive baada ya kuanguka na kuumia hapo awali.

Lastly i believe nipo vizuri katika chatting, comforting and giving hope, karibu tushare yaliyotukuta.

Karibu Pm au wasilina nawe thru my cell no aah ipo Pm.

Sulewhiz.

Jipe moyo rafiki kila kitu kinawezekana. usikate tamaa
 
MKUU tupo wengi hivi karibuni siku moja kabla ya pasaka lilinipata janga: mimi nilikuwa na my girlfriend siku hiyo kapitia home akitoke kazin kuja kunimba kuwa kesho pasaka hatakuwepo maeneo yangu Kwa kuwa alikuwa anakaa na dadaake na kamuambia waende home kwao toka arusha kwenda moshi so nikamuelewa sana maana hajawahi nifanyia kituko na pia penzi letu lilishine sana kiasi cha kila mtu kumridhia na kumwamini mwenzake, Tukaagana akaondoka wote tukiwa na furaha Kwa kuahidiana kuwa baada ya yeye kutoka moshi j,pili jioni j3 atakuja tushinde pamoja kama ilivyo kawaida Kwa siku asizoenda job, baadae kidogo akanipigia rafiki yangu kuwa anaomba anipitie nimpeleke stand ansafiri kidogo Mimi nibaki na Gari yake kwangu mpaka arudi nikamkubalia kweli nikampeleka kumbe ndiyo nafuata balsa, nilivyo mpeleka nikamwambia Mimi sitarudi tena nyumbani Kwa muda ule kwasababu rafiki yangu ni Dereva teksi nikamwambia natega tega nichikue za kusherehekea sikukuu akaniambia poa! Kidume nikaingia kazini niakaanza kula vichwa kama wenyewe wanavyo semaga kikaja kichwa nikakipeleka mtaani Kwa wakazi wa Arusha usa river nikisema mtaani namaanisha ngarasero wananielewa nikamshusha Mteja vizuri nikageuka kurudi ghafla nikapigiwa simu na yule rafiki aloniachia Gari kuwa niende mahali kuchukuwa Mteja akanielekeza nikaongeza mwendo kidogo ili kumuwahi Mteja nikafika mahali kuna mchepuko wa barabara inaingia kushoto kwangu wakati huo mbele yangu kuna Gari ya polisi Land rover defender inatokea ninakoelekea ghafla nikiwa karibu sana akaonyesha ishara kuingia kulia kwake yani upande niliopo mimi sasa nikatumia sheria kupita maana hajaniomba kuwa ana dharura kiudereva wakati napita usawa wa Dereva mwenzangu aneendesha Gari ya polisi nikasikia tusi likinielekea samahani nitanukuu alisema (**** la mama yako we ------) dah nikashituka nikapita mbele kidogo nikasimisha Gari yangu ninayoendesha ghafla akashuka trafiki kijana ambae ndiye alikuwa Dereva wa ile Gari ya polisi nikawa namuuliza kwanini unanitukana? Yule trafiki hakukomea hapo akaendelea kuja na matisi lukuki akiyarudia rudia alivyo nikuta akataka kuzima gari yangu nikakataa nikamshika mkono ghafla kaanza kuni shambulia Kwa ngumi na vibao akaja mwenzake walikuwa wote Kwenye Gari akamwambia Kwa kumtaja jina unagombana nini kama umebaini kosa tumpeleke kituoni Kwa sababu najiamini Kwa utendaji wangu nikawaambia msitumie nguvu ngojeni twende kituoni mnapotaka sasa ikabidi nitoe simu yangu ili nitoe taarifa kuwa Mteja sitomfuata tena kumpa huduma,
Kabla sijapiga simu akairukia yule kijana trafiki akaniambia leta hiyo simu hapa nikamuuliza simu ya nini nikala kibao, MKUU yule kijana ni mdogo sana halafu yaaan ni zile sare lakini kama ingekuwa kimtaani ningemfundisha adabu sana, basi akachukua simu na kuipekuwa picha ya kwanza akakutana na ya yule Mpenzi wangu tulieagana muda si mrefu na ninamgahamu kuwa ni shemeji yake amemuoa Dada wa Mpenzi wangu ambako ndiko anakokaa ghafla kanirudi nakuniuliza huyu Nani nikamwambia anitwa fulani nikaanza kuchezea kipigo cha mbwa mwizi tishet niliyokuwa nimevaa iliishia pale nikapelekwa kituoni na matisho ya kutosha nakipigo zaidi kufikishwa pale nikaingizwa mahali nikapigwa virungu vingi sana akampigia simu Mpenzi wangu Kwa simu yangu na kuwatukana sana yeye na Dada yake baadae akaondoka Kwa aibu baada ya wenzake kumshangaa kuwa angombana na mimi Kwa sababu ya shemeji yake halafu MTU mzima nakunimbia alikuwa annitafuta sana sasa nimeingia Kwenye anga zake lazima anipeleke jela Kwa kesi ya robali alivyoondoka Kwa aibu polisi mmoja mwanmke akanifuta nakuniambia njoo upewe dhamana kutoka nikamkuta Dereva tunaefahamiana aliona lile sakata kweli nikaandika maelezo nikapewa dhamana nilivyotoka tuu nikakuta missed call Kwa muda wa lisaa na nusu zilikuwa 90 maana simu iliachwa kaunta lakini haikuzimwa ghafla akapiga tena alikuwa mpendwa wangu akaniuliza imekuwaje nikamwmbia kila kitu akanambia pole ila Mimi nipo upande wako hataikiwa kwenda mahakamani isiogope na kuanzia hivi tunvyongea hapa Mimi huko kwake sirudi tena na nguo sifuati Mimi nitakuja tupange mikakati yetu, nikamuuliza na kazi akaniambia ndiyo basi lakini sikuwaza sana maana alijishikisa wakati anasubiri kwenda CHUO baada ya siku chache tulikuwa tunawsiliana vizuri sana na mapenzi yetu yakazidi Kwa mazuri japo tupo mbali maana kweli tulipendana.
Lakini gafla sana nakumbuka ilikuwa saa mbili usiku alinipigia Kwa furaha kama kawaida huku tukicheka nakuniuliza hivi huyo mpuuzi kakwambia mahakamani ni lini? Nikamwambia ananikwepa ila Mimi natakiwa kusafiri kitu ambacho alikifahamu hata kabla hajaenda kwao hivyo yule polisi ambae alisimamia dhamana yangu kanambia mi mda wangu ukifika niondoke tuu lakini nimtaarifu.
My love akaniambia sawa tukaongea mambo yetu mengine ghafla simu yake ikakatika nikampigia akaniomba samahani kuwa muda wake wa kifurushi umeisha nikamwambia poa asijali.
Basi baada ya mipango mingi tukawa tunaagana lakini kabla sijakata simu akaniita, baby! Nikamwambia yes hny akasema saizi ni usiku mimi siwezi enda dukani naomba unitumie vocha tigo ya 500 nikamwambia sawa nikatoka nje nikamchukulia kiasi alichoomba maana namfahamu si mtu wa kupenda makuu mara nyingi anaweza weka jero ikaisha muda wala hajamaliza nikamtumia nakumuomba ikiigia aniambie maana nilimtumia namba Kwa SMS hakunijibu nikakaa tuma SMS sijibiwi nikapiga hakupokea nikasema labda kalala kesho yake kama kawaida tunajuliana hali kama sijaanza ataanza yeye lakini nilipo JARIBU kutuma SMS sikujibiwa na zinamfikia kabisa naona dah akili ikapata hofu lakini sikupata jibu Dada yake akanipigia akiniomba msamaha Kwa yaliyotokea nikamwambia sawa lakini mbona wewe huhusiki Kwa lolote akanambia ukinisamehe Mimi umemsamehe na mume wangu mwenyewe akakiri kuwa mume wake ana akili za kitoto nikamwmbia sawa namfokiria Kwa kina akanambia sawa. Kutwa ikaisha siku ya pili sina mawasiliano na my sweetheart
Siku ya tatu Dada mtu kanipigia simu tena nakuniambia anaomba nisimsamehe mume wake Kwa lolote maana atazoea kueneeleza uonevu na kuniambia anamtesa sana na kumtukana Kwa mambo yasiyo ya msingi lakini niliamini maana my love alikuwa akiniambia akichelewa kwangu shemeji yake anaogopa komuuliza badala yake anamtukana Mke wake kitu ambacho kilimfanya yule bint atake kuondoka pale nikamzuia Mimi na kumuambia utaondoka muda ukifika hivyo kupata taarifa toka Kwa muhusika mwenyewe sikupata tabu kumuamini, hivyo nikaahidi kumjulisha baadae sikufanya hivyo tena.
Baada ya kuona nakaribia kusafiri bila mawsiliano na mwenzangu nikaamua kufanya maamuzi binafsi nilikuwa sijawahi fika kwao maana Bado tulikuwa Kwenye mipango nikaamua kupatafuta mpaka nifike kweli nilifanikiwa kufika nikamkuta kwanza hakuamini kuwa kweli ni mimi nipo mbele yake maana kwanza niliamua kuwa lolote nitakalo kutana nalo poa tu maana kweli nampenda Kwa dhati tuliongea mambo mengi na yeye kukiri kuwa amekosea kuamua kuachana na Mimi nikamuuliza unaona maamuzi ya kukata mawasiliano ni sahihi akaniambia hapana, je nishawahikukuudhi Kwa lolote anakiri kuwa hapana nikamiuliza sasa Kwa nini akanijibu kuwa anahisi kichwa chake hakipo sawa yaani akili imevurugika Kwa hiyo anamba kuwa peke yake haitaji mahusiano yoyote Kwa sasa na pia masuala ya mahakamani ye amejitoa dah nilichoka kwakweli.
Mpaka sasa sina mawsiliano mazuri na my love na pia Jana yule afande alonipa dhamana kanipigia kuwa nimtafutie chakula maana amemaliza mambo na Yule adui yangu wakati nilimuambia nataka kwenda mahakamani na yule polisi Kwa kunidhalilisha na kipigo na pf3 ipo.
Wakuu nisaidieni Kwa mawazo nifanyeje Mpenzi wangu arudi maana nampenda kweli na pia nini nifanye kumuadabisha huyu polisi alietumia sare zake kuni dhalilisha?
Naomba mawazo sitaki kejeli wakuu.
 
I have been through a bad relationship, emotional abuse d marriage. Thank God, I have my angel na nilitoka huko.

Sometimes I don't think if I'll fall in love again. I had bad experience in marriage + love, but still strong. Najikeep busy na kazi hadi nimesahau mateso yote ya ndoa. I'm new, new hope. Friends keep saying ur only 30, you will get mr right. May be, still dreaming.
 
Habari za leo.

Katika maisha nimejifunza mengi baada ya kukutana na mengi, imefikia point naishia kusema "ninge" well hayo yameshapita na hope kuto walk thru those paths tena. Haya sasa I know Im not the only one, perhaps hata wewe yame kukuta ya kuwa heart broken, kupuuzwa, kushindwa kutimiza malengo n.k.

I think its about time, tuzungumze, ilikuwaje ya kwako nami niseme yangu, I believe ukiwa na mtu wa kumwambia unapunguza maumivu (share your pain) hasa ukiwa haumjui huyo mtu, maana utakuwa una picture like huyu jamaa sijui yupoje, well it doesnt matter, as long as tunasaidia kupunguza stresses na kupeana mikakati mipya how to live and survive baada ya kuanguka na kuumia hapo awali.

Lastly i believe nipo vizuri katika chatting, comforting and giving hope, karibu tushare yaliyotukuta.

Karibu Pm au wasilina nawe thru my cell no aah ipo Pm.

Sulewhiz.
nikuadd kwenye Whatsapp group yetu, tuna namba hapa 0789741582
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom