Iam back

[h=2][/h]
Habari za ndoani best hehe heheh mwezi wa toba wakaribia ushavuta nasikiaaaaaaaaaaaaaaaa

Maria Roza............mbona huwa unapotea hivyo........................au nawe umeshikwa ukashikika?
 
[h=2][/h]

Maria Roza............mbona huwa unapotea hivyo........................au nawe umeshikwa ukashikika?

Huyu anachakarika sana siku hizi maana ameweka nia kabla ya 2012 awe ameshavuta kitu hiki :)...tena mmaaaaa lol!

bmw1.jpg
 
Hahahha BAK!!!! Huu ugonjwa huu acha tu :A S-rose:

Hahahahahah lol! hakuna ugonjwa usiokuwa na tiba MR labda ule wa nanihii :)....huu ugonjwa wako lazima utibike tu ili usuuzike roho yako. Kila la heri
 
jf huwa hatuagi.........na humu huwezi toka ...kokote uendako uko online....labda kama unategemea net ya ofcn............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom