I wish I had a husband already

I wish I had a husband already

Yes I can't deny that I wrote this with all my pride coz watu wengine wanafikiri all women looking for a man are after money..hell no.. some of us have our dignities, morals and principles.

kula tano! lol

mie ningekua na vitu ulivyo navyo,wangenikoma huku JF 😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Wakipataga hayo yote wanajengekaga kitabia flani hivi ambacho wanaume hatubebagii... si umeona hata anavyojielezea hapo, sijui"my own car"my own house"my business".
Wanapataga pembe flani hivi, baya sana.

hasa ulitaka aseme vya nani ? kama mmiliki ni yeye?lol angekua na mume sawa...
 
mnhh kama mwanaume hutakiwi kufeel inferior kiasi hiki...mkali Simba na anazaa...
Naiona sens ya kutotambua nafac yako (mwanamke) kwa mwanaume. Naamini hauna mume wewe, naamini pia umepata shda kwenye mahusiano yako kwasababu ya hilo pembe ulilonalo.
 
Me nilidhani unamshauri staili nzuri ya usemji. Au na we ni single mother maana unampa libichwa mwenzio ambalo halimsaidii...

eti usemaji mzuri...khaa ..eti Nampa libichwaa huyo ni wa kupewa libichwa unaona?
 
Hata mimi namshauri vivyohivyo, ila pia namshauri asikusikilize saanaa kwenye eneo fulani, atafeli (asijifunze kwa waliofeli)

..utakua mluga luga Fulani unayedhani huku mtandaoni unaweza kufanya maagizo kama uko nyumbani kwako...hivi huyo ametaka ushauri au anatafuta mtu? wewe ndezi?
 
eti usemaji mzuri...khaa ..eti Nampa libichwaa huyo ni wa kupewa libichwa unaona?
Naona umeanza kuongea kama mipasho, naomba nikuachie bendera maana hicho ndo what u can do best.

Ila msichoke kutafuta (inakupa mwanamke uhuru kiuchumi na inakuongezea machaguo), inasaidia kupunguza dependency ratio, inachangia kipato cha familia. Sambamba na hayo, usisahau kushape tabia yako (as a female, as a wife, as a mother to the society), ujikumbushe mara mbilimbili nafasi ya mwenza wako kwako.
Take it or leave it.
 
..utakua mluga luga Fulani unayedhani huku mtandaoni unaweza kufanya maagizo kama uko nyumbani kwako...hivi huyo ametaka ushauri au anatafuta mtu? wewe ndezi?
Me sio mluga luga ni Liluga luga, sio ndezi ni Lindezi.
Ila naamini kipo cha ukweli nilichokisema ndezi mimi kilichochokonoa hizo povu. Shape personality yako dada waoaji wapoo..
Ulale salama.
 
Naona umeanza kuongea kama mipasho, naomba nikuachie bendera maana hicho ndo what u can do best.

Ila msichoke kutafuta (inakupa mwanamke uhuru kiuchumi na inakuongezea machaguo), inasaidia kupunguza dependency ratio, inachangia kipato cha familia. Sambamba na hayo, usisahau kushape tabia yako (as a female, as a wife, as a mother to the society), ujikumbushe mara mbilimbili nafasi ya mwenza wako kwako.
Take it or leave it.

If independent/career woman scares the hell out of you..then get yourself uneducated ,unambitious wife.one fresh from the village.sijui hao wanawake uliokua nao kwenye mahusiano walifanya nini katika Maisha yako mpaka ukabaki na scars for life????!! kiasi ukimuona mmoja huku mtandaoni utake kumsulubisha???hahahaha sikiliza wewe mluga luga,kuna watu/wanaume kwao being independent/career minded ni swala ambalo linamvutia Zaidi kuliko shape/uzuri...now take that! don't leave it!!
 
Back
Top Bottom