I wish I had a husband already

I wish I had a husband already

Dah!! Huu ni wkt mgumu sana.
Just free urself from too much selection.
Unaweza kua wewe ndie unamzuia husband wako.
 
Siwezi kuolewa na mwanaume asienivutia
Kamwe usiolewe na mtu asiye kusisimua ...utapata shida maisha yako yote ya ndoa. I do agree with you in some points na endelea kusisitiza Bora uchelewe kuolewa then umpate Mr Right. Mungu hujibu maombi stick on prayer he will fulfill your wishes.
 
Hahahaaaaaaaa!!! Eli niwache bwana, wafupi alafu sasaaaaaa...........
Tunajua kazi acha kabisa, utujaribu hutajutia. We achana na wajaluo huko njoo kwa mpare akupe vitu adimu.
 
Hahahaaaa!! Namtaka mdogo wako, kama yuko kama wewe lakini, kama sio basi simtaki.
Mdogo wangu mwingi wa habari, ana habari nyingi, ujana mwingi, hamtawezana.
 
Hahahaha kwaio ndo nyie wale kanisani wanatangaza nani anataka kuolewa? Mbioo mnakimbilia mbele kuombewa ili muolewa hahahaha
 
siku ukiikata tamaa kabisa na ukaitaji bola mwanaume naomba unitag
 
Back
Top Bottom