I wish I had a husband already

I wish I had a husband already

Endelea kuchagua itafikia wakat
Utataman hata huyo andunje akutongoze Ila utakuwa umeshachelewa
 
How I wish I had a husband jamani nimechoka kuwa mpweke. Usiku kama huu I have no one to cuddle with in bed just holding my pillow imaging it as a man.

Yan wanaume wa kuoa wapo ila kimbembe mpaka umpate atakae kuvutia. Just like me here I get approached with a lot of men but sijaona alienivutia wengi ni wafupi halafu mimi napenda wale walioenda hewani. Sasa jamani na umri huu nikiendelea kuchagua si nitafika 30 sina dalili ya kuolewa oohh God help. At this age I wish I had 2kids and a lovely husband but non has happened no kids no husband.

Dear future hubby popote ulipo nakuita uje kwa jina la Yesu tuanze mipango ya ndoa yetu mwakani muda kama huu niwe na ujauzito wa miezi mitano for our first born.

Dear hubby I promise to love you to hell like no one ever did before, I will care for you, cook for you, take you for a bath in the morning, wash your clothes, pray for you, love your family, help you financially, give you good sex anytime you need etc.
My lovely husband your future wife needs you now she is so tired of sleeping alone.

Nakupenda mume wangu mtarajiwa naamini kabisa utakua hukuhuku Jf umejifucha tu.
Daaah I wish ungekua unaleta mrejesho pia
 
Toka ndani ukawatafute huko walipo, we unazani wanaume wapo JF? Mwanamke kupiga kelele huna mwanaume hafu hapohapo unajisifia kuwa wanakuja kukutongoza ila hawanasifa, inawezekana wewe ndo huwavutii.
 
We unafikiri Jf imejaa wanawake tu? Au nitoe siri? Nilidate na mtu from Jf for three years and everything was going well with the relationship..this is just a new ID (my interest declared)
 
Sasa kelele za nn? Unakuja kutest mitambo? Ngoja aje akutongoze yuleyule unayejifanya kudate nae hafu urudi hapa unalialia
 
Nonsense! Wewe hadi leo hii una shida ya Mume and you haven't even realized kwamba una tatizo!? Ushauri wa Bure ni kwako ni kwamba Mume au Mke Bora sometimes huwa haji kama unavotaka wewe.. Ila sometimes ni rahisi sana kumfanya awe unavyotaka wewe. Hayo mambo sijui ya nataka mrefu sijui mwembamba kidogo ni mambo ya kitoto sana ma ni ya watu ambao common sense iko twisted kidogo. Dunia ya leo ni ngumu sana kupata mwenza mwenye kila kitu unachokitaka ila ni rahisi kumfanya mwenza awe na vile unavyovitaka vya msingi. Wakati wewe unalilia Mume Handsome na mrefu wenzio wanalilia Mume mwenye upendo wa Dhati na Responsible Husband! Wenzako waliolilia Wanaume Handsome na Warefu leo hii wanaishi na Stress zisizoisha baada ya kugundua kuwa ndoa ni zaidi ya u handsome na Urefu!
 
Nataka mwanaume mrefu, handsome sitaki mfupi kama sindano ya kushonea. Period. Kama we ni mfupi wanawake wafupi wapo kawafate muendane
 
Back
Top Bottom