I wish I had a husband already

Sijui ni lini utaelewa kuwa Mungu hakupi unachotamani bali unachostahili.

Ni hivi kabla ya kuweka vigezo vya unaetaka kuolewa nae inabidi uangalie ni wanaume wa design gani wanavutiwa kuwa na wewe. Kwa ufupi ukiona hutongozwi na wanaume unaotamani kuwa nao basi jua hustahili kuwa nao.

Ni hivi hutaishia miaka 30 tu ukiwa single; utazeeka halafu utakufa ukiwa single kama hutabadili mtazamo.
 
Yuko njiani anakuja. Be patient, wakati ukifika huwa umefika the sister!
 
[emoji57]
 
At last someone understands me
 
Asante
 
Hahaaa et give you good sex anytime you need.....
Hamuwezagi hii kitu bibie, acha nadharia kabla hujaingia ndoani
 
Too desperate , too picky....doesnt go together. Ukiwa desperate hutaweza kuchagua utabeba atakaekuja. Huyu bado sana ndio maana anaweka vigezo. Btw kuna ubaya mtu kuchagua anaempenda? Mliooa mmeoa tu wala hamkuchagua?
 
Ajipange kuwa single maza tuu..
 
Too desperate , too picky....doesnt go together. Ukiwa desperate hutaweza kuchagua utabeba atakaekuja. Huyu bado sana ndio maana anaweka vigezo. Btw kuna ubaya mtu kuchagua anaempenda? Mliooa mmeoa tu wala hamkuchagua?
Unaweza kuwa desperate na picky at the same time, wanaita kuweweseka,
hueleweki unachotaka ila unasumbuka. Utakuwa hujanisoma vizuri, nimesema hakuna ubaya kutafuta unachohitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…